Search results

  1. thomas_360

    Muda unakwenda na mambo yanabadilika

    Habarini wanajamvi, Miaka 5 nyuma wakati tuko chuoni tunakaribia kuhitimu vijana wengi tulijipa moyo kuwa ajira zipo kutokana na programme tulizokuwa tunasoma na wengi waliotutangulia walipokuwa wanatupa yaliyopo huko tulikuwa wengine tunayapuuza lakini hivi sasa naamini vijana wengi...
  2. thomas_360

    Naomba ufafanuzi kuhusu hili la kuchelewa kufika kileleni kwa mwanaume

    Habarini za asubuh wakuu, Mimi ni muhanga wa kupiga nyeto maana kama mnavojua kuna muda mpenzi anakuwa mbali inabidi tujihudumie maana kwenda kuokota mali za barabarani sijazoe. Sasa kinachonipa wasiwasi ni kwamba unakuta labda leo nimepiga nyeto halafu siku moja baadaye nikija kufanya mapenzi...
  3. thomas_360

    Dalili kuu kuwa "anataka tu pesa zako"

    hakutafuti mpaka umtafute,,, ukimuuliza utasikia bundle limeisha, mara nilikuwa nafua, mara kulikuwa na kikao cha familia, mara akiwa home akaagi na simu karibu. Halafu cha ajabu ukiwa naye karibu simu anakuwa nayo busy muda mwingi. Mkitoka out kama ni mnywaji hanywi pombe au beer za bei...
  4. thomas_360

    Siku ya kwanza kijiweni kama dereva bodaboda

    Hao ndo wale ma last born wachagua kazi
  5. thomas_360

    Siku ya kwanza kijiweni kama dereva bodaboda

    hongera mkuu kama unataka kijiwe cha mtaa na huna connection basi ujue kuna gharama utahitajika kutoa. Mimi mwenyewe ni bodaboda huku kitaa kwetu, mwanzoni walikuwa wananimaindi ila niliongea na wakongwe wakapitisha hakuna boda kunisumbua. Boda ina pesa ila unatakiwa kuwa mvumilivu na makini...
  6. thomas_360

    Vijana tujiari Serikalini hakuna ajira

    [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji2935][emoji2935] hawa ndo wale wa kilimo cha mdomoni ili kwenye field hawajui changamoto zake
  7. thomas_360

    Vijana tujiari Serikalini hakuna ajira

    maneno ya watu kama hao huwa kwangu yanaingia sikio la kulia yanatokea sikio la kushoto....kama nauwezo wa kuingiza faida ya sh. 60000 kwa mtaji wa mafuta ya sh. 15000 na hapo nafunga hesabu saa moja jioni. kwann nibabaishwe na maneno ya wakosa maarifa?? au wanataka watu wakakabe huko mtaani??
  8. thomas_360

    Vijana tujiari Serikalini hakuna ajira

    well said mkuu....[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
  9. thomas_360

    Vijana tujiari Serikalini hakuna ajira

    Mnaongea hivi kwa kuwa mnamaisha tayari....
  10. thomas_360

    Vijana tujiari Serikalini hakuna ajira

    upo sawa ila kila mtu anaplaNi na malengo yake...Kikubwa mwisho wa siku ugali unafika mdomoni na maendeleo mengine. kama nikiwa nauwezo wa kumiliki pikipiki 10 huoni nitakuwa nimesaidia jamii kwa kuajiri vijana 10 ??
  11. thomas_360

    Vijana tujiari Serikalini hakuna ajira

    Habarini wakuu. Najua watakaopitia huu Uzi ni Watu wa Rika mbali mbali kuna waliofanikiwa, kuna wanahangaika mtaani na kuna wale ambao wapo masomoni bado na kuna wale ambao hawaelewi wafanye nini mtaani. Mtaani kuna kazi za aina mbalimbali ambazo mtu unaweza ukaamua na ukafanya kama una mtaji...
  12. thomas_360

    Wito kwa Dkt. Faustine Ndugulile na Mhandisi Kilaba; Semeni ukweli kuhusu vifurushi

    Na bado charges za kutoa ela kwenye hii mitandao yetu itapanda hivi karibuni. So tujiandaye
  13. thomas_360

    Wito kwa Dkt. Faustine Ndugulile na Mhandisi Kilaba; Semeni ukweli kuhusu vifurushi

    Muende mkaangalie mbinu za kuongeza ukusanyaji wa kodi naona kauli ya Rais imeanza kufanya kazi. Tuendelee tu kuisoma namba hakuna namna
  14. thomas_360

    Leo naleta mrejesho kwa huyu msichana wa kilokole

    Kwahiyo hapo ulipo hauna moyo au! Wanaume wa siku hizi hatuhangaishwi na mwanamke mmoja!! Hizi zama ni kuchagua tu papuchi ila hakikisha mfukoni unamawe
  15. thomas_360

    Leo naleta mrejesho kwa huyu msichana wa kilokole

    We unataka kumuoa??? Kama unataka tu papuchi mbona kitaa zipo nyingi unahangaika na hiyo papuchi ambayo haieleweki....unahangaika weee siku ukipewa mechi unaondoka na kaswende....jiongeze mzee baba hii dunia ya sasa ni ya mwendo kasii!! Sasa we kama unajongea kama kinyonga tutakupoteza!!
Back
Top Bottom