Search results

  1. T

    Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Mabesi: huyu alikuwa mwalimu wetu wa kemia na biology alikuwa ana sauti kama simba mzee
  2. T

    Uhamiaji mliokwenda kufanya ukaguzi shule ya Martin Luther jijini Dodoma muda huu mmestukiwa, hamtafanikiwa ukaguzi wenu

    Hii shule ya Martin Luther ni tatizo kubwa sana hata NSSF walikuwa wanatoa data za uongo wamebanwa mbavu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    Siasa za ajira za GPA na hatma ya vyuo vyetu vya Madaktari Tanzania

    Nina mdogo wangu ambaye kwa kweli ana sifa zote za kubaki pale Muhas lakini sababu ya ujinga huu yupo mtaani tu! Olevel aliongoza masomo ya sayansi Tanzania nzima! Alevel pia alikuwa among the best student pale Ilboru! alipofika Muhas kajitahidi masomo yake amepata A na B+ ila kwa sbabu...
  4. T

    Tulioharibu ndoa zetu baada ya wenzi wetu kuhamishiwa Dodoma, tukutane hapa

    Wenzi wenu huku nao wanaliwa vizuri tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    Mradi gani wa kiuchumi unaweza kuanzisha kwa kutumia fedha za mafao kiasi cha Tshs 90,000,000/-?

    Kwa utaratibu unatakiwa kuanza kupata pension ya kila mwezi baada tu ya kustaafu ila kutokana na sababu mbalimbali wengine wanachelewa lkn lazima ulipwe zote.
  6. T

    Tanzania ya viwanda: Waziri Jaffo amtangaza Evarist Ndikilo kuwa Mkuu wa mkoa bora!

    Anthony Mtaka he is doing a very good job
  7. T

    Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

    Najiona mimi aisee....ila huwa narudi after two weeks au mwezi hivi
  8. T

    Magroup ya Harusi WhatsApp yanakera!

    Acha majungu wewe kama linakukera si uleft
  9. T

    Kutoka Vijibweni: Rais Magufuli azindua daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge)

    Uzinduzi WA daraja la kigamboni unaendelea sasa hivi live kwenye to mbalimbali! Serikali inastahili pongezi wa hili hali ilikuwa mbaya sana kwa wakazi wa Kigamboni!
  10. T

    SSRA waungana na CAG kuwaumbua wabaya wa NSSF na Dr Dau

    Eeh mdini ushindwe kabisa! Mimi namchukulia Dr Dau kama kiongozi bora na msomi mzuri wewe unatanguliza uislam mbele! Go to hell
  11. T

    Suala la Kodi TRA: Magufuli, kwa mwenendo huu utashindwa tu

    What’s the difference between CNG, LNG, LPG and Hydrogen? Natural Gas Association Links Glossary What’s the difference between CNG, LNG, LPG and Hydrogen? The following is a brief summary highlighting the main differences of these fuels. Much more comprehensive details of the fuel properties...
  12. T

    Suala la Kodi TRA: Magufuli, kwa mwenendo huu utashindwa tu

    Gas tunayotumia ni LPG liquefied petroleum gas wakati gas yetu ni natural gas so lazima uwe unasoma kwanza ndio unapost kuna tofauti kubwa sana kati ya natural gas na lpg subiri bado hatujaanza kutumia gas yetu
  13. T

    Jaji Rwegasira: Nimeagizwa na ngazi ya juu kuulinda mkataba wa LUGUMI

    Huo ndio utaratibu issue za kiusalama sio kila mtu anapaswa kuziangalia na kujitafutia umaarufu kama hawa wajumbe wa PAC
  14. T

    Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

    Kwenye yuutyubu haupo tena
  15. T

    Mwenye CV ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam aiweke hapa

    Nimefatilia pages 7 zote hakuna cv mnabwabwaja tu
  16. T

    Yaliyojiri katika kikao cha Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na watendaji wa Halmashauri

    Nimefatilia hotuba yake tangu mwanzo nimegundua Makonda si yule wa umoja wa vijana! Amekomaa na ni kiongozi mzuri kama atafanya yale anayoyasema basi Dsm imepata mkuu wa mkoa sasa
Back
Top Bottom