Search results

  1. ArchAngel

    TAHADHARI: Epuka hawa matapeli wa ajira Henry Jefferson Health Care Initiatives

    HJHI (Henry Jefferson Health Care Initiatives) ni matapeli wa ajira wanaotumia mgongo wa "psychometric evaluation" kupiga hela za wale walio na uchungu wa kukosa ajira. Kwenye website yao(sitaweka hapa) wameweka namba feki za ofisi yao hapa Tanzania. Pia, hawana ofisi marekani kama wanavyodai...
  2. ArchAngel

    Naomba msaada yeyote ambae anafahamu mahali wanauza vaporizers

    Habari wanajukwaa. Naomba msaada yeyote ambae anafahamu mahali wanauza vaporizers kwa hapa bongo. (Picha ni mfano tu) Asante.
  3. ArchAngel

    Serikali ya CCM na matukio ya kishamba

    Serikali ya ccm imekosa vipaumbele kabisa. Nitasema kwanini. Wanajua kabisa kisheria huwezi mshtaki mtu ambaye ni chizi "insane person" (rejea kifungu namba 13 cha sheria ya makosa ya jinai sura ya 16 toleo la 2002) Kwanini kuufanya umma wa Watanzania wenye hekima kama watu wajinga...
  4. ArchAngel

    Breaking news!!!!!

    BREAKING NEWS!!!!! Watu watatu wasiojulikana wamekutwa jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo wakiwa na afya njema kabisa huku wakipambana na hali zao hivyo na wewe pambana na hali yako tu hakuna umbea hapa.
  5. ArchAngel

    Tanzania Ihalalishe Bangi: Watu Wengi Wanavuta Bangi Kuliko Wale Wanaovuta Sigara…!!!

    Kutokana na utafiti ambao umefanywa na nchi nyingi duniani, inaonyesha kwamba watu wanaovuta Bangi ni wengi kuliko wale wanaovuta Sigara..!! Pamoja na kwamba bangi inavutwa zaidi kuliko Sigara, lakini inavutwa siri na kwa maana hiyo Serikali haipati kodi yoyote kutoka katika zao hilo ambalo...
  6. ArchAngel

    Ukomo wa CCM madarakani: Je, wakati wake umetimia?

    Ni ndefu, but tafadhali isome... Dr Makira: "Hakuna chama duniani kinacho weza kutawala mfululizo zaidi ya miaka 40. CCM inaondoka madarakani rasmi baada ya Uchaguzi wa tarehe 25 October 2015, Hakutakuwa na Fujo yoyote wala Msuguano wa aina yoyote kama baadhi ya watu wanavyotaka iwe...
Back
Top Bottom