Search results

  1. TATIANA

    Nahitaji mashudu ya alizeti, pamba, soya na pumba

    Habari wakuu, Naomba mwenye kuuza bidhaa tajwa hapo juu aniambie anauza bei gani kwa kilo na yapo mahali gani. Lengo ni kufanya tathmini kisha kuanza biashara hii rasmi hivyo nikiwa na mtu mwenye supply ya muda mrefu itakuwa bora sana. Nasubiri michango yenu wadau wa biashara hii.
  2. TATIANA

    Natafuta Wauzaji wa tairi za magari

    Habari WanaJamiiForums, Naomba anayefahamu bei ya tairi za linglong size 16 na zinapouzwa anijulishe ASAP. Nipo Dodoma.
  3. TATIANA

    Unknown caller

    Habar za mchana wanajukwaa.. Samahani nilikuwa kwenye mishemishe bahati mbaya nimepigiwa simu mara mbili ila inadisplay UKNOWN CALLER... Nahisi ni kati ya sehemu nilizoomba kazi... Kuna aliyekutana na calls za aina hii? Shukrani.
  4. TATIANA

    Lenovo K3 Note

    Habari wakuu Nahitaji simu hii ya Lenovo K3 Note, naomba anayefahamu anijulishe kwa Dar nitapata wapi? Natanguliza shukrani
  5. TATIANA

    Wauzaji wa simu za Lenovo na Xiaomi

    Natafuta simu za Lenovo au Xiaomi tafadhali muuzaji kama upo hapa naomba ujitokeze unipe bei zake. Asanteni.
  6. TATIANA

    Rest in peace Keron (Juliana Kanyomozi's son)

    Jamani mimepokea kwa masikitiko taarifa za kufariki kwa huyu mtoto....Mungu akutie nguvu Juliana... sote safari yetu ni moja... Huu ugonjwa unatesa jamani, have been battling with it on and off too... Rip little Angel.
  7. TATIANA

    Interview Exim Bank

    wakuu, nimeitwa kwenye interview Exim bank kwa position ya Customer Care officer naomba mtu mwenye uzoefu anisaidie.. interview ni kesho asubuhi saa nne.. asanteni
  8. TATIANA

    Msaada wa kupata adaptor ya DELL LATITUDE 630C

    naomba kuuliza ni mahali gani naweza kununua adaptor ya laptop aina ya dell latitude maana niliyonayo imeharibika. pia bei yake please. ahsanteni.
  9. TATIANA

    Nafasi za kazi british high commissio vipi?

    Wakuu,napenda mwenye taarifa anijuze vipi zile taarifa mdau aliziweka hapa jamvini wameshaita kwa interview? asante sana.
  10. TATIANA

    Jf mobile leo vipi?

    Wanaotumia jf mobile naombeni mnifahamishe plz,je nanyi hampati mobile view? Hii problem imeanza around saa moja jioni. Thx wakuu.
  11. TATIANA

    Tra na kodi

    Wanajamvi, hivi inakuaje mfanyabiashara wa kawaida eg mtu ana duka lake mfana manzese ana tin,leseni ya biashara pia anatoa risiti kwa wateja na ana reg ya vat. Anawakilisha tra kila mwaka balance sheet,income na expenditure account kwa ukaguzi. Ila sasa sasa mbona kuna majumba kibao ya vigogo...
  12. TATIANA

    Bank teller/loan officer jobs

    Habari wakuu, jamani hebu nisaidieni natafuta kazi hizo hapo juu. Nina degree. Thanks.
  13. TATIANA

    Used laptop

    Whats up gud pipo, am new hia japo nimekuwa nikisoma posts zenu sana , mawazo yenu yamenikuza na kuipanua akikili yangu.plz naombeni ushirikiano wenu. Baada ya utambulisho,ninaomba msaada wenu wa mawazo. Nahitaji used laptop ya bei nafuu. Ikiwa imported itakua bomba sana. Shukrani.
Back
Top Bottom