Search results

  1. A

    Paschal Mayalla: Acheni kulalamika, kubalini mafanikio ya Serikali

    Paschal Mayala tenda za ccm zinamsumbua ukweli anaujua sana
  2. A

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    Kalewa madaraka baada ya kugawa uroda. Nani asie mjuu stella kwamba ni mnafiki na kibaraka. Hopeless engineer
  3. A

    Hii ni kauli ya kishabiki, kibaguzi na kitoto kutoka kwa kiongozi wa Bunge

    Naungana nawe moja kwa moja kumlaani Mabumba jinsi alivyoendesha kikao kitoto na kwa ubaguzi wa wazi. Mwenyekiti huyu nidhaifu na hafai. CCM mnazidi kujimaliza 2015 ni hukumu yenu.
  4. A

    Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Aibu kubwa kwa Nchemba kwanza mbowe hana mtoto alie nursery, pili ada ya watoto wake ktk shule wanayosoma inafahamika akitaka tutamtajia. Acha uongo
  5. A

    Urais CHADEMA it's like a death sentence!

    Ni nani asiye jua kuwa Shibuda ni kada nambari wani wa ccm? Shibuda kaja cdm kwa malengo yake makuu nayo ni kuivuruga cdm lakini anapaswa elewe kuwa cdm ina watu makini na waelewa zaidi yake hivyo hawezi kitu ameshtukiwa. Njama zenu twazijua kitambo
Back
Top Bottom