Kweli nimeamini na huku JF kuna watu ambao wameamua kuzipeleka akili zao likizo au wanaogopa kuzitumia kwa hofu kwamba zitaisha. Hivi kweli kwa madudu yanayofanywa na serikali unategemea watu wakae tu kimya? Walimu wanalilia maslahi yao wanaambiwa serikali haina fedha za kuwalipa, askari wenyewe...
I like this piece from Jenerali Ulimwengu. It says it all. One thing they (police) need to understand is that by no means they will be able to stop this voice that is calling for the rights of the citizens! They should also be reminded that they are being used but but they have not been able to...
Nimependa hilo swali la pili,,,duh, hilo jibu linaonesha kuna wanaume kadhaa walishazama ndani na wengine walishatangulia mbele za haki...Mungu atusaidie tu manake huu mtihani ni mgumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.