Search results

  1. The Khoisan

    Miaka mitatu ya Rais Samia hamna hata flyover moja?

    Kwa hivyo unafikiri kama JPM angekuwepo kungekuwa hakuna miradi mingine mipya .... Just thinking....!!?
  2. The Khoisan

    Kwanini Mawaziri wanatoa takwimu za uongo tathmini miaka 3 ya Rais Samia?

    Mkwe huyo yupo kazini. Kaanzisha .... wengine lazima wafuate mkumbo.....!!
  3. The Khoisan

    Rais mgonjwa mahututi mpaka mauti, lakini makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa!

    Hilo kaburi la unknown warrior liko wapi Tanzania ....!!
  4. The Khoisan

    Miaka mitatu ya Rais Samia hamna hata flyover moja?

    Kwani maV Eighy hayarushi vumbi ..... anapopita huko vijijini ....!!?
  5. The Khoisan

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Huelekei kama unaelewa .....!!
  6. The Khoisan

    Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

    Huko Sudan, Yemen na Somalia kwenye waislam wa kutosha wanakula mchele wa Mamarekani. Gaza unashushwa kwa maparashuti watu wanaugombea ..... Tanzania maskini jeuri. Kuna watu hajui kuwa Tanzania almost 40 % ya watoto wamedumaa kwa ajili ya kukosa lishe bora. Yaani watoto wapate utapia mlo kwa...
  7. The Khoisan

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Wenzako walikuwa wanazungumzia sustainability wewe unazungumzia a short term gain.
  8. The Khoisan

    Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    Peleka POSA ....!!
  9. The Khoisan

    Wabunge wa Chadema enzi za Zitto Kabwe walisusa kupokea Posho wakidai ni kubwa mno na Mbowe alirudisha gari la KUB!

    Halafu maCCM anafikiri aje kwa sasa... Pesa haitoshi yajiongezee...!?
  10. The Khoisan

    Ifike mahali Watanzania tuache kukubali hadaa na uzushi unaotolewa na akina Evarist Chahali na Kigogo

    Mkuu, siyo Uzuri wa hospital. Ni situation ilivyokuwa. Labda hawasemi kuwa tatizo lilikuwa ni nini. Inawezekana ilikuwa ni Covid 19. Otherwise, haiwezekani mwenza wako yuko mahututi wanakufa halafu usiende kumuona.
  11. The Khoisan

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Tanzania wanajifanya maskini jeuri. Yaani miaka ya 78 na mwanzo mwa 80 nchi nzima ilikula sembe la USA .. tena ilikuwa ni kile kipindi ambacho tulikuwa tunajiita wajamaa (Ka Noth Korea kadogo ka Afrika). Sasa si wangetumaliza wote tu kwa kutumia hilo sembe ..... anyway, wawapelekee Sudan ...
  12. The Khoisan

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Samia ni Rais bora..!?. kweli kazi tunayo.....!!
  13. The Khoisan

    Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Hivi unafikiri madaktari wote ni vipanga .... tena hasa hao waliosomea sijui China au Urusi. Wengi wao hawakuwa na qualification za kupata chuo hapa wakaenda kuponea kwenye hizo scholarship za Urusi. Huyo Dr. Gwajima kama umesoma na ukamsikiliza utagundua tu .....!!
  14. The Khoisan

    DOKEZO: Tusikatae chakula tu, tuikatae pia misaada na mikopo ya fedha kutoka kwa wazungu

    Tatizo Watanzania wanapenda sana story za mtaani. Halafu story ikishasambaa sana mtaani watu wakaamini hata viongozi wetu nao wanaiamini. Miaka yote tumechanjwa chanjo. Watoto wetu wamechanjwa ... leo kuna watu wamekuja wanakuja na story kwenye chanjo ya Covid na watu wanaamini. Sasa mbona...
  15. The Khoisan

    Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

    Mkuu,, sasa kwenye mashindano ya kusoma Quran ulitegemee awambie nini .... wote waliokuwepo pale ni Waislam. Wangekuwepo Wakrito halafu akasema hao ningekuelewa.
  16. The Khoisan

    Ushauri: Rais Samia naomba umfukuze kazi Mkurugenzi Mkuu wa TBS mara moja

    Hii hii serikali inayoshindwa kuwachimbia watoto mashimo ya vyoo unategemea inaweza kuwalinda kwa lipi .... kama wana hiyo jeuri si uwambie wawapelekee watoto mchele wa Kyela .....!!
  17. The Khoisan

    Ushauri: Rais Samia naomba umfukuze kazi Mkurugenzi Mkuu wa TBS mara moja

    Sasa anakula siyo wewe ... kwa nini ulalamike. Kama TBS wanasema uko salama wewe ni nani kusema hauko salama. Waacheni watoto wa watu wale kama hataki kwa nini serikali isipeleke chakula chake .... balada ya kusubiria Wamarekani wafanye.
  18. The Khoisan

    Ushauri: Rais Samia naomba umfukuze kazi Mkurugenzi Mkuu wa TBS mara moja

    Mkuu, TBS ilichofanya ni kuthibitisha ubora. Kazi ya kutoa vibali na kutoa msamaha ya kodi ni serikali. Sasa kujifanya hawakuwa na habari ni uongo. Pia kudai kuwa tuna Michele wa kutosha siyo kweli. Tanzania inaagiza Michele toka nje kila siku mpaka tunaletewamchele wa kichina. Nevertheless...
  19. The Khoisan

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Bashiru Hakuchukua muda mrefu. Aliondolewa week moja au mbili baada ya mazishi. Kwa jinsi alivyo Msemaji kabla na baada ya uteuzi... Kimya chake baada ya kutemwa kinafikirisha.
  20. The Khoisan

    Ifike mahali Watanzania tuache kukubali hadaa na uzushi unaotolewa na akina Evarist Chahali na Kigogo

    Vitu vingi haviko sawa. Watachukuje ndege kwenda Chato kumtaarifu mama yake halafu washindwe kusafirishia Makamu wake kutoka Tanga tu... Kilometer chini ya 500. Kama kweli walisema katiba baada ya kifo ilikuwaje wa kakosea siku za maombolezo na kutangaza siku 14 badala ya 21 kama Katiba...
Back
Top Bottom