Search results

  1. A

    Anatafutwa mpishi wa pilau ya shughuli

    Toa mawasiliano YAKO nataka kuja onja
  2. A

    Anatafutwa mpishi wa pilau ya shughuli

    Bila kitunguu swaumu,hiliki unapikaje pilau nimemuambia ya shughuli ile unakuja na ndizi mvivu kula shughuli I ,sahihisha hapo,likipikwa shaba mpaka mtaa wa tatu wanaipata fresh siyo pilau la kizungu mango mkuu
  3. A

    Anatafutwa mpishi wa pilau ya shughuli

    Hebu toa sampuli,iwe KWA mchele wa Tz tuma
  4. A

    Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

    Pilau ya shughuli unaweza kwa mchele wa Tz sio plastic.Pilau la Zanzibar au pemba sio la rangi
  5. A

    Anatafutwa mpishi wa pilau ya shughuli

    Shekilango kinesi
  6. A

    Anatafutwa mpishi wa pilau ya shughuli

    Anatafutwa mpishi almaarufu wa pilau ya shughuli njoo hapa tutengeze dili.
  7. A

    Natafuta nyumba ya kununua

    Utapenda Mbweni Teta vyumba 4,3 self electric fence unahitaji?
  8. A

    Nyumba/apartment ya kupanga nje ya mji inahitajika HARAKA

    Iko Mbweni Teta vyumba,4,3 self electric fence unahitaji?
  9. A

    UN Habitat: Kwa namna ilivyobondwabondwa Gaza Siyo rahisi Kujengeka tena

    No God curse Israel for Palastine issue
  10. A

    UN Habitat: Kwa namna ilivyobondwabondwa Gaza Siyo rahisi Kujengeka tena

    Afu TENA nasikia wanatafunwa na fangasi askari wengi ni wagonjwa Hivyo wanauhaba wa askari,na wanakata mawasiliano Dunia isijue aibu ya Yahudi,kiukweli sass amebaki kuuwa watu HOVYO ni dalili ya kushindwa wana wa Israel taifa teule aibu sana ni laana ya kumkataa mkombozi wao inaendelea kivingine...
  11. A

    Nyumba inauzwa

    Bado kukamilika tu
  12. A

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbweni Teta

    Hades,au vipi,week nyumba nyumba Mbweni makazi bora we uko wapi
  13. A

    INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

    Bado ipo mkononi au sokoni
  14. A

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbweni

    Bado ipoau imeuzwa
  15. A

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbweni Teta

    ✓Nyumba vyumba 4 ,3 Master bed ✓Sakafu ya tiles, ✓Gypsum board ✓Maji moto na baridi ✓AC,connections ✓Ceiling fan, ✓Kitchen kabinates, ✓Perving bloc, ✓Maji ya Dawasa ✓Umeme Tanesco, ✓Fensi ya ukuta ✓Fense ya umeme, ✓Sehemu iliyojengwa ukubwa wa eneoni 177 sqm ✓Eneo lote ni 645 sqm. ✓Kuna nyumba...
  16. A

    House4Sale Nauza Pagale, nyumba ambayo haijamaliziwa

    Pangani ni tanga kwa dereva kombo aliyepwelea Baharini likoni mombasa ?na chombo imara kilichoumbwa wingirezani,ukiona Hivyo kwaherini. Kama huko alau 10 afu ukubwa kiwanja na hati
  17. A

    Iran yasogeza Meli zake za vita Bahari Nyekundu!

    Kwavo nyuma ya Iran anaesimamia Nani, Kiduku na Putin au
  18. A

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Hatar sana Hamasi,solution ni mataifa mawili guru palastina na israel jambo Ambali israel hawataki kusikia nahofu hali hii ni ya kutisha ni mauaji ya kimbari
  19. A

    Jinsi ya Kuanzisha Biashara Ya Kufuga Kuku Yenye Mafanikio

    Umesahau kuku wa kizungu ( broiler) soko lake laini
Back
Top Bottom