Search results

  1. Mzux D

    MSAADA NOKIA 5130 Xpressmusic

    Wanajf kuna mtaalam anaweza kunisaidia jinsi gani naweza kubadili upya programu ya application ambayo inansumbua kwa muda mrefu kila nikidownload inakataa kufunguka kwa mfano operamini na games. Nilijaribu kutengeneza kwa fundi ikapona kabisa baada ya kutumia kwa muda wa wiki 3 ikajirudia hali...
  2. Mzux D

    Msaada wa laini ya airtel

    nimejaribu hawakunitumia mpangilio.
  3. Mzux D

    Msaada wa laini ya airtel

    Natumia sms aina ya nokia 5130 xpressmusic
  4. Mzux D

    Msaada wa laini ya airtel

    Habari wanajamvni? leo naombeni msaada kwa jinsi gani naweza kufungua intaneti kwenye laini ya airtel tena haina GPRS/EDGS, nimejaribu kutuma intaneti kwenda 15444 bila jibu.
  5. Mzux D

    No +255068410070 ????

    Dr phone wasaidie hawa jamaa wapewa usumbufu na namba za watu tofauti?
  6. Mzux D

    Msaada wa luku

    Teteteteh dar hakuna umeme wa jero hapo mwezi mzima?
  7. Mzux D

    Internet ya bure

    Dr phone umri culz hapa mie. Kuna jamaa m1 kaniambia ukiweka confir ya voda intanet na ubadl line ya zain hapo ndo utaona bure.
  8. Mzux D

    Nawezaje kupata Internet connection ktk simu ya Blackberry 9630?

    Kwa voda tuma 50MB Kwenda 123 watakata 2000/= na utaitumia hiyo bundle kwa mwezi. Zain tuma neno internet kwenda no 15444 watakata 2500/= na utapewa data bundle yenye 400MB itatumika ndani ya mwezi moja, zain ndo dau ndogo yenye bundle zaidi voda.
  9. Mzux D

    Internet ya bure

    Wakuu vp nisaidieni jinsi gani ku-setting up intaneti ya bure kwenye simu na laptop?
  10. Mzux D

    natafuta mbwa walinzi

    Dr phone umempata vema hapo juu safari ni safari usije ukatapeliwa kama yeye umenipata mkuu?!
  11. Mzux D

    Natafuta ps2

    Niaje washikaji? Nisaidieni natafuta playstation 2 iliyotumiwa na bei ndogo au duka gani zinauza bei ndogo zaidi?
  12. Mzux D

    Natafuta ps2

    Poa husninyo ukifanikiwa uniPM hapa.
  13. Mzux D

    Natafuta ps2

    Niaje washkaji? Nisaidieni natafuta playstation 2 iliyotumiwa na bei ndogo au duka gani zinauza bei ndogo zaidi?
  14. Mzux D

    natafuta mrembo wa kunisaidia kugawa zawadi za xmas

    ]tetetetethhh warembo wapo wengi bwana si usiende kutafuta mwenyewe au unaogopaaa!!! nakutakia x-mas njema na mrembo utakaye mpata.
Back
Top Bottom