Search results

  1. K

    Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

    Huyu miyeyusho tu. Siamini hata kama haisimami utaishika tu
  2. K

    India: Wanafunzi washambuliwa wakiwa katika sala

    Watu hawataki, mnawalazimisha wa nini? Nenda nchi inayokubali imani yako
  3. K

    Shaq awaambia watoto wake watafute mali zao

    Wewe ndiyo mpumbavu ujue. Kila mtu anatafuta vyake. Mfano mimi niliambiwa hivyo na babu yangu kuwa ukoo wetu hakuna urithi. Hivyo sikupata urithi toka kwa baba, na mimi mtoto yuko tumboni namweleza hivyo. Kwa sasa watoto wangu wana hela kunizidi. Shida inakuwa, sina wa kunisaidia kumanage...
  4. K

    Watoto wa mama Salma! Ni kweli walimwagwa vyuoni?

    Hili swali halijawahi kujibiwa
  5. K

    Rais Samia: Hatutazuia Maandamano na Mikutano ya Hadhara

    Wewe jamaa unaanza kuboa. Tunataka kujua aliyasema wapi na lini!
  6. K

    Arusha: Barua ya Polisi kuhusu Maandamano ya CHADEMA hii hapa

    Kwani shida ni ipi hata wakiwabeba
  7. K

    Pole sana Katibu wa Chama Cha Walimu Tanzania ndugu Maganga

    Huwezi kuwa na ajira mbili kwa wakati mmoja. Hiyo ikitokea ya pili ni batili. Kwa mtaji huo, yeye ni Mwalimu wa Halmashauri ambayo imemtema.
  8. K

    Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

    Jibu la kitoto asubuhi hii
  9. K

    Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

    Unajua JPM aliwezaje?
Back
Top Bottom