Search results

  1. Chapa Nalo Jr

    Je, katika bajeti ya Mwigulu kuna ongezeko la kodi kwenye pombe?

    Jamani naomba kuuliza, hivi katika bajeti ya Wizara ya Fedha, kuna kodi imeongezwa kwenye pombe/ bia etc? Maana leo kuna bar wamepandisha bei, wengine hapana. Nini hasa katika hili? Please Serikali hii kitu ndio ondoa stress, iacheni kwa bei affordable, la sivyo tutakufa mapema muishie kutawala...
  2. Chapa Nalo Jr

    Uchaguzi 2020 Namshauri Tundu Lissu apeleke mashtaka NEC dhidi ya Magufuli kwa kampeni za kibaguzi

    Katiba yetu na sheria zetu zinatambua uwepo wa vyama vingi. Hivyo mgombea urais anayesema nikipata urais sitapeleka maendeleo kwenye majimbo yaliyo chagua wabunge au madiwani wasio wa chama chake, ni uvinjivu wa sheria na tusi kwa katiba yetu. Hivyo napendeleza CHADEMA au Lissu kipindi hiki...
  3. Chapa Nalo Jr

    Uchaguzi 2020 Mgombea wa CHADEMA bubu, Lissu amtembelee

    Nimeona mitandaoni mgombea Bubu wa CHADEMA anamwaga sera kupitia kwa mtafsiri. Nimevutiwa sana nae. Naombea ashinde. Hivyo naomba Lissu aende kumsaidia.
  4. Chapa Nalo Jr

    Raha ya kuwa na mke/mpenzi uliyemzidi elimu na Fedha

    Kwa umri huu above 40 nimepitia mengi kwenye mapenzi. Hakika ukiwa na demu uliyemzidi pesa na elimu mambo huwa murua kabisa, kuanzia adabu na sex. Huwa wanakuwa na heshima, sex ni any time you want, hata kama yeye hajisikii atajitahidi akupe uridhike tena kwa ushirikano bora. Mahusiano na ndugu...
  5. Chapa Nalo Jr

    Mods, hebu wekeni utaratibu bora wa alerts

    Haya ni maoni yangu. Naomba mods wa JF murudishe utaratibu wa zamani wa Alerts au mtenganishe alerts za new threads na zile za likes na qoatations. Huu utaratibu wa kuchanganya alerts zote pamoja unafanya sie tunaotumia visimu vya kawaida tupate tabu sana kujua kama kuna mtu kakuuliza swali au...
  6. Chapa Nalo Jr

    Mods, hebu wekeni utaratibu bora wa alerts

    Haya ni maoni yangu. Naomba mods wa JF murudishe utaratibu wa zamani wa Alerts au mtenganishe alerts za new threads na zile za likes na qoatations. Huu utaratibu wa kuchanganya alerts zote pamoja unafanya sie tunaotumia visimu vya kawaida tupate tabu sana kujua kama kuna mtu kakuuliza swali au...
  7. Chapa Nalo Jr

    Nimeacha kusali kwa Muda, Sina namna

    Mimi ni mkristo kindakindaki kanisa kwa kifupi KKKT. Liturgia letu lina sehemu ya kuombea viongozi wa kitaifa/kijamiii. Sasa kwa utaratibu huo kuna kiongozi huwa anatajwa kuombewa ambaye ano roho mbaya balaa kiasi ya kwamba nishindwa kushiriki kipande hicho. Kwa kweli napata taaabu sana. Na kwa...
  8. Chapa Nalo Jr

    Hivi Bila Kwaito Harusi si Harusi

    Naomba nikiri kwamba uchezaji wa kwaito kwangu ni ziro/limenishinda kabisa. Ila cha ajabu si harusi ya kilokole, kiislamu, kiprotestanti au kikatoliki kwaito lazima ratiba yake iwepo. Nauliza hivi bila kwaito sherehe ya harusi inakuwa sio sherehe!!?
  9. Chapa Nalo Jr

    Hivi Bila Kwaito Harusi si Harusi

    Naomba nikiri kwamba uchezaji wa kwaito kwangu ni ziro/limenishinda kabisa. Ila cha ajabu si harusi ya kilokole, kiislamu, kiprotestanti au kikatoliki kwaito lazima ratiba yake iwepo. Nauliza hivi bila kwaito sherehe ya harusi inakuwa sio sherehe!!?
  10. Chapa Nalo Jr

    Hans Pope, jeuri na kisiki

    Nakumbuka enzi ya mgogoro wa mizani na malori ya mizigo, mtukufu akiwa waziri mwenye dhamana na mizani ya barabarani, ndugu Hans Pope alimtolea lugha ya dharau sana mtukufu. Hapa naangalia ITV taarifa, lory zake za mafuta zaidi ya kumi zimebanwa na TRA TUNDUMA wakidaiwa arrears of kodi. Cha...
  11. Chapa Nalo Jr

    Serengeti, tangazo lenu limegomewa eti

    Mimi ni mteja wenu wa serengeti bia. January 2017 mmeweka matangazo yenu sehemu mbalimbali hadi bar mkitutangazia bia zenu za serengeti kwa sasa ni elfu mbili tu. Hata kwenye chupa husika mmeweka hiyo bei. Lakini karibu bar zoooote zimegoma kuuza bei hiyo, tunapigwa 2500/=. Toeni ufafanuzi...
  12. Chapa Nalo Jr

    Asanye upepo wa Trump

    Ni muujiza viongozi wa Afrika kukubali kushindwa ktk uchaguzi. Lakini toka Trump achaguliwe hata kabla ya kuapishwa tumeanza kuona viongozi wa kiafrika wakianza kuheshima demokrasia ya maamuzi ya watu. Bado tu kuruhusu mikutano ya kusiasa hapa Tz, hebu mlio karibu na Trump mpenyezeeni hii issue...
  13. Chapa Nalo Jr

    Mbwembwe za Prof. Lipumba mahakamani

    Nilikuwa maeneo ya mahakama kuu leo mchana. Kwa kweli Le profesa ana mbwembe za kiulinzi na kiushabiki usipime. Yaani fuso limejaa wamama, halafu kuna gari ndogo kama nne zikiwa na makomandoo wa usalama kama anapita Obama vile, wanaruka kwenye gari kabla haijasimama vizuri kuchukua nafasi zao...
  14. Chapa Nalo Jr

    Hivi TANESCO nani kawaudhi huku Gongo la Mboto Ulongoni kwa Muhogo Mchungu?

    Ni eneo la Gongo la Mboto Ulongoni kwa Muhogo Mchungu. Yaani mmeweka umeme maeneo yote kuzungukana eneo hilo ila lenyewe mnaliruka. Ni pepo gani mnalikimbia pale? Mbaya saa hizi mmeliruka na kuanza kufunga nyaya zenu mbele ili umeme utokee pande hizo, lengo wale wa kwa Mhogo mchungu waendelee...
  15. Chapa Nalo Jr

    Hivi ni kweli rais Magufuli ndio karuhusu 'machinga'?

    Kwa wakazi wa DSM, na pengine hata miji mingine hapa Tz mtakubaliana nami kuwa hali ya usafi na mpangilio wa matumizi wa maeneo mijini umekuwa shang'ala bhang'ala. Kwa sasa machinga wanapanga biashara kila eneo lililowazi, wamebana upana wa barabara kwani mali zao zinaingia mpaka barabarani na...
  16. Chapa Nalo Jr

    Kama una haraka usisafiri na basi la mwendokasi mchana

    Hakika, kama una haraka usithubutu kutumia mabasi ya mwendo kasi mchana hapa DSM, yaani kituoni utakaa hata zaidi ya nusu saa halijapita. Sasa sijui mchana yanajificha wapi!!?
  17. Chapa Nalo Jr

    Machimbo, Bombom, Chadema , Lumo!!

    Hivi huko mahali kuna watu wengi kiasi gani hapa Dar!?? Maana mida ya jioni daladala kibao zikiwa zimeacha ruti zao mitaa ya Buguruni huwa zinapiga debe kuelekea njia hizo, kulikoni huko wadau!? Mimi ni mkazi wa Gongolamboto lakini mida hiyo hata daladala zetu za huko zinatutosa. Inauma sana.
  18. Chapa Nalo Jr

    Je uchaguzi wa ZNZ sasa kuwa March ktk Chaguzi zijazo

    Je, tarehe za uchaguzi Bara na Znz kutofautiana chaguzi zijazo. Nauliza hivi kwa vile urais kwa katiba ya znz ni miaka mitano. Kwa uchaguzi huu wa March ni sawa na kusema uchaguzi ujao nao utaangukia March ambapo miaka mitano ya rais anayechaguliwa leo itaisha.
  19. Chapa Nalo Jr

    Basi za Abood na FFU kibao Ferry ya kwenda Zanzibar

    Leo nimeona basi za Abood na malori kadhaa ya polisi yakishusha FFU kibao pale ferry ya abiria kwenda znz. Oh nimebaki na maswali mengi kwa kichwa yangu. Au ndio wale Mbowe alihoji bungeni kuwa eti huwa wanaenda special for voting in favour of magamba there there in znz!?
  20. Chapa Nalo Jr

    Gazeti Mwananchi leo ni maudhi tupu

    Nasikitika siwezi nunua gazeti la leo Mwananchi 13/02/2016. Inakuwaje heading kuu ina ukakasi vile, umenunuliwa nini!? Nakiri mimi ni mwana ukawa sana tu lakini hata kama ni kukandamiza ukawa kwa vile mmenunuliwa basi fanyeni asti asti, sio mheading huo mkubwaaaa. Huwa sikosagi kununua...
Back
Top Bottom