Search results

  1. Chapa Nalo Jr

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    Umeona mbali. Tulikuwa na wagombea marehemu to be soon wakutosha! Haya tumuachie Mola.
  2. Chapa Nalo Jr

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    RIP Ngoyayi Lowasa. NB: Katika watu ambao kwa msiba huu atafuatilia sana udaku, video na maneno mitandaoni kuhusu msiba huu kabla ya kuamua namna ya ushiriki wake, basi namba moja ni Mkwere wa pande za Msoga!!!@#$^^*&%%$#=995&^$×@#£^.
  3. Chapa Nalo Jr

    Wakristo na sisi tukataze watoto wa nje, Matapeli wameanza kuiba mbegu za wanaume matajiri ili wapate watoto wa kurithi mali na pesa za kuwatunza

    Mimi nimeamua kuandikisha mali zangu jointly kwa watoto wangu wa ndani ya ndoa, baada ya mchepuko kunifanyia tofauti na makubaliano akakazaa. My wife nae namjengea yake. Ila huyo mtoto wake najua hana kosa, naye najipanga kumjengea ingalau kajumba ambako nitakuwa joint owner. Yawezekana...
  4. Chapa Nalo Jr

    Je, katika bajeti ya Mwigulu kuna ongezeko la kodi kwenye pombe?

    Jamani naomba kuuliza, hivi katika bajeti ya Wizara ya Fedha, kuna kodi imeongezwa kwenye pombe/ bia etc? Maana leo kuna bar wamepandisha bei, wengine hapana. Nini hasa katika hili? Please Serikali hii kitu ndio ondoa stress, iacheni kwa bei affordable, la sivyo tutakufa mapema muishie kutawala...
  5. Chapa Nalo Jr

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

    Hata hapa JF kuna wahamiaji haramu pia. Nadhani mmeona michango yao! Hoja kuu ni kuwa wapo kinyume cha sheria au la!? Sasa cha ajabu watu wanaunga mkono uvunjaji wa sheria. Haikatazi kuwa mhamiaji, inakatazwa uhamiaji haramu. Mbona wasomali na waithiopia wanakamatwa sana tu na watu wanaona...
  6. Chapa Nalo Jr

    Diddy anaogopa kuoa au kugawana mali? Ameachana na mpenzi wake tena

    Ili baada ya muda mfupi waombe talaka na kujipatia pasu ya mali za mume! P Didy komaa, wachape tu, hakuna ndoa. Asante sana Hakimi, hata kama uamuzi wako kama una ndugu ni hasara, lakini at least umezindua akili za men wengi
  7. Chapa Nalo Jr

    Mali za Serikali Kukamatwa

    Kesi ya siku nyingi sama hii, kuna kipindi meli ya znz ilikamatwa huko Sheli sheli kwa ajili hii lakini ikaachiliwa kwa hoja za state immunity kama dege letu lilivyoachiliwa SA.
  8. Chapa Nalo Jr

    Putin aadhimisha mwaka wa tisa wa kuitwaa Crimea kwa kuitembelea rasi hiyo

    Safi sana Hata USA ilichukua jimbo la Mekisiko, the history reveal
  9. Chapa Nalo Jr

    Marekani: Ex wa Tiger Woods amdai Tsh. Bilioni 69.9 kwa kumfukuza nyumbani

    Kama P Diddy, ndio mwendo wa kufuata kwa sasa
  10. Chapa Nalo Jr

    Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Safi sana ECOWAS, wamenena bila hofu ile ya koneana haya. INEC imechemka, uchaguzi umevurugwa makusudi
  11. Chapa Nalo Jr

    Miezi 8 baada ya kujifungua mtoto wa kwanza, Rihanna ni mjamzito tena

    Ila hii kitu ilikuwa ya Chris Brown kabisa, dah!!
  12. Chapa Nalo Jr

    Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wawili, leo Desemba 14, 2022

    Hivi Alwatani Dotto James anaelea wapi kwa sasa?
  13. Chapa Nalo Jr

    Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

    Tunatafuta mlinda mlango wa Taifa Stars ALIYE BORA KWA SASA, tuachane na mbwembwe Barbara, hiusegirl wa MO!
  14. Chapa Nalo Jr

    Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

    Diara ndio number one kwa sasa, huyo Aishi sijui Aisha limebakia jina tu
Back
Top Bottom