Search results

  1. Dazzle 2

    Kilichofanywa na shule ya mbunge wa CCM (St. Anne Marie- Mbezi kwa Msuguri) ni wizi wa fedha za wazazi

    Kama mzazi nimesikitika sana. Leo kulikuwa na mahafali ya watoto wa chekechea na wale wa darasa la saba. Wazazi tulichangishwa sh 72,000 kwa kila mtoto kwa ajili ya mahafali. Cha ajabu leo ambayo ndio siku ya mahafali wamewalisha watoto wetu wali, nyama na kabechi bila hata kuwapa maji ya kunywa...
  2. Dazzle 2

    Hekima za Mzee Nelson Mandela

    "It is better to lead from behind and to put others in the front, especially when you celebrate victory ... You take the front line when there is danger. The people will appreciate your leadership." Dr. Nelson Rolihlahla Mandela
  3. Dazzle 2

    Je, faini za barabarani zinaenda TRA au Jeshi la Polisi?

    Ninaomba msaada juzi nilipigwa tochi maeneo ya gogoni kibamba nikiwa speed 59 na maelekezo niliyopewa na CPI 4149 ni kuwa lazima nikalipie bank au kwenye mitandao ya simu ila isiwe maximalipo. Wakati wa kulipa nikashangaa kidogo ukiingiza kumbukumbu namba 888999 inakupa; 4GA6PZZDOY Confirmed...
  4. Dazzle 2

    Erolink arobaini yao imefika, sasa wamepigwa chini

    Hawa jamaa walikuwa wanajifanya miungu wangu wasiojali wala kuwa na ubinadamu wowote. Wakifikiri kazi zitadumu milele. Wametuibia sana, michango yetu ya katika mifuko ya jamii walikuwa hawapeleki kwa wakati bali walikuwa wanazungusha pesa zetu hadi udai ndio wanakuwekea. Ukiumwa hawalijui hilo...
  5. Dazzle 2

    Serikali ingetangaza siku moja ya maombolezo ya kitaifa

    Kuna namna nyingi za kuonyesha kuguswa na misiba mikubwa inapotokea. Moja ya njia hizo ni kuwa na siku ya maombolezo kitaifa. Hii haina maana kuwa tupumzike tusiende kazini la hasha bali bendera zote kupepea nusu mlingoti kuashiria taifa liko kwenye kipindi cha kuomboleza. Kuondokewa na vijana...
  6. Dazzle 2

    EWURA yatangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika leo

    Leo kama ilivyo ada bei mpya ya mafuta ya petrol, diseli na mafuta ya taa itatangazwa na EWURA. Je ikitokea imepanda na kuathiri maisha ya wanyonge itatumbua mtu ili wanyonge sisi tusipate shida? ====== UPDATE; Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA) imetangaza bei...
  7. Dazzle 2

    Salam za Mwaka Mpya kwa Rais wangu JPM

    Kwanza nianze kwa kukupongeza kwa kazi kubwa inayotumia nguvu maarifa na hekima kubwa uliyoifanya tangu umeingia madarakani. Pongezi hizi zinaendana na kukutakia afya njema na baraka za Mungu ktk kipindi cha mwaka 2017.Kama Mungu wangu aishivyo ulindwe na damu ya Yesu ambaye tunakumbuka kuzaliwa...
  8. Dazzle 2

    Tadhmini binafsi ya Uongozi wa Mh John Pombe Magufuli

    Ni takribani miezi kumi tangu Mh JPM aingie nadarakani na kuongoza serikali ya awamu ya tano. Katika kipindi chote yako mengi yamefanyika yenye kubeba hisia tofauti kwa makundi tofauti lkn yote yakiwa na lengo moja tu nalo ni kujenga Taifa jipya lenye uhakika wa maisha ya leo na siku zijazo...
  9. Dazzle 2

    Waziri wa afya mulika Kitengo cha figo Muhimbili

    Mh Waziri wa afya pole na majukumu mazito ya kulitumikia taifa. Kwa heshima zote tunaomba umulike kitengo cha figo pale muhimbili maana wagonjwa tunateseka. Baadhi ya Madaktari wako wanafanya kazi kwa mazoea mno kiasi cha kutokujali uhai wa binadamu wanaofanya dialysis kila siku. Kwanza baadhi...
  10. Dazzle 2

    Serikali inapoteza mapato uwanja wa taifa

    Serikali inapoteza mapato ya mamilioni ya pesa pale uwanja wa taifa eneo la nje kwenye Parking. Kila mechi kuna vijana wamejigawia maeneo na kutoza parking ya sh 2000 kwa gari linalopaki nje. Kwa wastani mechi moja inaweza kuwa na magari kati ya 250-300 ukiachia mbali mechi kubwa za simba na...
  11. Dazzle 2

    Asili ya neno kutumbua

    Neno hili maarufu katika utawala wa Dr Magufuli lina historia ndefu sana. Neno hili lilitumika tangu enzi za Agano la Kale. Ukisoma kitabu cha Nabii Zakaria 13:3 utaona jinsi watu waliokuwa wakitabiri na kusema uongo walivyofanywa. Mstari huo unasema; "Tena itakuwa ya kwamba, mtu awaye yote...
  12. Dazzle 2

    WAZIRI WA AFYA NJOO MUHIMBILI KITENDO CHA FIGO UTUMBUE MAJIBU

    Pamoja na Rais JPM kufanya ziara ya kustukiza muhimbili pia wafuatao walitembelea muhimbili ambao ni katibu mkuu kiongozi na leo hii Naibu waziri mh Dr Hamis Kingwagala ametembelea hospitali hii. Pamoja na viongozi wote hawa kutembelea muhimbili takribani wote hakuna aliyetembelea kitengo cha...
  13. Dazzle 2

    SALAM MAALUM KWA DR MAGUFULI

    Kwanza nikutakie heri ya mwaka mpya rais wetu mpendwa. Pili nikutakie afya njema na ulinzi wa Mungu pamoja na Jeshi la malaika wa mbinguni maana kazi yako bila Mungu ni sawa na nchi bila jeshi imara. Katika salamu hizi nakuombea mwaka huu uwe mwaka wa mafanikio kwako kama mjumbe uliyepewa...
  14. Dazzle 2

    Kama Elimu ni bure kuna haja gani ya kuwa na watoto ombaomba mitaani

    Mh Rais kwanza naomba kukupongeza kwa dhati kuhusu azma yako ya watoto wetu kusoma bure.Katika hili nakupogeza sana na Mungu akupe uzima na afya njema. Lakini pamoja na hili nikuombe serikali yako iweke mikakati madhubuti kuhakikisha kuwa watoto wote wanaoombaomba mijini warudishwe makwao na...
Back
Top Bottom