Search results

  1. J

    walimu nchini kenya waanza mgomo wao leo,je walimu wa TZ mnaaza lini?

    Ungejua vyeti vya hao walimu wala usinge hoji kugoma kwao.unakumbuka wale walimu wa voda fasta?? Unategemea agome alafu aje aambiwe rudi kwa kuwasilisha vyeti vyako,bado kuna wale waliofoji vyeti kuanzia primary mpaka jina.wapotezee hao wameridhika na wanachopata.
  2. J

    Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa

    chukua cv ya endrew chenge alafu linganisha na yahuyu wa darasa la saba alfu angalia faida ya hiyo cv.alafu usinipe jibu tafadhali
  3. J

    Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania?

    This is not a joking site pse,.,.!
  4. J

    Mwana FA amchana Sugu

    sugu moto chini bwana! anawakimbiza watoto wa mama kama mwana fa.anamtazamo wa mbali sugu,sugu upeo wake mkubwa jamani,sugu waziri wa mabongo fleva sasa pumba kama fa hawezi elewa sugu anapotetea maslahi ya wasanii kama yeye,kumiliki baby walker basi anaona ametokaa sana .mwana fa hanatofauti na...
  5. J

    natafuta nyumba ya kununua au kiwanja maeneo ya arusha

    hiyo budget ndugu yangu kwa arusha ni kiwanja tu.hakuna nyumba ya hiyo hela.nitafute ukifika nikupe full maujanja nini cha kufanya.
  6. J

    lookin 4laptop arusha!

    kama utahitaji used piga065594598 zipo fresh sio mbaya ukizicheki
  7. J

    Lushoto: Irente view point hotel, Mazinde Juu,Magamba na Nyumba ya Mkapa

    Majizi tu hayo yanazani yataishi milele kwenye hayo ma palace,angekua wa maana angejenga huko kwao umakondeni,kawadharau wamakonde akaona mjengo kama huo haustahili kua kule.
  8. J

    mkanda wa deki ya laptop

    laptop gani hiyo isiyo na jina wala detail,kwa staili hiyo kupata ni ngumu kwani maelezo hajitoshelezi.
  9. J

    sony vio parts forsale,laptop

    nina sony imeua motherbord,nauza kama spea,inakilakitu,model nomber VGN-FJ270 kama vipi piga 0655945598
  10. J

    Lema awasha moto Igunga

    Mkuu uturushie na picha tafadhali,big up tupe hints zaidi
  11. J

    Lema awasha moto Igunga

    Wekeni picha jamani,mbona haina gharama yoyote mnashindwa kutupa full events,jitahidini wapambanaji kutupa news zilizo kamilika,sio mpaka mtu uwe na kamera hata simu inatosha.asanteni kwa kutupa habari za ukombozi wa tanganyika,
  12. J

    Lema afunika Nzega

    Makamanda wa nzega mmetunyima raha,mnge atach na picha jamani ingekua poa sana,anyway tunashukuru kwa hizo habari,ila next time picha ingeleta raha zaidi.
  13. J

    PINDA: Singida NO 1. kwa UMASIKINIi Tanzania

    Wangefanya na tathmini walipata ushindi wa kishindo kwa kiasi gani.kweli sisiemu na umasikini ni sawa na pua na makamasi.huko wamelemewa kwa umasikini wa fikira mpaka kiuchumi.
  14. J

    Ni kubota au khubota?ufisadi mwingine wa power tila.

    hii serekali ya sisiemu kweli ni uoza mtupu,jana kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku walionyesha tena ujuzi wao wa kuwadanganya wapiga kura wao wakulima ni kwa namna gani ni ma mbumbumbu,wamewaletea power tiller feki zenye jina khubota badala ya kubota.serekali ilishasema hakuna bidhaa...
  15. J

    Kwa hali ya jinsi hii: Maendeleo ya kijamii na kiuchumi itabakia kuwa ndoto

    unanitia machungu,serekali haina kiwanda hatakimoja,! aibu tupu.wameuza vyote na vingine wameshiriki kuviua.kiongozi wa nchi anasema hajui umasikini wa nchi yake hajui unatokana na nini,je atajua vipi namna ya kumaliza hilo tatizo?na msaidizi wake nae kaja na kauli hiyohiyo kua hajui umasikini...
  16. J

    Babati: Nifikie wapi?

    ulizia white rose mkuu pazuri sana,utalala kwa utulivu na parking ya uhakika,hata bei sidhani kama ni kubwa.bado kijijini kule vitu sio ghali kivile.hakuna hata haja ya kufanya booking kwani uhakika hautasumbuka.ningekupa namba zao alakini nimetafuta bila mafanikio.na njia kutoka arusha sasahivi...
  17. J

    Kwa hali ya jinsi hii: Maendeleo ya kijamii na kiuchumi itabakia kuwa ndoto

    haya ndio matatizo ya kuchanganya siasa na utaalam,mtoto wamkulima mimi huwa namuonaga kama kilaza tu.alipo kuja na sera yakilimo kwanza alishauriana na nani?sidhani kama ali consult kwa watu wamambo ya project planing.,au aliota usiku asubuhi ndio ikawa gia yakuja kuwadanganya nayo...
  18. J

    Away for a while

    All the best in all duties dat keep u away with us.MUNGU akutangulie kwenye yote.
  19. J

    Kuna future gani kwenye hili?

    hiyo wildlife management usipime mwanangu,ukienda tanapa ni inteview nakuanza kazi,alafu siunajua wanavyolipa salari,alafu kunavyuo vichache vyenye kujulikana ukienda za mtaani ujue umelowa.mweka moshi,johanesburg south africa na frankfut german,kunavyuo vitatu au vinne kama sikosei hapa duniani...
  20. J

    majina ya vijiji vya vya hanang'

    hapo endabash kwa bibi yangu,umenigusa kweli,asante shemeji ila majina zaidi yameniishi.thanks alot
Back
Top Bottom