Search results

  1. Shinto

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Jibuni Hoja Ya Ugaidi Wa Lwakatare kwanza, ndipo tumjadili Mwigulu!
  2. Shinto

    TANZIA Profesa Masuha wa UDSM afariki dunia

    Wanafunzi wa ME watapumua kidogo kukamatwa! RIP Prof!
  3. Shinto

    Denis Msacky katoe sadaka ya shukrani kanisani

    Naona ndugu mnajitahidi ku-spin mambo, guilty conscience inawatafuna! Issue ni kuwa Rwakatare kayasema yale maneno au la?
  4. Shinto

    The Citizen You Can't Be Serious!! Nyie ni Gazeti Makini!!

    kafulia tu lakini bado yuko town! Biashara ya mazingaombwe imeingia ushindani mwingi! Mzee wa upako, Ndege, Mwingira, Lwakatare, Kingu ......
  5. Shinto

    Tuhuma za ugaidi wa Lwakatare: Mwingine adakwa Bukoba

    Ripoti habari, hatuhitaji hisia zako hapa!
  6. Shinto

    Thinking aloud: Je Lwakatare alitumwa na CCM?

    Ametumwa na CDM ndio maana anatetewa kwa nguvu zote, CCM wamenunua dili kutoka kwa Ludo ( ndio maana hatetewi na CDM!)
  7. Shinto

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Hivi Israel hawanunui MISUKULE? Nasikia yeye anakiwanda cha kuandaa hii bidhaa pale Bagamoyo!
  8. Shinto

    Unalijua hili?

    Naichukia CCM sana, NAICHUKIA CDM zaidi!
  9. Shinto

    Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Moja ya maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA juzi ni KULIONGEZEA NGUVU JESHI LA MITANDAONI! Naoni kazi imeanza
  10. Shinto

    Lissu afichua mapya sakata la Lwakatare

    Mi nadhani kazi ya mawakili wa CDM iwe kuonyesha kuwa mteja wao hana hatia, issue ya nani mwingine anahusika ni ya POLISI
  11. Shinto

    Kifo cha CCM kimetimia

    Sio kila kichwa kinahifadhi akili!
  12. Shinto

    Tunapokea kero ambazo ungependa ziwasilishwe bungeni na wabunge wa CHADEMA

    Kero ya kuchinja, wachungaji katika chama walivalie njuga swala hili
  13. Shinto

    Hodi wana CHADEMA

    Karibu kwenye chama cha Yesu!
  14. Shinto

    Tunduma: Jeshi la polisi lawasaka mchungaji na diwani

    Wasipofungwa mwaka mmoja kama wale walioandamana nitaanza kuamini habari ya MFUMO KRISTO TANZANIA
  15. Shinto

    Kifo cha CCM kimetimia

    Kama ndio kutimiza lengo lenu la 'kuifanya nchi isitawalike' basi mmefeli!
  16. Shinto

    MTANZANIA na Highest Level of unethical and irresponsible journalism

    Wana CDM mna double standards, hapo ndipo mnapo nikera mimi. Hili Gazeti mwezi mmoja tu uliopita liliandika habari ya uchochezi hatari na ya kizushi juu ya KUWEPO KAMBI YA AL QAIDA Ukerewe! Mbunge wenu na nyinyi mlishadidia issu hii licha ya unyeti wake na kutokuwepo ushahidi wowote, hamkujali...
  17. Shinto

    Mzee Mwinyi muelekeze Kikwete jinsi ulivyo fanikiwa kuzima vurugu za uvunjaji wa mabucha ya nguruwe!

    Hamna issue hapa! Ni hasira tu za wakristo rais kutokuwa wa jamii yao! Ikifika 2015 bila shaka rais atakuwa mkristo wataenda kwenye vijiwe vyao vya kitimoto na mbege, hutosikia upuuzi huu'
  18. Shinto

    Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    Baada ya maandamano ya kisiasa kushindwa, sasa ni mwendo wa uchochezi wa kidini! Ilimradi NCHI ISITAWALIKE!
Back
Top Bottom