Search results

  1. A

    If Chadema change position it mustt apologize, unconditionally!

    Elections that are not free and fair are those that the losing party's agents do not sign election results at the polling/counting centres for serious irregularities. But when all CHADEMA's agents at polling/counting centres signed elections results, these elections can not be unfair and...
  2. A

    Michuzi amekuwa mpiga picha wa ikulu?

    Huyu Utingo nadhani jina hilo siyo la utani! Kama hawa kina Utingo ndiyo JF Senior Expert Members wa JF, basi Forum hii inaelekea kaburini. Shame!
  3. A

    Elections 2010 CCM kwafukuta.... Majeraha ya chaguzi hayatibiki!

    Na magazeti mengine yameandika CHADEMA WAPASUKA, Zitto alishwa "sumu", ZITTO KITANZINI, ZITTO AVULIWA CHEO CHADEMA, So. it is not CCM pekee yenye migogoro!
  4. A

    Elections 2010 Changia kesi dhidi ya Mahanga vs Mpendazoe

    Kutopendwa na mtu mmoja au wachache ni jambo la kawaida. Hata wewe una maadui! Kama kuna mwana CCM ana kinyongo na Mahanga kwa sababu binafsi, inawezekana. Lakini hii haina maana kwamba wote wako hivyo. Asingepata kura zote hizo. Mahanga bado anapendwa sana. Huyu ndiye Dereck Bryson wa Dar...
  5. A

    Elections 2010 Uongozi wa ccm umefanikiwa kitu gani tanzania? Tunaendelea kujenga mafisadi?

    Ina maana na wewe CCM itakununua? Acha kuogopa kivuli chako. Serikali ya CCM ni moja kati ya Serikali zinazoongoza Afrika kwa kukuza demokrasia na utawala bora. Hilo la rushwa liko kila mahali, lakini angalau Tanzania ina rekodi ambayo ni afadhali kati ya nchi za Afrika Mashariki na nchi...
  6. A

    Hajamaliza kulia na CUF sasa anakufa na CHADEMA...

    Kubenea piga, ua, garagaza ni CUF wa kutupwa! Ni kweli haipendi kabisa CCM, lakini sasa anaichukia sana CHADEMA na yuko bent kuivuruga hasa. Kisa? Namna CHADEMA walivyo threat chama chake CUF pale Bungeni majuzi kuhusu kambi ya upinzani Bungeni, na malumbano yanayoendelea baina ya vyama hivyo...
  7. A

    The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

    Bob Makani? Hivi unajua wakati wake mfupi wa "uenyekiti" nani hasa alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA? TAFAKARI
  8. A

    The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

    Ati Dr. Slaa awe mwenyekiti wa CHADEMA! Kichekesho cha mwaka! Anatokea wapi pale Kilimanjaro???
  9. A

    Elections 2010 With 70% Voters' turnout, Slaa Wins; Less than that Kikwete Wins - My Prediction:

    No, Mzee Mwanakijiji! It is the other way round! It was low voter turnout that helped CHADEMA got the votes they garnered! Wanaoipenda CCM ndiyo wengi hawakwenda kupiga kura. It is CCM members who are normally complacent and don't turn out in big numbers to vote, especially women and the...
  10. A

    The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

    Oh, pole sana! I am politically sorry for you! Hiyo ndiyo siasa! Usije ukaweka mayai yako yote kwenye kikapu cha siasa! Ukiwa mwanasiasa hata wewe mwenyewe usijiamini kwa asilimia mia. Hata Shibuda aliwahi kuapa kwamba kamwe hatoki CCM, atapambana humo humo CCM hadi kiama! Yuko wapi sasa?
  11. A

    Elections 2010 Ccm hata wakijenga barabara mawinguni 2015 siwapigii kura!

    Solution ni kuwaunga mkono tu ili kutekeleza mipango mizuri iliyoko kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010 - 2015 ili kuwaletea maendeleo watanzania.
  12. A

    The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

    Na bado! In 2 to 3 years time from now, you will have striken off few dozens of your hitherto political inspirers! Not only Zitto, start also watching Hamad Rashid, Sitta, Mwakyembe, Mengi, Mabere Marando, Anne Kilango, Mbatia and even Mbowe and Slaa! We can not let this country go to the dogs!
  13. A

    Elections 2010 Ccm hata wakijenga barabara mawinguni 2015 siwapigii kura!

    You, the minority won't give them, but the majority will! And so? They will continue ruling YOU! Yes, you better die to escape CCM rule!
  14. A

    Angalizo kwa wana JF - Lugha ya matumizi ya nguvu haina nafasi

    Nakubaliana na The Good kwa asilimia mia moja. Labda niongezee kwamba kusiwe na dhana kwamba JF ni forum ya CHADEMA tu, hivyo mtu akija na hoja tofauti (isiyopendwa na CHADEMA) inakuwa " ....NA HUYU KATOKEA WAPI?..."
  15. A

    Waziri Sitta: Dowans ni genge la ulaji wa vigogo watatu; tusiwalipe!

    Looo! Huyu mzee SS sasa kachanganyikiwa! Inaonekana kuondolewa uspika kumemchanganya kweli kweli! Na anaamini kwamba hilo genge la watu watatu - RA, EL na AC ndo wamemwondolea uspika alikokuwa akifanya ufisadi mtakatifu, kuivuruga na kuiua CCM kimyakimya! Amesahau sasa yeye ni waziri. Haya si...
  16. A

    Elections 2010 Changia kesi dhidi ya Mahanga vs Mpendazoe

    I have known him for the last 40 years. While I may not know some of his trivial personal issues, and I would not advocate for him in these, I know ALL his main political and social issues and ambitions, just as he knows mine (though myself I am not a politician as such). But I am...
  17. A

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Siyo kosa kwa Mkapa kutoa mawazo yake anavyoona sasa na ambavyo labda hakuona alipokuwa madarakani. Ndiyo maana kuna wachezaji kama Julio walikuwa wanafanya makosa ya ajabu uwanjani walipokuwa wanacheza mpira lakini sasa hivi wanafundisha hata yale ambayo wao hawakuweza kuyafanya uwanjani...
  18. A

    Tangazo la maendeleo ya CCM Kigoma

    Mwenye akili atajua hizo ni propaganda za Chadema kigoma!
  19. A

    Elections 2010 Changia kesi dhidi ya Mahanga vs Mpendazoe

    And those are facts that even God knows!
Back
Top Bottom