Mleta mada ndugu yangu pole sana..mimi ningependa kukupa moyo sana Mungu ni mwema sana na anakupenda..na pia kuna watu kibao wanakupenda usifikirie kutwaliwa Mungu ana makususudi na wewe mm napitia kipindi kigumu sana tena bora ww ni mtumishi wa mungu atakufanyia njia ...binafsi nilikuwa na kazi...
Mbona mzuri jamani kila mtu amshukuru Mungu kwa jinsi alivyomuumba kwani ni neema tu..yy amejikubali na maisha yanaendelea. Tusithubutu kudhihaki kwa namna yoyote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.