Search results

  1. Twilumba

    Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

    Mtamu sana huo na unaongeza nguvu za kiume. (wanaume wa Dar siyo kila kitu cha kujaribu plz....najua mpo na hili ombwe........)
  2. Twilumba

    Watu wa Dar mngetamani RC Mtaka ahamie DAR kiangazi au kipindi cha Masika?

    Sio kwamba nashabikia but yakuoasa uelewe kuwa biashara ya ukahaba bdio biashara kongwe na biashara ambayo haijawahi kutetereka kwa 75% 3 years consecutively!!
  3. Twilumba

    Matumizi yako kwa siku ni shingapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

    Dar kuna sehemu hata buku jero unakula wali nazi samaki nazi kisamvu nazi maharage nazi pembeni bisha nikupeleke ferry pale kwa mama Abdul Tagata, lkn pia kuna mahali lunch plate moja 48k-112k....Dar sio mahali pa kunaiga maisha la sivyo dole litakuhusu... na ukiwa mjanja unatusua kirahisi tu...
  4. Twilumba

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Ghorofa likiisha na wewe ushakuwa mchawi Mbobezi!
  5. Twilumba

    Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

    Mtumaji ni nani yako? kama mmekutana mtandaoni, unapigwa na watoto wa Sinza pale!
  6. Twilumba

    Nahitaji kadi maalum VVIP ya kataa ndoa, nimechoka

    Mileage kwa Taasisi yetu Mpya ya Kataa ndoa iko so high yaani 120 kwenye kona shaaaaaa!!... Hongereni Kataa Ndoa
  7. Twilumba

    Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

    Hiyo nhoma siyo ya 72hrs, Hiyo ni zaidi ya 7 days!
  8. Twilumba

    Sinza ipi ni nzuri kuishi?

    ....upo bachelor sawa, kama upo na familia jiandae kuwa bachelor!!
  9. Twilumba

    Ni ubadhilifu mkubwa DART kutoa smart card mpya za mwendokasi

    Kimsingi ujio wa N card ulikuwa utatue rundo la kadi nyingin ambazo kila taaisis ya serikali ingefanya, na ndio jambo ambalo linatakiwa kuendelezwa. N card nilisikia wakati fulani inaweza tumika kuingilia kwenye baadhi ya viwanja vya michezo , thats was good approach na naunga jmkono juhudi hizo!
  10. Twilumba

    Mchengerwa: Ubadhilifu unaotajwa Mitandaoni Kufanyika Tamisemi ulitokea Kati ya Mwaka 2017 hadi 2021 na Wahusika wako mahakamani!

    Issue zinazofanywa kule kitengo cha TSA cha Kina Mponzi sio za miaka hiyo aliyotaja amedanganywa, TSA ni kweli ni kama ilianzishwa wakati wa Magu akiwa na lengo jema la kuconsolidate funds mbalimbali ili kuweza kuzi manage vzr, which was good, lkn baada ya kufariki ndio wajanja wakaja na mbinu...
  11. Twilumba

    Rais Samia: Kama Viongozi mnakula na wanaoharibu Bei ya Sukari acheni, shughulikeni na shida za wananchi

    Kuna Authoritative Voice, ukiisikia tu unajua hii ni sauti ya kimamlaka< Walikuwa nayo Watatu tu, RIP our late former President; JK Nyerere, Mkapa, na JPM
  12. Twilumba

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Kumbe sio Crown TV &Crown FM?
  13. Twilumba

    Kwanini sijaonekana kwenye picha za Iftar ya Ikulu siku ya Jana. Nimechukia sana

    Ukiona hivyo ujue huna umuhimu, huna "impact"!
  14. Twilumba

    Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

    ukiwa serious u end up na kiharusi, hata hutajua kimetokea wapi!!
  15. Twilumba

    Nimeshangaa kusikia Polisi wanadukua Account zetu za Mitandao ya Kijamii

    Sawa tumekubali sio Ka-telephone, basi amtaje aliyemtuma!
  16. Twilumba

    Chuo cha Ardhi kuweni makini na huu mtego wa suala la mapacha kudai kufanyiana mtihani

    Na kama hujabadilika aisee una kazi kubwa sana, dunia hii si ya kujitenga kiasi hicho, am sure hata kama umefanikiwa lakn ungefanikiwa zaidi ikiwa ungekuwa na backup na hazina ya watu ambao mlisaidiana huko shule!!
  17. Twilumba

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Wanangu wanazidi kupata Mileage... sasa watakuja na "Kataa Ndoa katakata"
Back
Top Bottom