Search results

  1. Warrior

    Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walutheri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

    Mkuu uislam umeingiaje hapa katika mada hii, em jikite kujibu hoja za mwenzetu pasipo kukimbilia kuingia uislam hapa,
  2. Warrior

    Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

    Dah maisha haya mkuu wew acha tu, mim juzi na jana nimezima taa za nje nimeona zinamalizza umeme tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  3. Warrior

    Tatizo la kununua luku

    Voda vipi inakubali jamani ??
  4. Warrior

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Heeee kumbe korean khitan war ina usodoma tena maana ndiye nimeshusha episodes za mwanzo hizi nataka nizichek
  5. Warrior

    Muda si mrefu Simba itarudi kwenye class yake. Form is temporary, but class is permanent

    Dah mkuu unafananisha Real madrid na Sumba em kuwa serias [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  6. Warrior

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji419][emoji419] Hii post naomba ihefadhiwe Arsenal wako moto sana
  7. Warrior

    Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

    Hali iliwahi kumpata mpenzi na issue ilikuwa ni fungus alivyoweka vile vidonge ndani ya uke akapona ikawa fresh tu hapati tena maumivu
  8. Warrior

    Google pixel na kamera kali

    Maneno mengi but Pixel aisee ni sim, sasa nina pixel 4a sijawahi jutia hii simu aisee
  9. Warrior

    Waafrika ni muda sasa wa kurudia kuabudu Mizimu yetu

    Huwa najiaulizaga mchungaji, Padri au sheikh wanaweza kupiga maombi ya mvua na ikanyesha kama walivyokuwa wanafanya mababu zetu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
  10. Warrior

    Operations Al aqsa flood Vs Operation Iron Sword, nani ataibuka kidedea?

    Eti Mungu wa kwenye biblia amewapa waisrael ardhi enzi na enzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]
  11. Warrior

    Zipi tamu na chungu za mimi kumiliki BMW X3

    Mazda CX 5 tena apate ile ya Petrol aiseeee chuma saana hii kitu
  12. Warrior

    Marangu Coach imefikia hatua hii

    Mtu hufanyi ukaguzi wala service kama inavyotakiwa then gari ikizingua unaanza kusema magari ya kichina mabovu acheni hizo mambo aisee
  13. Warrior

    Mazda CX-5: Gari yenye muonekano mzuri sana Interior na Exterior

    Kuna hii mazda demio ya mwaka 2015 / 2016' naielewa saana hii basi tu yaani
  14. Warrior

    Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

    Uyole Mbeya wamekata tangia asubuhi saa 12 mpaka mda huu saa moja usiku hawajarudisha
  15. Warrior

    Mwalimu ajinyonga

    [emoji419][emoji419][emoji419]
  16. Warrior

    Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Ukitumia njia hii kwa O level wanafunzi watafeli wengi saana hasa katika masomo ya Physics, biology, chemistry, mathematics and Geography, Wanafunzi wengi wa o level ubongo unakuwa bado haujakomaa
  17. Warrior

    JamiiForums Usiku wa manane

    03:28 Niko zamu leo humu ndani
  18. Warrior

    Naomba ushauri kwa mdogo wangu kuhusu ajira ya Tutorial Assistant

    [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
  19. Warrior

    Wale wa udsm mnaikumbuka September Conference?

    RB cheka na RB kombo cafteria COET [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom