Search results

  1. Kakke

    Wafuasi wa CHADEMA hatutorudi nyuma kusimamia haki juu ya ukandamizaji na vizingiti

    Wanachama wa CHADEMA katu hatutovunjika moto na kurudi nyuma ili kupigania haki yetu . Kitendo cha kunyiwa uhuru na kufanywa mkombaniaji uraisi wetu Tundu Lissu jana kuzuiwa na jeshi la polisi kwenye msafara wake halikutufurahisha. Mh Tundu Lissu ni raia huru ndani ya nchi yake kama raia...
  2. Kakke

    Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi na CCM wana faida gani kwa Wazanzibari?

    Viongozi wa CCM Tanganyika walipomchagua Hassan Mwinyi ili aje kuwa Rais wa Zanzibar, miongoni mwa sifa waliziompa ni mtu mpole na mkimya. Lakini hebu tujiulize sisi Wazanzibari huu upole wake utatusaidia nini!? Na huu ukimya wake wa kusema mengine na akayatenda mengine, tutanufaika nini? Yeye...
  3. Kakke

    ITV on Facebook naona kuna kitu

    Naona kuna wanakifanya kisomi sana, wanatupia nukuu za mh Magufuli za Kampeni ambazo zina ukakasi. Mfano mkichagua mpinzani mtajuta sileti maendeleo hapa. Nimefuatilia watu wanao komenti wapo very aggressive kwa Magufuli na 90% ya comments ni total Negative. Hii ina maana gani, kiuandishi ITV...
  4. Kakke

    Wazanzibar hatuko tayari nchi yetu kufanywa Wilaya kwa kuletewa dalali

    Ccm wasijidanganye kuwa wazanzibar watakua kimya na mambo kwenda salama (muruwa) kwa kuwawaa nchi yao ili ifanywe wilaya 2 ya Unguja/Pemba na mkuu wa mkoa 1. Hii plan ni ya kipindi kirefu tunajua na Huyu Mwinyi ni matayarisho ya kukukamilisha agenda hio kwa maguvu ya Magufuli. Sisi...
  5. Kakke

    Je, ni yupi mcha Mungu kati ya Magufuli na aliyejitolea kufa kwa ajili yetu, Lissu?

    Ni wape siri moja kati ya Magufuli na Makonda dhambi inayowatafuna watu wawili hawa? Kifupi nikua alietegemewa kufaa Bwana Mungu wetu hakutaka afe na wingi wa risasi kama cheche za welding lakini Mungu hakutaka afe. Na tu kumbuka yakua kilichomuokoa Tundu Lissu sio huduma za madaktari wazuri...
  6. Kakke

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

    Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa. Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza...
  7. Kakke

    Je, ni nini kinachowashinikiza maafisa kuwania nafasi za ubunge Tanzania?

    Chanzo cha picha, AFP: Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda Kuporomoka hadhi ya utumishi wa umma, kazi za kitaaluma kutothaminiwa, maslahi hafifu, hofu ya kutumbuliwa, usalama mdogo wa kazi, mazingira magumu ya siasa na kuwa njia rahisi ya kupata mafanikio, kutoa michango...
  8. Kakke

    Tanganyika yakataa kusini ili Miradi ya Ujenzi wa bandari na uwanja wa ndege Zanzibar uanze

    Nimeshangazwa sana na kauli ya Serikali kupitia mdomo wa Waziri wa Fedha wa Zanzibar katika bajeti aliyoisoma leo katika ukumbi wa baraza la wawakilishi. Waziri Ramia anasema Zanzibar imeshindwa kutekeleza miradi yake mitatu mikubwa ambayo ni: 1. Uwanja wa ndege wa Zanzibar. 2. Bandari ya...
  9. Kakke

    Barua ya wazi kwa m'kiti wa Chama Cha Wananchi - CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba

    Office of Chairman, P. O. Box 10979, Dar es salaam, Tanzania E-mail:lipumba@yahoo.com Homepage:www.cuf.or.tz Date: 01/05/2019. YAH: MALALAMIKO YA KUZUKA MGOGORO MPYA BAADA YA KUMALIZIKA MGOGORO ULIOKUEPO. Salaam Ghalaykum, Bwana Yesu asifiwe. Sisi Wanachama wazalendo na watiifu...
  10. Kakke

    Lissu: Muungano wa Tanzania (Zanzibar na Tanganyika) ni propaganda za watawala Nyerere alitaka Serikali moja wakati Karume alitaka Tatu

    Nimefadhaishwa kidogo na baadhi ya michango ya humu ndani kuhusu masuala mbali mbali yanayohusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inaelekea tuna tatizo kubwa sana la uelewa wa historia yetu ya kisiasa na kikatiba. Kinachofundishwa kwa watoto wetu mashuleni kama 'historia' au 'civics' ni...
  11. Kakke

    Wosia wa tajiri Bilionea Bill Gates

    Leo nilikuwa nafatilia moja ya kituo cha television huko marekani tajiri nambari moja duniani Bilionea Bill Gates aliulizwa na mwandishi mmoja wa habari kuwa anajisikiaje kuwa tajiri mkubwa zaidi duniani. Akajibu kuwa hadhani kama yeye ni tajiri namba moja. Akaulizwa anadhani kuna mtu anamzidi...
  12. Kakke

    Watanzania ni Mazombi kiasi gani?

    Anaandika Malisa GJ Ripoti ya CAG ya mwaka 2015 (wakati wa JK) inaonesha deni la matibabu nje ya nchi kwa watumishi na viongozi wa serikali kwa kipindi cha June 30 hadi December 31 mwaka 2015 liliongezeka kwa Sh.Bilioni 2.25 kutoka Sh. bilioni 16.94 hadi kufikia Sh. bilioni 19.19. Kwa Lugha...
  13. Kakke

    Sakata la ACG na Spika ni madudu yaliomo kwenye report yake tukiachana na 1.5 trillion kuna madudu ya spika binafsi.

    ‪Zaidi ya Watu 5000 wameshasaini, unasubiri nini? Saini Wito Kwa Bunge La Tanzania Kuondoa Azimio Lake La Kutofanya Kazi Na Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Ili Kuendeleza Utawala Wa Sheria, Uwajibikaji, Kupiga Vita Ufisadi Na Kulinda Katiba...
  14. Kakke

    Maalim Seif Afunguka Kuhusu Kurudisha Kadi Yake ya CUF, Umaarufu Wake na Mambo Mengine. Tazama Hapa

    Makamu wa kwanza wa Rais (Mstaafu) wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema hawajarudisha kadi ya chama chake cha zamani cha CUF, lakini wameweka utaratibu maalumu wa kuirudisha yeye na wenzake. Maalim Seif ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Aprili mosi, 2019 wakati wa mahojiano katika...
  15. Kakke

    Demokrasia msalabani Tanzania

    Na Bollen Ngetti HATIMAYE Rais Magufuli ameusaini Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2019 na kuanzia sasa ni Sheria rasmi nchini Tanzania. Nimetokwa na machozi baada ya kuona giza nene tuendako ambako hakuko mbali sana! Wito wangu kwa kila asomaye posti hii na...
  16. Kakke

    Sheria kandamizi ya Msajili wa vyama vya siasa

    Baada ya Maalim Seif kuhama kabla ya kusainiwa, Sheria kandamizi ya Vyama vya Siasa inaweza ikatupwa Thread starterErythrocyte Start dateMonday at 3:06 PM 1…7 Next ErythrocyteJF-Expert Member Monday at 3:06 PM #1 Moja ya sababu zilizowafanya wenye mamlaka kupeleka huu muswada wa kinyama...
  17. Kakke

    Kama ni kuchukua mithali kutoka Qur'an, basi Maalim Seif anapita njia aliyopita Nabii Nuh

    Kinachoendelea hivi sasa katika siasa za Tanzania kwa ujumla hasa kwa upande wa Zanzibar na hususan katika Chama Cha Wananchi - CUF kimenifanya nikumbuke tarekhe za visa vya Mitume na kwa muktadha wa makala hii fupi nitaangalia kazi kubwa ya kiutume iliyofanywa na Nabii Nuh (AS), upinzani...
Back
Top Bottom