Search results

  1. B

    Uaminifu katika ndoa!

    Kumekuwa na tatizo la wanando kutokuwa waaminifu katika ndoa zao, kimsingi jambo hili sijalifanyia utafiti ila naamini huju JF wapo wengi ambao watakuwa wanamaelezo ya kutosha kueleza sababu ya kadhia hii, naomba tusaidiane, kwa nini uaminifu katika mahusiano ya mke na mume ni issue?, utakuwa...
  2. B

    Houseboy

    Okay, kumbe simple, mlete mke wake akae nao hapo home kwako!
  3. B

    Houseboy

    Good, then dont put yourself into contradictions, haya mazingira inawezekana uliyaandaa mwenyewe (huenda bila kujua), na for that case hukuandaa mazingira ya kupambana nayo!, ila what is required is precautions, kila mmoja anatakiwa ajue mipaka ya mwenzake na aiheshimu. cha msingi ni kumwambia...
  4. B

    Houseboy

    I mean kama yuko seriuos na anajua kuwa anachokifanya ni right basi afaute legal procedures!
  5. B

    Houseboy

    Ama kweli haya ni maajabu, na hili mpaka uuambie ulimwengu ukusaidie, kazi ipo. inaonekana houseboy alikuona uko fragile ndio akaona ana nafasi ya kukutongoza, unatakiwa uonyeshe msimamo wako mapema kwa hawa watu, ukiwachekea ndo inakuwa hayo. mwambie ashike adabu yake, kama anakutaka amwandikie...
  6. B

    msaada tafadhali

    Nashkuru sana wakuu ama kweli u are great thinkers
  7. B

    msaada tafadhali

    Nimekutana na kipande cha utenzi kimenishinda kutafsiri kwa kiswahili rahisi, msaada please Uwene wangapi watu wakwasi walo wakiwaa kama shamasi wamuluku dhana za adharusi dhahabu na fedha wakhizinie Nyumba zao mbake zikinawiri kwa taa za koa na za sufuri makiku yakele kama nahari haiba...
  8. B

    Wakati mwaka unaelekea mwishoni................

    Ndugu wana JF wakati mwaka 2010 unaelekea mwishoni sisi tukiwa ni great thinkers tuna yapi ya kujivunia kwan chi yetu (Tanzania) mwaka huu unaokwisha. Yapi yanaweza kutufanya tuuone mwaka huu kuwa ni wa kukumbukwa? Naomba kuwasilisha!
  9. B

    Matukio ya picha toka viota vya marahai weekend hii

    Watanzania tuna mengi ya kujadili na kutafuta ufumbuzi wake, kutumia bytes nyingi kujadili mapicha haya ni kuwa nyuma ya wakati. hatuwezi kufika katika mtindo huu.
  10. B

    White Gal in Mugongo Mugongo

    I always fall to find the lesson in these pictures!, anybody to help me please! tunajifunza nini hasa katika picha hizi?
  11. B

    mambo ya dunia hayo !!!

    What does this mean? a symbol for something?, decorations, culture, or what?
  12. B

    ulimwenguwa sayansi na Technolojia

    Sayanasi na technogia ina lengo la kumkomboa mwnadamu!, sijui kwa staili hii hawa wamekomboka vipi?
  13. B

    Mauaji ya Pemba 2001: Majina ya Watuhumiwa.

    Hoja ni nzito, waliotajwa kama wauwaji ni walikuwa au wapo katika madaraka, na wenyewe wanasema "Jusice is the interest of teh people in power" kwa maana hiyo kilichofanyika Pemba ni Justice hivyo hakuna wa kushatakiwa kwa kuwa kwenye kutenda haki hashtakiwi!, Watanzania bado hawajaandaliwa kwa...
  14. B

    HII NDIO JANJA YA MALARIA SUGU et al?

    when you go beyond normal thinking it Seems that there is a democratic-dictatorship tendencies, A free man is free to think on his/her own ways, making a free man thinks on the way you need is KILLING thinking on the free man. Let one give out what he thinks so that the rational analysis can...
  15. B

    Hili linatisha, dunia inaelekea pabaya.....

    If you need to have a clear thinking you must be rational, to be rational u need to have a FULL information about as issue you need to think about. On my side I think more information should be given to make the topic more and more known.
  16. B

    Ccm

    When you go beyond normal thinking this kind of conclution (Ccm is no longer a political party but a mode of production), which are not sipported any premises cannot be cosidered any more. To arrive at that conclution one has make a convincing premises and not concluding on air!, since this is...
  17. B

    Hodi Hodi Great Thinkers

    Hodi Wakuu, nimekuwa napita hapa jamvini kila siku, nikanogewa na mazuri, sasa naomba nami nakae tujadili wote mambo.
Back
Top Bottom