Search results

  1. B

    Msaada: Dawa au namna ya kutibu ulimi mzito na vyakula vya kumpa mtu aliyeungua kinywa

    Habari members. Kuna jamaa yangu alinyweshwa maji ya betri na majambazi. Mungu alimsaidia hakuimeza lakini imeathiri kinywa chake. Amekua akipata shida kutafuna na kwa upande wa kuongea ulimi wake umekua mzito. Je, kuna tunaweza kumsaidiaje ili ulimi wake urudi katika hali ya kawaida...
  2. B

    Changamkia fursa

    Leo nataka nikujuze ni jinsi gani unaweza kupata pesa na kutimiza malengo yako na kampuni . Fursa hii sio ya kutajirika-fasta kama biashara nyingi zilivyoenea mitandaoni kwamba unaweza kuingiza milioni kwa siku. Kama hio ndio fursa unayoitafuta basi biashara hii haikufai. Fursa hii ni kwa wale...
  3. B

    WORK

    ...when people tell you that #Oriflame doesn't work, tell them that:- - Yes, you are right, the company does not work, "ITS YOU WHO MUST WORK". - And secondary, ask them, "why does it work for the likes of boKHOLO". Also ask yourself that, "WHAT IS IT THAT THEY ARE DOING THAT OTHERS ARE NOT...
  4. B

    No age bright sublime

    UKIONA DALILI ZIPI UJUE SETI HII INAKUFAA: 1.Ngozi kua na alama au ramani za kuungua na jua 2.makovu au madoa yaliyoachwa na chunusi 3.Ngozi kufubaa 4.na mistari kama vile unaanza kuzeeka... 5.rangi za ngozi yako haziko sawasawa Hii ni kwa ajili ya umri wa miaka 25+ na kuendelea kwa watu wenye...
  5. B

    Maana ya ujasiriamali

    Karibuni wadau. Mjasiriamali ni nani? Mjasiriamali ni mtu mbunifu, ambaye ununifu wake anaunadi na kutumia ili apate faida. Mjasiriamali ni kitendo cha kuchukua hatua na kuanzisha kitu kipya au kufanya jambo ambalo linafanywa na wengine lakini katika njia ya tofauti. Ikumbukwe kuwa: Kila...
  6. B

    TEKU!! Selectios

    http://www.teku.ac.tz/matangazo/selectedstudents.pdf
Back
Top Bottom