Search results

  1. B

    Msaada: Dawa au namna ya kutibu ulimi mzito na vyakula vya kumpa mtu aliyeungua kinywa

    Habari members. Kuna jamaa yangu alinyweshwa maji ya betri na majambazi. Mungu alimsaidia hakuimeza lakini imeathiri kinywa chake. Amekua akipata shida kutafuna na kwa upande wa kuongea ulimi wake umekua mzito. Je, kuna tunaweza kumsaidiaje ili ulimi wake urudi katika hali ya kawaida...
  2. B

    Changamkia fursa

    Leo nataka nikujuze ni jinsi gani unaweza kupata pesa na kutimiza malengo yako na kampuni . Fursa hii sio ya kutajirika-fasta kama biashara nyingi zilivyoenea mitandaoni kwamba unaweza kuingiza milioni kwa siku. Kama hio ndio fursa unayoitafuta basi biashara hii haikufai. Fursa hii ni kwa wale...
  3. B

    WORK

    ...when people tell you that #Oriflame doesn't work, tell them that:- - Yes, you are right, the company does not work, "ITS YOU WHO MUST WORK". - And secondary, ask them, "why does it work for the likes of boKHOLO". Also ask yourself that, "WHAT IS IT THAT THEY ARE DOING THAT OTHERS ARE NOT...
  4. B

    No age bright sublime

    UKIONA DALILI ZIPI UJUE SETI HII INAKUFAA: 1.Ngozi kua na alama au ramani za kuungua na jua 2.makovu au madoa yaliyoachwa na chunusi 3.Ngozi kufubaa 4.na mistari kama vile unaanza kuzeeka... 5.rangi za ngozi yako haziko sawasawa Hii ni kwa ajili ya umri wa miaka 25+ na kuendelea kwa watu wenye...
  5. B

    Naombeni feedback kwa mliowahi kutumia haya mafuta

    Mimi natumia queen elisabeth. Nina miaka 3 sasa naitumia. Imenifanya niwe na rangi moja mwili mzima. Inshort ukipata the original one's yanasaidia. Ukiona magumu unaweza ukayapaka na glycerine or rosewater.
  6. B

    Maana ya ujasiriamali

    Karibuni wadau. Mjasiriamali ni nani? Mjasiriamali ni mtu mbunifu, ambaye ununifu wake anaunadi na kutumia ili apate faida. Mjasiriamali ni kitendo cha kuchukua hatua na kuanzisha kitu kipya au kufanya jambo ambalo linafanywa na wengine lakini katika njia ya tofauti. Ikumbukwe kuwa: Kila...
  7. B

    Mwanamke: Usafi wa 'maakuli' muhimu, sio vizuri kukutana na mtu ananuka sehemu za siri

    Atumie feminnelle. Haya ni majimaji ambayo PH yake iko balanced kabisa yani acidity na alkanilinity zimebalance na hii hulinda mazingira na hivo wale bacteria wakutulinda huishi na kuendeea kufanya kazi yao ya ulinzi.kukufanya uwe nadhifu na mpya kila siku Sifa zake ni: •haina sabuni •inaharufu...
  8. B

    Mafuta yasioacha vile baada ya kunyoa

    Tumia product ya North for Men. Hii ni Kwa wanaume sensitive ktk ngozi nakupata mapele wakt wa kunyoa Wape 1. shaving foam inasaidia wkt wa kunyoa mana ni kama povu na inazuia ukavu na mkazo wa ngozi 2. Soothing face cream inatuliza nakukufanya uwe comfortable. Na hii soothing cream inapakwa...
  9. B

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Tumia Pure skin utusahau kama uliwah kuwa na chunusi Husaidia sana watu wenye ngozi ya mafuta yaan hupunguza mafuta na kuondoa chunusi kwa mwenye nazo. Kwa maelezo zaidi 0658409474
  10. B

    Msaada kuhusu kuapply TCU

    Tcu normally ni kwa waliomaliza A-level.wa Diploma mnaapply through Nacte.
  11. B

    Kwa wale Wa Mzumbe

    By 31octbr unatakiwa uwe umeshalipa first installment ambayo ni half the fees. Regardless kama umeapply mkopo or not.
  12. B

    Kuhusu vyuo 2015/2016

    Mzumbe wameshatoa
  13. B

    Mzumbe na ardhi tatizo nini?

    Mzumbe tayariiii!!! https://drive.google.com/file/d/0B79iHru0t18SNDlhVkpfSElSR3M/view?pli=1
  14. B

    Kuhusu vyuo 2015/2016

    IAA & UoA tayari
  15. B

    TIA, IAA, MZUMBE moro na CBE dar

    Tia? Mbona kwenye website yao hamna any updates
  16. B

    TEKU!! Selectios

    http://www.teku.ac.tz/matangazo/selectedstudents.pdf
  17. B

    mzumbe na ardhii duuuu!!!!

    😁😁 anhh anh, sema tupo wote
Back
Top Bottom