Search results

  1. C

    Namna ya akupata cheti cha kidijitali cha chanjo ya UVIKO

    Habari, wakuu. Nimepata chanjo ya corona tarehe 15 mwezi huu pale hospitali ya bukoba government hospital. Sasa nimpewa cheti cha kawaida ambacho sio cha kidigitali.. nimeambiwa mtandao unasumbua hvo nsubirie kidogo ntatumiwa sms ya uthibitisho kuwa nimechanja pamoja na link ya kudownload hicho...
  2. C

    Review classes za CPA Bukoba

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kujua ni sehemu gani naweza kupata review classes za CPA pamoja na kituo cha mitihani maeneo ya bukoba. Thanks in advance.
  3. C

    Co working office space with cheap price available at regus

    Hi,there do you need a co working space for your company/office at cheapest price? We have got you covered at regus Our locations: Accacia estates office plot no.84,Kinondoni Road Kinondoni,Dar Es salaam. Prices: 5usd per person per day on 24 month agreements subject to availability Perks 24...
  4. C

    Vijana jifunzani programming you wont regrete it - update 2020

    UPADATES 2020 as I am writing know I have been honoured by google developers program from google, to run google developer group(gdg) in a new chapter;called google developer group (GDG) Kagera.much thanks to Aniedi Udo Obong(Program Manager -Google Sub saharan Africa), Ada Nduka Oyom(Developer...
  5. C

    Msaaa: Tecno S1 haisomi mtandao baada ya kuflash

    habari wanaJF, nina Tekno S1 yangu kutoka Tigo nilipeleka kwa fundi aiflash ili itumie mitandao yote. baada ya kuflash matokeo yake ni kwamba imegoma kusoma laini zote. Na kila nikijaribu kucheki IMEI yake *#06# inaleta blank IMEI. Naomba msaada please namna ya kusolve tatizo hilo. Alitumia sp...
  6. C

    Hospitali inayodhamini mafunzo ya clinial medicine

    habari wanajf naulizia hospitali inayoweza kudhamini mafunzo ya clinical medicine kwa masharti ya kufanya kazi kwenye taasis husika endapo ukimaliza masomo nilishawahi kusikia eti ndanda hospital wanafanya hivyo. je ni kweli? mwenye taarifa karibu mchangie thanks in advance
  7. C

    Msaada wa elimu juu ya vat return

    habari wana jf naomba kupata elimu juu ya namna ya kufanya vat ruturn online endapo kampuni inafanya mauzo, na endapo kampuni haifany i mauzo yeyote yaani haizalishi. elimu hii itawafaa na wengine ambao walikuwa na shida kama yangu, thanks in advance
  8. C

    Wanaotaka kushi Urusi nafasi za jeshi hizo

    Conditions for admission to military posts subject to replacement by soldiers, sailors, sergeants and sergeants in the Armed Forces of the Russian Federation (option for foreign nationals) Paragraph 1 of Article 34 of the Federal Law of March 28, 1998 No. 53-FZ "On Military Duty and Military...
  9. C

    Utapeli nafasi za kazi Game Supermarket Mlimani City

    Habari wana JF. Kuna mabango yametapakaa yakitangaza nafasi za kazi Game Supermarket Mlimani City wameweka contact zao hizi hapa 071080516 ambaye anajifanya Meneja mwajiri na mwingine huyu hapa ni 0657785895 ambaye ni Supervisor Ukimpigia Meneja Mwajiri anakwambia nafasi zimeisha ila...
  10. C

    Nauza software ya kugenerate theme yeyote ile

    habari wana jf nauza software ya kugenerate theme yeyote ile kama vile theme ya drupal,wordpress,joomla,blogger,html5,magento,pretashop,virtuemart,bootstrap,woocommerce,na opencart inagenerate theme ambazo ni premium hivyo itakupunguzia gharama ya kununua premium theme itakupunguzia muda wa...
  11. C

    NECTA na ucheleweshaji wa kutoa vyeti mbadala, mnakwama wapi?

    Habari wanajf Baraza la mitihani Tanzania lilitoa tangazo la kutoa vyeti mbadala kwa waliovipoteza. Kwenye tangazo lao wanasema vyeti hutolewa siku 30 baada ya uchunguzi Kufanyika ila cha kushangaza ni kwamba ukishakamilisha taratibu zote unaambiwa vyeti vinatoka baada ya siku 90 . Siku...
  12. C

    ratiba ya mafunzo ya mgambo

    habari wakuu,naulizia ratiba ya mafunzo ya mgambo yaani huwa yanatolewa lini? na huwa yanachukua muda gani,,coz nimeona kuna kitengo fulani nyet wanahitaji watu waliopitia mgambo,polisi,jkt,jwtz kwa sababu mgambo haina masharti mengi nimeamua kufuatila utaratibu wa kuingia jeshi la mgambo...
  13. C

    Vijana jifunzeni programming you wont regret it

    Kama ulishawahi kutaka kujifunza programming but hela ikawa ni kikwazo dont give up. Bado kuna njia nyingi za kuweza kutimiza ndoto zako. Fight upate laptop, modem and full internet conections, you are done. If you aready know what you want, use youtube videos to learn amazing tricks If you...
  14. C

    Solved: Jinsi ya kutengeneza e commerce website na kuanza kuuza dunia nzima

    Habari JF experts, Kwa wenye interest ya kucreate e commerce website na kuuza dunia nzuri it is almost possible The only problems was the payment gateways but now you can accept credit cards and mobile money directly to your website thanks to directpay,pesapal,skrill, western union,moneygram so...
  15. C

    uzi maalumu wa kumshauri mheshimiwa maghufuli kuingilia suala la paypal tanzania

    wakuu heshima zenu muda mwingi sana watanzania wamekuwa wakiihitaji kuingia katika soko la kimtandao dunia nzima but tatizo limekua ni kwamba option iliyopo ya online money transfer ni crdit card na yenyewe sio benki zote western union clients wengi hawapend kutumia wkishaona unatumia western...
  16. C

    Jinsi gani NECTA wanapanga shule kulingana na ufaulu wao?

    Wakuu habari zenu, Natafuta jinsi ambavyo NECTA wanapanga mashule na hatimaye kupata shule iliyofanya vizuri kuliko zote. Pia nataka kujua namna ya kucalculate average school GPA. Kama kuna formula maalumu naombeni mnipe maujuzi. Thanks in advance vladimir fuschs
  17. C

    nainstall ssl certificate kwenye website

    habari ya sasa hivi wadau nainstall ssl(secured socket layer) kwenye website faida ya ssl ni kwamba inazilinda data nyeti za watumiaji wa tovuti yako dhidi ya wadukuzi wa mtandao data zinazoweza kudukuliwa ni email,username,passworg,crdit card iformation na nyingine nyingi watembeleaji wa tovuti...
  18. C

    I can extract any program from installed software on pc

    helow jf experts do you need any programs umetafuta software yoyote ukakosa?lakini unaiona kwa rafiki yako anaitumia? nina uwezo wa kuextract any software from installed software on pc the resulting file will be .exe file call me if you need my service 0654262419
  19. C

    developers only microsoft.ace.oledb.12.0 error

    habari developers am trying to connect the access database in visual studio am getting this error microsoft.ace.oledb.12.0 is not registered on the local machine any help on how to troubleshoot it i ve arleady installed access database engine but nothing works any help please? thanks in advance
  20. C

    Kama ulitaka kuingia jeshini ila ukashindwa hii ni fursa nyingine

    najua kuna watu wana ndoto za kuingia jeshini, kuvaa magwanda,na kupanda vyeo vya kijeshi ila kutokana sababu ndogo ndogo unakuta jeshi la bongo ni ngumu kuingia na kutimiza ndoto zako fursa yenyewe nii hii hapa french foreign legion........hili ni jeshi la nchini ufaransa linalochukua raia wa...
Back
Top Bottom