Search results

  1. E

    Approach ya Makonda kuhusu usafi wa Jiji ina kasoro kubwa

    Ningependa kwa kuanza kwa kumpongeza Muheshimiwa Makonda kwa jitihada zake na kutotaka kumkatisha tamaa. Ila kuna haja kidogo ya kushauriana ili kufanya jiji letu liwe safi na la mfano. Ukiwasikiliza mameya wote pamoja na wakuu waliopita na wataalamu mbalimbali, tatizo kubwa la Dar es Salaam...
  2. E

    Mafuru Usihalalishe Utapeli wa Masaburi - UDA

    Kwa tafsiri fupi tu ya kitaani utapeli, ni mtu mmoja kujipa madaraka juu ya kisicho chake na kujimilikisha au kukiuza. Yani ukisema nimetapeliwa mtu anaelewa kuna mtu kakuzidi kete kwenye kitu chako kwa kukifanya chake au kakuuzia kitu kisicho chake. Changa la Macho!! Nasikia maumivu ya kichwa...
  3. E

    Wakati Mkipigania Live TV Mbona Website Zenu Zipo Domant

    Upinzani watakuwa na nia njema LAKINI je kususia kujadili hotuba ya PM ndio ufumbuzi. Mara ngapi wamekuwa wakisusa na je wameona mabadiliko yeyote kwa upande wa utawala? Hata majuzi tu tumeona kilichojili huko Zanzibar. Na kutegemea platform moja tu ya TV na bunge sioni kama inatosha. Wawe pia...
  4. E

    Gharama Kubwa kupita kiasi Ujenzi wa miundombinu ya DART (TShs 388 B)

    Hivi justification ya TShs 388 Bilion kwa ajili ya mradi wa DART unapatikana wapi. Nijuavyo mimi toka Feli mpaka Kimara Mwisho haifiki km 30. Na kutoka Magomeni mpaka Morocco haifiki Km 8. Yaani Jumla tufanye Km 40. Na hata ukisema tuweke kadirio la juu kabisa la jumla ya Km 60. Hiyo inafanya...
Back
Top Bottom