Search results

  1. P

    Sasa ndo nimemwelewa Mbowe kuhusu UKAWA kutangaza matokeo yao wenyewe

    Mna uhakika hayo mabox n ya ccm. Kwan ukawa hawaewezi
  2. P

    Wapi ntapata Technical secondary schools?

    Njoo mtwara tech ndo baba lao
  3. P

    Tumechoka mnavyotusakama na kutudharau eti "watoto wa BRN"

    Kwan tatizo nin mbona hta hao wasio brn n vilaza tu.....ukidharauliwa nawe dharau unallamika nin tanzania ushawah sikia kuna wasomi !!???
  4. P

    Tanzania Dont Be Kenya!

    We hope that.......we love our country we love peace as a one nation...TANZANIA forever
  5. P

    Angaliwa na wewe kama tcu wamekufanyia huu unyama

    Me siangalii. Vp kwako wew uliofanyiwa unyama vp chuo ambacho ulichguliwa uliliona jina lako admitted na je ulitumiwa admision letter na chuo husika.... .maana kuna vyuo vmektaa watu kma udsm na muhmbili
  6. P

    Angaliwa na wewe kama tcu wamekufanyia huu unyama

    Hyo ni tcu au nacte mbona mntka kutuvuruga maana wengine tumetumiwa mpka admission letter na chuo husika teyari?
  7. P

    Siwaelewi TCU mpaka saa ivi

    Tcu hizo siasa sasa mtu akikosa mkopo kribu na kufungua chuo inakuwaje?
  8. P

    Siwaelewi TCU mpaka saa ivi

    Kudadeki alafu wajiandae lin?
  9. P

    Msaada kuhusu bachelor of science in physics

    Ulizia ualimu kma unalipa au Vp kwa upande wa physcs
  10. P

    Msaada kuhusu bachelor of science in physics

    Ni ualimu tu kwan kuna kitu kingine
  11. P

    Vyuo bora kwa elimu ya engineering Tanzania

    Ndo kitakufaa chuo cha wa Korea hcho
  12. P

    Vyuo bora kwa elimu ya engineering Tanzania

    Kwa computer engineering ant information technology ..the united african university of tanzania
  13. P

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Acheni kuzingua kwani heselb na yenyewe taarifa znatumwa kwenye profile?me password nmesahau
  14. P

    Orodha ya wanafunzi waliokataliwa na Muhimbili University

    Huo mlango mwingine n balaa kma ukutokea Kampala ha ha ha
  15. P

    Je, umewahi kujutia shahada uliyosomea? Njoo tushauriane!

    Kweli kk ukiacha it civil hyo petroleum mining zipo zenye ajira njenje kma agriculture architecture computer engineer na automobile na aircraft maintanancw
  16. P

    Je, umewahi kujutia shahada uliyosomea? Njoo tushauriane!

    Engineering ndio nzuri unaweza kujiajiri
  17. P

    Orodha ya wanafunzi waliokataliwa na Muhimbili University

    Hizo mishe za kukatwa ziishie hukohuko. Muhimbili na udsm c vyuo vyetu tnatka stress za heselb2 tcu htuna mpango nayo tena.......
  18. P

    Vyuo bora kwa elimu ya engineering Tanzania

    Kuna chuo cha watu wa south Korea knaitwa united african university of Tanzania n the best pia knatoa computer engineering and information technology
  19. P

    How to join society of Jesus(Jesuits) please.!!

    Sio kweli ukimtumikia mungu mshahara upo tena mkubwa tu
Back
Top Bottom