Search results

  1. T

    Mkurugenzi Kibaha Janeth Omollo awanyang'anya Ardhi wananchi wa Kidimu bila fidia, je ni ufisadi?

    Wananchi wenye maeneo katika kata ya pangani mtaa wa kidumu na Lumumba wilaya ya kibaha maeneo yao yamewekewe beacons bila taarifa ya maandishi kwa weney maeneo??/ something fishy.. inasemekana wanapewa wawekezaji na halmashauri inayachukua bure bila fidia ..mkurugenzi anataka kutengeneza pesa...
  2. T

    Wazee wote Tanzania kulipwa pension?

    Akifunga Semina Gaudencia Kabaka amesema wazee wote irrespective of whether walikuwa waajiriwa au la kulipwa pension ili kuweza kujikimu.. My Take: Afadhali kuliko mashirika hayo kujenga majengo marefu wawasaidie wazee wetu..sijui kama watafanya hivyo lakini.. Source: Daily News.
  3. T

    Ugaidi ulianzishwa na nani????

    1. Who started World War I? 2. Who started World War II? 3. Who killed 20 millions aborigines in Australia?? 4. Who sent the nuclear bombs of Hiroshima and Nagasaki?? 5. Who killed more than 100 million of Indians in North America?? 6. Who killed more than 50...
  4. T

    Lipumba kukutana na wanachuo Dodoma..kuzungumzia uchumi wa Taifa na Dunia karibuni wote

    Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma wameomba kukutana na Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF), Prof Ibrahimu Lipumba ili kujadili kuyumba kwa uchumi wa taifa na kulitafutia ufumbuzi suala hilo. Hayo yalibainishwa juzi na Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Julius Mtatiro alipokuwa akizungumza na...
  5. T

    CUF yakanusha kadi kurudishwa!

    Hivi karibuni kumekuwa na taarifa za uongo na propaganda zinazoenezwa na Hamadi Rashid kwenye vyombo vya habari kwamba zaidi ya wanachama 1000 wa CUF wa mikoa ya Dar es Salaam na maeneo mengine wamerudisha kadi na kumkabidhi Hamad Rashid. CUF imefuatilia na kubaini habari hizi ni za uongo na...
  6. T

    Lipumba na Maendeleo ya CUF...

    Prof. Lipumba yuko nchini merakani kwa mwaliko wa taasisi ya National for Democracy endowment, ameombwa kutoa mada juu ujenzi ya taasisi ya kidemokrasia nchini Tanzania; mkutano huu unahudhuriwa na wajumbe zaidi ya 500 kutoka nchi mbalimbali duniani. Amekuwepo huko Tangu october 2011 akitoa mada...
  7. T

    Ndesamburo-CHADEMA akubali Mahakama ya Kadhi!!

    Amesema haoni sababu ya serikali kukataa kuanzishwa kw amahakama ya kadhi kikatiba na kutengewa pesa na serikali; kwani serikali inatenga fedha nyingi kwa mambo ya kisiasa na kusahau mambo yanayogusa jamii ya kiislam Tanzania; ili kuepusha kutokuelewana katika jamii.. Aitaka serikali kutenda...
  8. T

    Tuache Desturi na Mila mbaya za wazee wetu!

    Kuna makabila mengi Tanzania bado wana mila na desturi mbaya; na kuna watu bado hawataki kuacha destruri na mila hizo. Napenda kuwafahamisha kuwa si lazima kuwafuata wazee wako walikuwa wanaamini nini? au wanafanya nini fanya utafiti mwenyewe tafuta ukweli kabla ya kifo; maana kila mtu atabeba...
  9. T

    Kuna tofauti yeyote kati ya Maalim Seif vs Augustino mrema

    1. Kila moja katika hawa akipingwa lazima uondolewe 2. Wamekaa kwenye nafasi hizo muda mrefu sana Hivi kuna tofauti kati ya hawa wanasiasa??
  10. T

    Azimio la Arusha ni kichefuchefu???

    Nakisoma hichi kitabu ambacho kila mwanasiasa hasa wa ccm na chadema hupenda kuki-refer naona kichefuchefu nafikiri kuna haja ya kuipinga kwa nguvu zote ili isiendelee kupotosha vijana wetu kwani ina endekeza yafuatayo:- a. Dhana ya usawa ambayo maana yake ni kumnyang'anya binadamu mwingine...
  11. T

    Mwenyekiti wa CHADEMA Sumbawanga achoshwa?

    Bw. Geophrey Shayo mwenyekiti wa CHADEMA sumbawanga amechoshwa na udanganyifu ulioko chadema ameamua kurudi ccm. Amepewa kadi ya ccm na Eng Stella Manyanya mkuu wa mkoa wa rukwa.. Kuna nini huko chadema acheni kudanganya wanachama??? Source: Michuzi blog
  12. T

    Wanaopinga mahakama Kadhi "Intellectual Arguments" only

    Assume wewe ni muislam na una wake watatu na watoto 5:4:3 yaani 12 jumla kwa wake watatu..umefariki Kwa sheria za ndoa ya 1971; ugawaji wa urithi huo hauwezekani japo muislam huyu aliruhusiwa kuoa kiislam Kwanini mali yake isigawanywe kiislam?? tunataka kadhi wawasaidie hao wanawake, watoto...
  13. T

    Ubaya wa Muswada wa katiba kama ulivyo?

    Ukiacha hoja za TL kwamba haukujadiliwa (i.e. mara ya kwanza na pili), naomba kwa dhati kabisa ubaya wa muswada huo kama ulivyo sasa, na pengine utaratibu gani ndio ungeleta katiba nzuri?? kwanini unafikiri kwamba kama ilivyo haitaleta katiba nzuri kwa nchi???
  14. T

    Israel and World Politics... Is this what will happen?

    Kwa wale wanaopenda kuishughulisha "akili" vizuri kwenye siasa za kimataifa... Soon ..Israel itavunja uchumi wa amerika, kwa kutumia reserve bank of america ... Uchumi wa merakani ukisa collapse itakuwa advantage kwa Israel.. Tujiandae kwa vita vitakatifu maana hiyo state inapenda dhulma kama...
  15. T

    "Ali Hassan Mwinyi" Humble and Wise

    ...Mwinyi mwaka 1985 ulipoingia ulikuta BoT kumekauka hakuna hazina ukaanzisha utaratibu wa kununua Gold ili kuwa hazina ya Taifa ...Ulikuta watu wako hawana nguo, vyombo, TV, (maisha ya kijima) ukaruhusu (ruksa) biashara halali watu wenye uwezo wakaanza kufanya biashara taifa likapata neema...
  16. T

    Hakuna chama cha siasa kunachotaka serikali moja Tanzania?

    Nimepitia sera za vyama vitatu vikuu hapa nchini, CUF, CDM and CCM sikuona hata chama kimoja kinachotaka kuwa na serikali moja...ya JMT CUF-wao walianza tangu awali kwamba wakiingia madaraka wataanzisha serikali tatu..hayo ni kwa majibu ya mapendekezo mbalimbali za tume ..mfano nyalali, etc...
  17. T

    Tuwasaidie wana-igunga kama kweli ni wapenda maendeleo na siyo Madaraka?

    CCM wangetumia 30% ya hela walizotumia ili kupata mbunge moja wangeweza kujenga zahanati katika kila kata Igunga CDM wangetumia 30% ya hela walizotumia ili kupata mbunge (japo wamemkosa) wangeweza kukarabati shule zote za msingi Igunga CUF wangetumia 30% ya hela walizotumia ili kupata kura...
  18. T

    Katiba imevunjwa???

    Hivi kwa MoU kati ya wakristo na serikali "serikali imevunja katiba ibara 19 inayosema .."serikali haina dini......na shughuli za kuendesha taasisi za dini zitakuwa nje ya serikali...." Je..fedha hizo za umma zilizotolewa zimeshafanyiwa auditing na auditor wa serikali au kamati ya bunge...
  19. T

    Who is Masha John Mshomba?

    Ana uhusiano gani na Basil Pesambili Mramba na Gray Mgonja...na EPA bandits ??? Mbona hapelekwi mahakamani kama wenzake
  20. T

    Sera za Ubepari hazitatusaidia kama nchi

    Nafahamu kuwa Chadema kinaamini katika sera ya ubepari na kwamba kama chama wana uhusiano wa karibu na vyama vya kibepari duniani i.e. Conservative (UK) and Republican (US) Ubepari kama sera na mtazamo wa chama ukitekelezwa hauna tija kwa mfanyakazi mnyonge au mkulima maskini. ubepari kazi yake...
Back
Top Bottom