Search results

  1. kipusi

    Nini Tiba ya Hofu/woga na wasiwasi na kufanya nafsi kutotulia?

    Kuna ndugu/rafiki yangu wa karibu sana anasumbuliwa na Tatizo la kuwa na Hofu/woga na wasiwasi na nafsi yake kukosa raha na hata akili yake kukosa kuturia,muda mwingi anakuwa na huzuni wakati hakuna kitu chochote kibaya mbele yake au kinaweza kutokea: Naomba tumsaidie kwa Tiba kwani hali hii...
  2. kipusi

    Wanawake ni pasua kichwa/ishi nao kiakili

    Kuna jamaa amefanikiwa kuoa na kupata mtoto mmoja,ila katka ndoa yao changamoto ni dini(islam + kristo) ikafikia hatua mwanamke akapoteza upendo kwa mwanaume na mwanaume akatoka nje ya ndoa akafanikiwa kumchimbia binti(islamic) mwingine asa yule wa mwanzo(kristo) anataka arudiane kwakuwa...
  3. kipusi

    Kutokuwepo kwa masoko mazuri ya mazao nini tatizo?

    Kumekuwepo na mdororo wa bei za mazao kwa wakulima je kuna tatizo gani na Je Bodi za mazao zina msaada gani kwa wakulima kwa upande wa masoko? Kumekuwapo na malalamiko ya sehemu kubwa wakulima wengi kukokosa masoko mazuri ya uuzwaji wa mazao yao kama mahindi, mbaazi, kahawa n.k Wadau nashuka...
  4. kipusi

    How to hide may number when making a call?

    Guys i need a code number to hide your phone number when making a call in Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kipusi

    Mwenye ramani za mabanda ya kufugia kuku tafadhali naomba unisaidie

    Naomba msaada wa ramani za ujenzi wa banda la kuku wa kisasa na kienyeji kwa aliye nayo.
  6. kipusi

    Taarifa kwa wanafunzi waliochaguliwa SUA

    Habar wanasuaso, Serikali ya wanafunzi kutoka chuo kikuu cha SOKOINE CHA KILIMO inapenda kuwakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza. Pia Serikali ya wanafunzi kwa kushirikiana na utawala tayari imeweka utaratibu wa utoaji wa huduma ya malazi kwa Wanafunzi wote watakaofika chuoni kabla...
  7. kipusi

    Naombeni Bluetooth driver ya dell 360

    Mwenye driver za Bluetooth kwa laptop dell ya window 7 mwenye nazo au mwenye ufahamu namna za kuzipata naomba anisaidie kwa kunipa Link.
  8. kipusi

    Peter Msigwa asababisha mwandishi kukatisha kipindi cha Mada moto

    Peter Msigwa live now mada 'wajibu wa mpiga kura baada ya uchaguzi'. Leo katika kipindi cha mada moto kimeisha kabla ya wakati wake kwani kilitakiwa kiishe saa 5 kamili usiku badala yake kikaisha 4:56 usiku. Na hii imetokana na maneno aliyokuwa anaongea mheshimiwa Msigwa juu ya maadili ya...
  9. kipusi

    Mkuu kanyaga Twende hii itapita.

    Muheshimiwa Mimi naona huna sababu ya kuendelea kujibu kuhusiana mambo ya vyeti tunachoitaji ni utendaji wako hakika utashinda watajadili alafu watakaa kimya pambana.HAPA KAZI TU.
  10. kipusi

    Nauza laini za Tigo pesa na M-peSa

    Kwa yeyote aliye moro town nitafute ani PM kwa text.ntaakunganisha na wahudumu TiGO na M-PESA officers wakupatie vitendea kazi buree na maelekezo.
  11. kipusi

    Sijutii kura yangu, nasubiri mafanikio

    Hatua kwa hatua najua hii kawaida tu naona kwani ni kpnd cha mpito tu.ee mungu wape nguvu viongozi wetu.
  12. kipusi

    TIN namba na leseni kwa biashara ya M-pesa

    Je gharama ya Tin number na leseni ya biashara ya m-pesa na Tigo pesa ikoje? Ukipeleka TIN number na lesen je unapata hizo line za mpesa na Tigo pesa kwa muda gan?
  13. kipusi

    Enyi wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu muwe na huruma

    Enyi wadaiwa sugu wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu sie wadogo zenu tunalia tunaomba mrudishe hiyo mikopo ili nasi tuweze kukopeshwa. Tunafahamu nyie mko kwenye viyoyozi mmejiajiri na wengine ni wajasiriamali.
  14. kipusi

    Kwa watumishi wa Serikali (wadaiwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu)

    1.Nilitaka kufaahamu je kwa mtu ambae ni mtumishi wa serikali Ambae ulikuwa unasoma chuo na afu alikuwa mnufaika wa mkopo wa ELIMU YA JUU sasa akatokea AMEDISCONUE kuendelea na chuo je anaweza akakatwa kwenye mshara wake ikiwa ŕank ya mshahara wake ni wa diploma na Ikiwa mwajiri (MKURUGENZI)...
  15. kipusi

    Msaada kwa techno P5, line haisomi

    Simu yangu ina tatizo la kusoma line nikiweka line katika simu inasoma, ila minara haisomi inaandika EMERGENCY CALL - Airtel na baada ya muda inasoma alafu tatizo linarudi sijajua ni kwanini. Msaada kwa anaefahamu.
  16. kipusi

    NAOMBENI MSAADA NAMNA YA KUBLOCK ACOUNT YA "facebook"

    Wadau nilikuwa naomba namna ya kublock akaunti yangu ktk mtandao wa "Facebook"plz mwenye kufahamu naomba msaada wake.
  17. kipusi

    Kwa wale wanaotaka kubadilishana kituo cha kazi tukutane hapa (maafisa ugani)

    1.JINA 2.KTUO ULICHOPO,WILAYA 3.ANWANI YAKO 4.WAPI UNATAKA UHAMIE ILI UWEZE KUUNGANISHWA NA WANAOTAKA KUHAMIA HUKO ULIKO
  18. kipusi

    Naomba msaada wa Simcard driver ya dell d630 laptop

    Mwenye NAYO au kufahamu driver ya laptop dell ya kusaport line ili iweze kusoma na kuconnect ktk INTERNET katka computer aina ya dell D630 naomba msaada plz NATUMIA WINDOW 7.NAOMBA ANITUMIE HAPA AU INBOX PLZ.
  19. kipusi

    Unachojifunza ktk maonyesho ya nane nane 2016

    Tupia hapa ulichojifunza ktk maonyesho ya nanenane yanayofanyika kila kanda.karibuni wadau!!!.
  20. kipusi

    Natafuta betri orginal ya Samsung Tab 3

    Mwenye kunielekeza kwa upatikanaji wa betri ya tab tajwa hajuu anijuze plz!! Usisagau cost
Back
Top Bottom