Search results

  1. kipusi

    Nini Tiba ya Hofu/woga na wasiwasi na kufanya nafsi kutotulia?

    Kwa mtu wa kawaid hatoweza ona Tatizo ila ni tatizo kubwa sana kwa watu,Tunaitji kushare matatizo ili tupate utatuzi ambao mwosho wa siku watu watafurahia uwepo wa hapa dunian kwa muda huu mfupi.Watu wanapitia magumu sana ila tunapaswa kuwasaidia hata kwa ushauri.
  2. kipusi

    Nini Tiba ya Hofu/woga na wasiwasi na kufanya nafsi kutotulia?

    Ushauri haukumsaidia, vidonge alitumia hivi hapo chini
  3. kipusi

    Nini Tiba ya Hofu/woga na wasiwasi na kufanya nafsi kutotulia?

    umetoa picha halisi kulingana na hali aliyo nayo,anashindwa kuchangamana na watu ambao wanafuraha muda mwing yuko pekepeke,Asante kwa ushauri tumeupokea lakin kama una suluhisho kabisa Tiba itakuwa vyema maana huwa inapelekea mtu kufanya maamuzi magumu hii hali.
  4. kipusi

    Nini Tiba ya Hofu/woga na wasiwasi na kufanya nafsi kutotulia?

    ok sawa, lakini tumsaidie kama kuna tiba dawa au ushauri
  5. kipusi

    Nini Tiba ya Hofu/woga na wasiwasi na kufanya nafsi kutotulia?

    Ni mjasiliamali wa kuuza viatu vya mtumba
  6. kipusi

    Nini Tiba ya Hofu/woga na wasiwasi na kufanya nafsi kutotulia?

    Anakuwa hajiamini afanyapo jambo mara nyingi anashindwa sana kusimamia maamuzi yake!
  7. kipusi

    Nini Tiba ya Hofu/woga na wasiwasi na kufanya nafsi kutotulia?

    1. Disspointment =hapana mkuu 2. Uovu kawaida 3. Kulogwa sijui
  8. kipusi

    Nini Tiba ya Hofu/woga na wasiwasi na kufanya nafsi kutotulia?

    Amekutana nao lakini bila mafanikio!
  9. kipusi

    Nini Tiba ya Hofu/woga na wasiwasi na kufanya nafsi kutotulia?

    Hapana hatumii kabisa kilevi mkuu! Ila kuna wakati alitaka atumie nikamzuia alimini kilev kitamsaidia kutibu tatizo alilonalo mkuu
  10. kipusi

    Nini Tiba ya Hofu/woga na wasiwasi na kufanya nafsi kutotulia?

    Kuna ndugu/rafiki yangu wa karibu sana anasumbuliwa na Tatizo la kuwa na Hofu/woga na wasiwasi na nafsi yake kukosa raha na hata akili yake kukosa kuturia,muda mwingi anakuwa na huzuni wakati hakuna kitu chochote kibaya mbele yake au kinaweza kutokea: Naomba tumsaidie kwa Tiba kwani hali hii...
  11. kipusi

    Wanawake ni pasua kichwa/ishi nao kiakili

    Hahahahaha eti matus!!!
  12. kipusi

    Wanawake ni pasua kichwa/ishi nao kiakili

    Kuna jamaa amefanikiwa kuoa na kupata mtoto mmoja,ila katka ndoa yao changamoto ni dini(islam + kristo) ikafikia hatua mwanamke akapoteza upendo kwa mwanaume na mwanaume akatoka nje ya ndoa akafanikiwa kumchimbia binti(islamic) mwingine asa yule wa mwanzo(kristo) anataka arudiane kwakuwa...
  13. kipusi

    Kutokuwepo kwa masoko mazuri ya mazao nini tatizo?

    Kumekuwepo na mdororo wa bei za mazao kwa wakulima je kuna tatizo gani na Je Bodi za mazao zina msaada gani kwa wakulima kwa upande wa masoko? Kumekuwapo na malalamiko ya sehemu kubwa wakulima wengi kukokosa masoko mazuri ya uuzwaji wa mazao yao kama mahindi, mbaazi, kahawa n.k Wadau nashuka...
  14. kipusi

    How to hide may number when making a call?

    Guys i need a code number to hide your phone number when making a call in Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kipusi

    Mwenye ramani za mabanda ya kufugia kuku tafadhali naomba unisaidie

    Naomba msaada wa ramani za ujenzi wa banda la kuku wa kisasa na kienyeji kwa aliye nayo.
  16. kipusi

    Miaka 20 bila promotion, Wanataka niwe mzalendo!

    Ungependa upande daraja lipi ? Maana hata kwetu yapo mengi hayo madaraja.
  17. kipusi

    Taarifa kwa wanafunzi waliochaguliwa SUA

    Karibun xana first year
  18. kipusi

    Taarifa kwa wanafunzi waliochaguliwa SUA

    Habar wanasuaso, Serikali ya wanafunzi kutoka chuo kikuu cha SOKOINE CHA KILIMO inapenda kuwakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza. Pia Serikali ya wanafunzi kwa kushirikiana na utawala tayari imeweka utaratibu wa utoaji wa huduma ya malazi kwa Wanafunzi wote watakaofika chuoni kabla...
Back
Top Bottom