Search results

  1. Alphonce Kagezi

    Kila Mtanzania anuie kuilinda kuitunza miundombinu

    Ujenzi wa Kagezi Bridge unaoendelea huko Ilemela Bugogwa Mwanza. Ni kiunganishi kikubwa katika safari na usafiri ndani ya manispaa yetu ya Ilemela. Lakini ni usalama wa Watu na Mali zao hasa nyakati za usiku. RAI YANGU: Ilikuwa kiu na ndoto isiodhaniwa kama itatimilika sasa usiloamini limetimia...
  2. Alphonce Kagezi

    Historia ya ujenzi wa daraja liitwalo kagezi bridge liloko ilemela mkoani Mwanza kata Bugogwa mtaa Igombe "B"

    2004 Kata Bugogwa ndio mwaka Ndg Kagezi alihamia akiishi mtaa wa Igombe "B" kabla haujakatwa mitaa miwili. 2008 ndio Ndg Kagezi alifanikiwa kununua Kiwanja jirani na njia ya maji katika kipindi cha mvua eneo hili huwa ni hatari watoto kuvuka wakienda shuleni katika kipindi cha mvua. HARAKATI...
  3. Alphonce Kagezi

    Government full up any Organization

    The government through the relevant Ministry and private sector workers. A plan should be made to review the guidelines of each organization that provides services, especially at the community level. To see how these organizations treat the dignity and right of employment and payment of their...
  4. Alphonce Kagezi

    Jikumbusheni Historia ya Jumuia ya Wazazi (TAPA- Tanzania Parents Association)

    TAPA: Ilianzishwa 1955,ingawa vuguvugu la kuanzishwa kwa TAPA kulitokana na TANU. Vilianzishwa vikundi vya muungano wa wazazi toka kanda ili kusimamia elimu katika shule za wazazi. 1. Mkoa wa Dar es salaam : DAPA & MAPA 2. Mkoa wa Tanga: APA 3. Mkoa wa Kageza zamani (Bukoba): KANYIGO WESTERN...
  5. Alphonce Kagezi

    Katiba mpya ni mhimu miaka ijayo

    Kulingana na hali ilivyo kisiasa kijamii kiuchumi Tanzania na Duniani kwa ujumla Ni mda sahihi sasa mchakato wa rasmu ya Mh Jaji J Walioba .Ilejeshwe maoni yangu . Mchakato huo kwa kuwa rasmu ya Walioba ipo sasa Watalaam wa Sheria walioko kwenye mfumo wa umma (majaji,Mawakili wa selikali) na...
  6. Alphonce Kagezi

    Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi Tanzania

    Amani ni tunu yetu Watanzania kuipoteza ikatuponyoka tutalia kilio kikuu cha kusaga meno tangu mimba hadi wazee. Kila mmoja aiombee Tanzania ipite salama kwenye kikaango uchaguzi mkuu. Amani itamalaki. Haki idumishwe bila kumpokonya mwenye nayo. Vyeo ni dhamana za mda tu . Heshima hutoka kwa...
  7. Alphonce Kagezi

    Watanzania,wazazi,viongozi tuupige vita uharifu kwa pamoja bila kujali madhila yatakayotupata

    Hivi Karibu kumeibuka Uharifu wakutisha unaoendeshwa na Vijana wenye umri Kati 18+ 20_23.Uharifu huu unafanywa ktk Maeneo ya Mwanza. Makazi ya Vijana hao au uwenyeji wao,Baadhi ni Mwanza mjini na wengine ni wa Igombe B,A Kigote,Tx na Kayenze ndogo. Nilibahatika kunasa Mtandao wa wanaotoka...
  8. Alphonce Kagezi

    Mashirika kuua Home Based Care

    Ndg Watanzania wa Kada ya HUWANYU hasa wa Mwanza HBC imefia mkononi mwa watao tenda kwa Mashirika yalio ava koti huruma na chungu kumbe ni wachuma pesa za Wafadhili tu,leo nimepata taarifa mrithi wa life project iliopita aja na mapya ila ya kushangaza kama Sio kusikitisha afuta Watoa huduma...
Back
Top Bottom