Mikakati toka kwa Kitime.
Kwanza nawatakieni tena wote heri ya Mwaka mpya 2015, hata wale walioanza Mwaka kwa ‘kuwekwa kiporo', waliofukuzwa kazi na, waliogawana ule mkwanja, waliokosa ule mkwanja, wanaolalamika kwa kuwa walikosa ule mkwanja, wanaolalamika kwa kuwa wanaona Wananchi...
Jamaa kenda kushtaki kwa Mwenyekiti wa serikali za mtaa,
JAMAA: Mkuu nimekuja na mke wangu hataki kunipa unyumba bila sababu hebu ongea nae.
MJUMBE: Hebu muite, we kaa nje ya ofisi niweze kumsikiliza sababu zake kwanza
JAMAA: Poa mkuu
MJUMBE: Haya mama kunani tena huko mzee unamnyima unyumba...
Jamaa alivunjika mguu akaepelekwa hospitali;
DAKTARI: Imekuwaje mpaka ukavunjika mguu?
JAMAA: Miaka kumi iliyopita
DAKTARI: Staki kujua hayo nataka kujua umevunjikaje mguu?
JAMAA: Dokta nisikilize kwanza, miaka kumi iliyopita nilikuwa nafanya kazi kwa bosi moja kule Uzunguni, siku moja binti...
Maendeleo yameua swaga nakwambia. Watu siku hizi wanajidaiii eti wana swaga, aa wapi! swaga zilikuwa zamani bwana. Enzi hizo za redio moja, mtu ukitoka kijijini na kuweza kuja kukaa mjini hata wiki moja tu, ukirudi unajikuta wewe ndiye mjanja wa kijijini, na kama ulibahatika kuja jiji la Dar es...
NAWAHAKIKISHIENI duniani hakuna jambo jipya, mambo yanajirudia rudia kwa staili tofautitofauti tu. Kuna jambo limenitokea na baada ya kutafakari nimekubali kuwa hakuna jipya duniani nawaambieni.
Kuna binti mmoja hapa kijijini kwetu nilimpenda sana, kwa kweli nilikuwa nimeshapanga lazima...
Kuna watetezi wengi wa haki za binadamu hapa Bongolend, ni jambo zuri. Lakini utakuta watetezi hao wamejigawa kwa mambo fulani tu, wengine wanatetea wanasiasa, wengine akina mama wengine watoto, lakini kuna haki kubwa sana inakiukwa, nashangaa hakuna anayeitetea, nayo ni haki ya msingi ya kuamua...
BAADA ya matukio ya harusi ya Jumamosi iliyopita natoa onyo ole wake atakayeniomba mchango wa harusi, sitaki utani. Labda kwanza nikueleze jinsi tulivyopata misukosuko sana kwenye uchangiaji wa ile harusi, maana siku hizi hakuna pa kukimbilia, kila asubuhi unaamshwa saa kumi na mbili na meseji...
Usiombe kufumania, narudia tena kwa lugha ya kileo, kufumania ni soo.
Nilishawahi kuweko kwenye kijiwe cha washkaji fulani kukawa na mjadala kuhusu kufumania.
Swali likawa Je, ukifumania utafanya nini? Majibu yalikuwa mengi, mengine yenye uamuzi mgumu, ‘ohh mi ntaua'. ‘Ohh mi...
tafadhali kama una jibu tusaidie tupate mkwanja:
Nchi gani ambapo wadada hawataki kupewa maua siku za Valentine na birthday zao?
Wapi ambako wazazi wote kila moja anadai alikuwaga wa kwanza darasani? Wapi ambako unaweza kuwa na leseni ya udereva wakati hujawahi kushika usukani hata siku...
Duniani kuna binadamu halafu kuna wanasiasa. Binanamu wengi huwa wajitahidi kuwa wanasiasa na siku hizi kila kona wamejaa na wanaboa kweli. Kazi kubwa ya mwanasiasa ni kuongea, wakitumia mdomo wao wanaweza kukufanya uamini kuwa wao ndio wanajua kila kitu. Tena wanasiasa wengine huwa wanafikia...
Jamaa zangu wengi sana wanapata taabu sana kwa sababu ya simu. Kidude hiki ambacho kinatakiwa kitupunguzie shida katika maisha chenyewe ndio kimekuwa shida kubwa. Mtu unakuwa huna raha kabisa shauri ya kidude hiki why? Jamani Why? Kuna hii ishu ya kuwa na mchepuko, kimsingi hili jambo gumu...
Mapenzi ya Kibongo ni ya aina yake duniani, hivyo nimeona leo nitoe somo ili kuwasaidia mayanki namna ya kuishi kwa furaha katika mapenzi ya Kibongo.
Kwanza mapenzi ya Kibongo hayashughuliki na mambo madogomadogo kama eti kupeana maua au eti kutembea beach mmeshikana mikono, hizo ishu ni za...
Asubuh na mapema unaamshwa kwa hodi na kilio kikubwa, unafungua mlango unamkuta ni rafiki yako wa karibu sana na analia kwa uchungu mno.
Unajitaidi kumnyamazisha lakini wapi, huku anaendelea kulia na kuangalia mbinguni kuashiria kuna kitu nawewe hukati tamaa kumnyamazisha, huku unakumbatia nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.