Search results

  1. M

    Maandamano; vipi Libya?

    unemployment sio tatizo kama watu hawana njaa,
  2. M

    Watoto wa wazaramo hawafanani, utafiti

    Huo sio utafiti, umepita nyumba moja na unasema wazaro watoto wao hafanani, HIYO SAMPLE HAIWAKILISHI POPULATION kwanza hata hujui namna utafiti unavyofanywa,, umelala siku moja kwa wenyeji wako then unaona ndo umefanya utafiti. Fanya utafiti kwenu kwanza ujue kama wazazi wako hawajafanya tendo...
  3. M

    Shehe: Walichokifanya polisi ni sahihi

    Je kweli DK Slaa aliwambia wananchi wakavamie kituo cha polisi?, tujulisheni ukweli mliokuwepo huko AR.
  4. M

    Wasafirishaji Madawa ya Kulevya Watano Wanyongwa Iran

    sasa unataka nini? wache wauliwe hao madrug dealer kwa kuwa wao wanaua wengi.
  5. M

    Kesi ya daktari wa Michael Jackson

    zungumzia mambo ya maana, bado unaabudu binadamu karne hii? tufuta habari yenye kuleta mabadiliko ya watu kimaendeleo
  6. M

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Umefilisika kimawazo, muone daktari. UPUPU MTUPU
  7. M

    Proper Cribs (tusiogope kuitwa mafisadi)

    Weka crib yako sio ya Akon, wewe unalala wapi?
  8. M

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    UMepiga panapotakiwa kaka, dawa nzuri ni kupunguza kwa mkasi au machine ziwe chini kama hutaki kuwa kama osama na gharama ni ndogo sana
  9. M

    Hivi Kikwete anaweza nini?

    Halafu unajiita GREAT THINKER ni kundi la wajinga fulani, udhaifu wa mtu katika uongozi hautokani na dini yake, jaribu kuleta mada ya kweli ambayo haini uozo wa kidini, Nchii hii haina maendeleo siku nyingi na sababu sio watu na dini zao, sababu ni kutokuwa na uchungu wa nchi na kufuata maadili...
  10. M

    Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

    Una maana Chadema waliambiwa kuna wageni msifanye maandamano?
  11. M

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Maneno yako sahihi kabisa hao mapolisi walitakiwa kuyaongoza maandamano mpaka kwenye kituo cha mkutano pasingetokea vurugu yoyote, walichofanya wao ni kuanzisha vurugu kuzuia maandamano ambayo ni ya amani,, tatizo hawa mapolisi bongo zao sio za kiprofessional au ndo yaleyale kufuta amri kama MBWA.
  12. M

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Wewe ni mshabiki tu, hujui unachozungumza,, Quran inasema Wameruhusiwa kupigana wale ambao wamedhulumiwa haki yao, ispokuwa kama dhalim akitaka suluhu AMANI itawale.
  13. M

    Rostam Aziz: Dr. Slaa hatari kwa Taifa...............

    Ubongo wako unachemka Mlangaja, hapa suala sio rangi au asili, kuna mafisadi wengi sana ambao sio hao wahindi wala waarabu. Watu wabaya hawana rangi ila wana mioyo inayofanana.
  14. M

    Mwl. Nyerere Angeruhusu JK Awe Rais wa Tanzania Mwaka 1995 Hali Ingekuwaje?

    MWL nyerere alitoa maoni yake na ccm wakaogopa ndio ikawa hivyo, mwl alikuwa hataki malumbano na mtu, akisema ndio hilohilo na jamaa wa ccm hawapingi kitu akishasema mkuu wao. Mkapa ana uzuri wake na Mkwere ana uzuri wake na ubaya wake, sioni tofauti kati yao.
  15. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Muulize aliyeua Tanganyika Mwalimu Nyerere na sababu anazo.
  16. M

    Je unakumbuka viwanda hivi?

    Huyo baba wa taifa alishindwa kuweka hivyo viwanda katika mfumo wa biashara, KAMA ALIVYOSEMA BABA VUNJO, alianzisha vizuri uendeshaji zero.
  17. M

    Tamko la CCM UK & USA kuhusu Dowans na bei ya juu ya Umeme Bongo

    wale ni opportunist hawana nia njema na nchi wala hiyo ccm, wanachotaka ni kujiweka mbele waonekane na hao viongozi LABDA watapata ulaji usio halali, hawana mtazamo wa maendeleo,, kama kweli wangekuwa na uchungu na nchi japo wangeunda civil society ambayo inamtazamo maendeleo na mshikama bila...
  18. M

    Laiti MCHAGA angekuwa RAIS...maendeleo ya nchi yangekuwa mbali sana

    Nakubaliana na wewe kwenye ubinafsi, Mramba alipeleka bajeti ya ujenzi wa barabara yote kwao rombo.
  19. M

    Irrigation Scheme!

    Chimba kisima (BORE HOLE) maji uhakika na utachagua sehemu yoyote iliyi karibu na soko lako.Nenda wizara ya maji pale ubungo watakufahamisha kila linalo hitajika,
Back
Top Bottom