Search results

  1. katotokangu

    DOWANS: Slaa ulituongopea!

    Bams Wewe ni real great thinker......hiyo ni kweli kabisa...I hope Waheshimiwa wameipata hiyo...
  2. katotokangu

    DOWANS: Slaa ulituongopea!

    Hivi hizi kampuni ambazo zimechukua hela nyingi na zinaenda kulipwa mabilioni ya fedha za tanzania zinaweza kukosa hata website!!!!!!!!maana they are no where to be found......hii ni dalili kuwa hazipo au hazitaki kupatikana........Serikali inatakiwa ijue kuwa hii sio karne ya zamani watu...
  3. katotokangu

    Mama Salma's 47th birthday party

    MMMhhhh!!!! Mheshimiwa anaonyesha jinsi anavyojali familia ila ingekuwa vizuri chini ya picha tukapewa ka intro kidogo ka waliomo kwenye hiyo picha,naona watu wanahangaika kuguess nani HG, Mlinzi or family
  4. katotokangu

    Kumbe hawara haachiki!!

    I agree with domo zege.kama umeshajua unapataje utamu ukiwa na huyo hawara kwa nini usimfundishe huyo wako ukapata raha ile ile au kama vipi halalisha huyo hawara. Usitengeneze mtandao wa mapenzi, baki na mmoja
  5. katotokangu

    Hodi hodi great thinkers

    Napiga hodi kwa wana JF wote napenda kuungana na hii jamii katika kuongelea mada mbalimbali.
Back
Top Bottom