Search results

  1. amos eglan

    Naomba ufafanuzi kama kuna kosa la shahidi kuharibu ushahidi

    Habari za muda huu wakuu ninaomba msaada wa kutaka kujua sheria inasemaje endapo shahidi atataka ,kudhamiria kuharibu au kukwepa ushahidi wa kesi Fulani. Kama nikimpeleka mtu mahakamani na nikamtaja mtu Fulani ni shahidi wa hiZo tuhuma na akakwepa kutoa ushahid je kuna sheria inayoadhibu juu...
  2. amos eglan

    Jambo gani unapaswa kufanya ukisababishiwa ajali?

    Ni kitu gani dereva anatakiwa kufanya cha haraka endapo chombo chako cha usafiri utagongwa na gari jingine na sehemu ambayo huwezi kupata msaada wa traffic kupima ajali? Ni kitu gani natakiwa nifanye ili dereva asikimbie? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. amos eglan

    Wasafi media inakula vichwa kabla ya 2020

    Za chini chini ya carpet ni kwamba ma presenter wafuatao soon wanakuwa ndani ya Wasafi FM na Wasafi TV 1. Meena Ally 2. Dina Marious 3. Dullah Ambua 4. Perfect Crispin 5. Barbara Hassani
  4. amos eglan

    Hivi Mtoto kabla hajazaliwa hupataje haja tumboni?

    Habari wanajukwaa kama tunavyofahamu mtoto pindi anapokuwa tumboni hupata chakula kupitia mama yake kile anachokula na kunywa lakini nilikuwa nataka kujua kwa sababu kila unachokula lazima ukitoe kupitia haja. Sasa kwa watoto waliopo tumboni wanapata haja kama kawaida na hutolewa na Mama au vipi?
  5. amos eglan

    Kaburi la singeli 2018

    Huu muziki umekuja kwa kasi sana na kujizolea umaarufu Mkubwa kwenye media na baadhi ya wadau haswa vijana lakini huu mziki naliona kaburi lake 2018 kwa sababu zifuatazo 1. Wadau wakubwa wa muziki huu e FM ambao ndo waliubebea bango wameanza kuupa kisogo air time imepungua kabisaaa 2. Wasanii...
  6. amos eglan

    Masister duu na wanawake wa maofisini mnatembea na vinyesi

    Yaani siku izi wadada wengi haswa warembo na wa maofisini wanamchezo wa kutembea na tishu na vijitambaa flani mfano wa tishu vinakuwa na unyevu unyevu hivi sasa kumbe hizi tissue na vijitambaa ndo wakienda msalani kukata magogo au haja ndogo wanajipangusa wanaondoka eti kisa hawataki mimaji...
  7. amos eglan

    Radio Uhuru mnatangaza mpira watu wanatukana

    Leo kwenye mechi ya simba na yanga nimesikia vioja radio uhuru walipokuwa wanarusha matangazo ya mpira yaani wale watangazaji sijui walikaa jukwaa gani maana kelele za mashabiki zikawa zinasikika live tena matusi mazito na makubwa ajabu ambayo yalikuwa yanapaa kwenye maskio ya wasikilizaji...
  8. amos eglan

    Friday night live kina amsha amsha shilawadu haina jipya

    Yaaani kiukweli mwanzoni hiki kipindi cha shilawadu kilikuwa kinaonekana ku take over vipindi vya burudani kiasi kwamba ikaonekana kwamba kipindi pinzani cha ijumaa Friday night live chaliii lakini kwa sasa Friday night live ni moto aisee creativity nzuri ya kuwakutanisha ma super star ambao...
  9. amos eglan

    Naomba kujua sehemu za kupata D.N.A test

    Habari zenu wakuu hivi kwa hapa Dar es salaam huduma ya vipimo vya vinasaba naweza kuipata vipi au kuna process gani za kufanya. Maana ujinga wa kulea mtoto wa mtu hauingii akilini ndugu zetu siku hizi ujanja ujanja umekuwa mwingi bora nusu Shari kuliko shari kamili nijuzeni nikapate uhakika.
  10. amos eglan

    Birthday za kisasa hizi

    Siku hizi Kama birthday yako hujafanyiwa hivi basi wee mshamba
  11. amos eglan

    Mliokosa 1st round nawashauri fanyeni haya

    Habari zenu wanajukwaa napenda kuwashauri waliokosa vyuo first round wazingatie yafuatayo Kama wanataka kusoma. 1. Msinga'ng'anie course zenye compition kubwa zimeshacover na vipanga course kama MD , law, petrolium , Civil engineering NM 2. Wengi mmekosa first round kwa sababu mlikuwa na div...
  12. amos eglan

    Humphrey Polepole stuka, Jerry Muro anamendea kibarua chako

    Yaani mpaka sasa kama Humphrey pole pole hujajua Jerry muro nini anakitaka basi ni cheo chako cha itikadi na uenezi Kama umeona uteuzi wa Juliana shonza Leo basi utakuwa umepata picha halisi kwamba ili Uteuliwe serikalini basi lazima uamshe dude kwa upinzani. Sasa jerry muro ameshalijua hilo...
  13. amos eglan

    Hivi kuna watu wamechagua ualimu wa arts?

    Habari zenu wana jukwaa nimesikitika kuona utitiri wa madogo bado wanaigombania BAED hivi wameyasikia matangazo kweli ya mkulu. Kwa nini usomee course ya unemployment? Kwa nini watu hawana vision? Ualimu ni zilipendwa madogo
  14. amos eglan

    Mawakala wa mabasi Ubungo terminal mbona siyo waelewa

    Habari wana jukwaa poleni na purkushani za hapa na pale me nilikuwa nataka nijue hawa jamaa wanaokaa nje ya kituo cha Mabasi ya mikoani ubungo utaratibu wanaoutumia ndiyo maelekezo ya ofisini au VIP I Tunajua mnatafuta riziki sawa lakini sasa jamaa wanachofanya ni usumbufu na Kero kwa abiria tu...
  15. amos eglan

    Kuna kukosa mkopo anza kujiandaa kisaikolojia

    Habari zenu wana jukwaa napenda kuwashauri kitu madogo wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu haswa wa masomo ya sanaa kwamba mjiandae kisaikolojia pindi mkikosa mkopo au wazazi na ndugu waanze kujipanga mapema lipitishwe bakuli mje kukaza Maana shida huja pale kila mtu anapofikiri kwamba kwa kuwa...
  16. amos eglan

    Clouds 360 kukaa kuijadili suit ya Maalim Seif sio busara

    Aisee yaani leo nashangazwa na kipindi pendwa cha Mh Rais kutumia nusu saa nzima eti wanajadili vazi la Maalim Seif la suti kuwa ni kituko na Kuliltea maada. Sasa tofauti yenu na shilawadu ni nini au mlipangwa kumdhalilisha maalim tu kumbekeni maalim ni mtu mwenye wadhifa mkubwa Sana na...
  17. amos eglan

    Diamond karanga sijazielewa kabisa

    Hatimae jana katika pita pita zangu nilivyopitia kwa bwana Mangi si ndo nikaona karanga za ndugu yetu nikasema ngoja nione kinachopewa promo hivi kunani. Daaah kwa kweli ladha yake zile karanga hamna kitu chumvi nyingi alafu zinakereketa kwenye koo sijui kwa wenzangu inshort zinakinaisha. Sent...
  18. amos eglan

    NI JAMBO LA KIKATILI ALILOKUFANYIA BABA AKO UTOTONI LIMEKUPA FUNZO MPK LEO

    Habari za muda huu wana JF Leo ikiwa siku ya kina baba duniani imenifanya nikumbuke siku ambayo mshua alinipa hela ninue baadhi ya vifaa vya ujenzi kwenye maduka aliyokuwa amenielekeza kwa sababu vinapatikana kwa bei nafuu basi Mimi kwa uvivu wangu nikaona ile pesa ni kubwa nitanunua popote tu...
  19. amos eglan

    Uchaguzi DARUSO wana UDSM mjitafakari

    Wakati chuo kikuu cha udsm kikielekea kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi daruso ambayo kwa siku za karibuni imekosa msisimko tofauti na miaka ya nyuma ambapo ilkuwa daruso inatoa viongozi imara wanaoweza kulikemea taifa na kutetea maslahi ya wanafunzi si udsm pekee Bali Tanzania nzima...
  20. amos eglan

    Wadada: Kama unajijua upo period unafata nini gheto?

    Habari za muda wakuu, Nataka niwatolee povu baadhi ya wanawake haswa visichana unakuta unakipanga ukakigegede kinakupangia siku kinakuja lakini cha ajabu akifika ghetto baada ya stories mbili tatu na romance za hapa na pale unapotaka kupima oil au kumsaula utasikia baby me nina bleed, pumbavu...
Back
Top Bottom