Search results

  1. amos eglan

    #COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Watu wanataka kukimbilia mi mask tu kabla ya kujikinga utafikiri mask ndo dawa wakati chumba mnalala sita. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. amos eglan

    Naomba ufafanuzi kama kuna kosa la shahidi kuharibu ushahidi

    Habari za muda huu wakuu ninaomba msaada wa kutaka kujua sheria inasemaje endapo shahidi atataka ,kudhamiria kuharibu au kukwepa ushahidi wa kesi Fulani. Kama nikimpeleka mtu mahakamani na nikamtaja mtu Fulani ni shahidi wa hiZo tuhuma na akakwepa kutoa ushahid je kuna sheria inayoadhibu juu...
  3. amos eglan

    Jambo gani unapaswa kufanya ukisababishiwa ajali?

    Ni kitu gani dereva anatakiwa kufanya cha haraka endapo chombo chako cha usafiri utagongwa na gari jingine na sehemu ambayo huwezi kupata msaada wa traffic kupima ajali? Ni kitu gani natakiwa nifanye ili dereva asikimbie? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. amos eglan

    Wasafi media inakula vichwa kabla ya 2020

    Dina marious correction
  5. amos eglan

    Wasafi media inakula vichwa kabla ya 2020

    Za chini chini ya carpet ni kwamba ma presenter wafuatao soon wanakuwa ndani ya Wasafi FM na Wasafi TV 1. Meena Ally 2. Dina Marious 3. Dullah Ambua 4. Perfect Crispin 5. Barbara Hassani
  6. amos eglan

    Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

    Hii nchi bhana yaan kila kitu connection kama huna connection huwezi kuipata hiyo video
  7. amos eglan

    Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

    Yaani nyie ndo mnaogombaniaga mirathi ndugu wakifa
  8. amos eglan

    Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    We ulikuwa chakula ya watu jela kama kwel ulkaa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. amos eglan

    Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    We ushawah kukaa jela..? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. amos eglan

    Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Hivi watu wenye wadhifa wakienda huko inakuwaje treatment yao kuna mahabusu ya V.I.p mfano kina malinzi hawa au wote selo moja na wakihukumiwa wafungwa wana watreat vipi wawapo gerezani ukiwa kama mtu maarufu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. amos eglan

    Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Na hao mashoga wanaolawitiwa huko jela hawapewi adhabu na maafande wakikamatwa na wafungwa wenzao wanawachukuliaje na hawa mashoga wakihukumiwa kule hali inakuwaje Sent using Jamii Forums mobile app
  12. amos eglan

    Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Kuna watu uraiani wanakuwa na damu za jela mfano anaweza kutoka jela labda ukonga akakafanya tukio akarudi tena ndani ya muda mfupi wafungwa wa namna hii hali huwa inakuaje wanaporejea na kuna watu kweli wanafanya uhalifu kwa makusudi wakakae jela hawa watu wanakuwa wanapapendea nini huko jela...
  13. amos eglan

    Unapotoka kusaliti (kuchepuka), unapokutana na mwenza wako hivi unajisikiaje?

    Haahah hayo mambo utakuwa umeanza ukubwan yaan kchepuka tu unajistukia itakuwa we ni baba mwinji watu wanachepuka na wakrudi macho makavu show tena Sent using Jamii Forums mobile app
  14. amos eglan

    Clouds TV yafuta kipindi cha kumuhoji Maalim Seif kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao

    Kwa fununu za chini chini bwana kusaga alipigiwa simu akapewa onyo Kali sana na bwana Sharif alishafika mjengoni Sent using Jamii Forums mobile app
  15. amos eglan

    Wanaume wasio na wapenzi Wana furaha na amani

    Lakini c ananjunja Sent using Jamii Forums mobile app
  16. amos eglan

    Mwizi uliyeiba i phone jua unaonekana mpaka kwako picha inajieleza

    Kwa hiyo huyo mwizi akiwa anakula mzigo unaona mambo Sent using Jamii Forums mobile app
  17. amos eglan

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wewe kama wewe ulishawahi kufanya biashara yoyote labda na unaujuz wwte wa biashara au idea cz siyo lazma ujitumbukize kwenye biashara ya bidhaa hiyo ni risk muda mwingine unaweza jikita hata kwenye kusuply huduma tu mfano kuwa agent wa Gas unatega mtaa unakuwa unawapelekea wewe majumban kila...
  18. amos eglan

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Biashara ni risk piah kwa pesa yako hiyo usijaribu kuiingiza yote kama mtaji kwenye biashara angalia biashara ambayo at least utatumbukiza laki 5 kwanza huku ukiangalia upepo unaendaje, pia hujasema unaishi sehemu gani ni mjini au kijijini Upo Dar es salaam au mikoani mingine kwa sababu kila...
  19. amos eglan

    Hii mimba itakuwa ni Yangu au ilikuwepo tu kama mtego!?

    Kwa uañdishi wako huna uwezo wa kumpa mtu mimba relax is not your broo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom