Search results

  1. southernboy

    msaada jinsi ya kusajili biashara ,leseni pamoja na gharama zake

    habari waku,nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza mazao ya chakula kama mahindi,maharage na mengine .kwasasa nimeshafanya michakato ya kupata fremu ya kuuzia ila sijajua naanzia wapi kufanya usajili ,leseni yake pamoja na gharama zake. mwenye kujua anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  2. southernboy

    Anayehitaji dereva

    Habari wakuu,mimi ni fundi mwanafunzi japo ndo najiifunza umeme wa magari bado nipo garage , Pia ni dereva mzuri na leseni ninayo class ABD kwahiyo kwa wakazi wa Dodoma anaye hitaji dereva wa kumtuma sehemu au kupeleka watoto shule na kuwarudisha nyumbani nipo hapa .karibuni
  3. southernboy

    Ipi nzuri kati ya ufundi magari na ufundi uchomeleaji

    Salaam wakuu. Naombeni ushauri ni ufundi gani upo vizuri kwenye Kipato kati ya kuwa fundi wa kutengeneza magari upande wa umeme wa magari na uchomeleaji(welding)?.
  4. southernboy

    Natafuta Mwalimu wa boxing Dodoma

    Hello wakuu, Nipo dodoma natafuta Mwalimu atakae weza kunifua kwenye Boxing (yaani mapigano yale ya ulingoni kabisa) kama yupo naomba mawasiliano yake.
  5. southernboy

    Napataje kadi ya CCM na kuwa kijana wa UVCCM

    Habari wakuu, Najua hili ni jukwaa husika nitapata msaada, kwa kipindi kirefu tokea nimalize chuo nilikuwa jkt sikuweza kupata fulsa ya kujihusha na siasa japo tulikuwa tunakutana na vijana wa ccm kwenye kazi mbalimbali kama usafi kwa muda ule hada ningepata dondoo kutoka kwao nisingeweza...
  6. southernboy

    Nafasi 2 za kazi za stationery

    sifa Mhitimu kidato Cha nne au zaidi Cheti /diploma kuhitimu mafuzo ya computer /secretarial au record management.. Uzoefu wa kutosha kwenye office application kama Microsoft word ,Excel,publisher ,graphics editing etc Internet - Email and online services / application.. - Kuwa na uzoefu au...
  7. southernboy

    Leo kama najiona nalala na njaa kali

    Habari zenu wakuu, kijana wenu katika kuhangaika hii wiki nikapata kahela kidogo, sasa leo nilikuwa nimebakiwa na sh. 12,000/= kwenye mfuko wangu wa suruali ..nikiwa ninaenda kanisani asubuhi kwenye daladala akaingia kipofu ambaye anaombaomba mule ndani nikaona sio mbaya nikachukua mia5 moja...
  8. southernboy

    Siku za kupata mimba ni zipi?

    Habari wakuu. mimi naomba niulize kwani maana nmekuwa nikifatilia kalenda za ninaokuwa nao kwenye mahisiano ili wasipate mimba zisizo tarajia. ila kwa huyu sasa wa sasahivi ndio sielewi elewi maana ameniambia yeye mzunguko wake ni siku 28 na mini nikafuatilia nikaona ni kweli. Sasa siku...
  9. southernboy

    Nipo Dodoma nisaidieni kibarua chochote

    Habari wakuu, nisaidieni kijana wenu nipate kibarua chochote nipate hata njia ya kukusanya mtaji. Hata mwenye connection naomba anisaidie nimekwama huku mtaani hata kuchimba mifereji nayo bila connectio ni ngumu kupata. Ninafanya kazi yoyote ile ya kutumia nguvu au hata za sales na marketing...
  10. southernboy

    mkuu wa majeshi alivosema kuna vijana wanasafirishwa nilitamani niipate hiyo connection

    Habari wakuu. Yaani kuna muda unaweza kysikia habari mbaya lakini kutokana hali yako ya maisha unatamani hiyo habari iwe heri kwako,Mimi binafsi nilipitia jkt kujitolea miaka mitatu 2019 hadi 2022 ,Lakini mazingira niliyo pitia ya kuona wenzetu njia walizopitia kuajiriwa na mimi sikuwa na...
  11. southernboy

    Benki gani inakopesha pesa ya kuanzisha biashara?

    Habari wakuu, mimi nina idea na biashara lakini nimeshindwa kabisa kuanza kwasababu ya kiuchumi. Naomba kuuliza ni bank ipi inatoa mikopo kwa watu aina kama yangu au kama kuna mdau wa JF ataweza kunisaidia niweze kujikwamua. Idea nimeifanyia utafiti wa kutisha na kujiridhisha lakini sina pesa...
  12. southernboy

    Naomba kuelezwa jinsi ya kuandika Letter of Interest

    Habari wakuu, Msaada mwenye idea jinsi ya kuandika letter of interest naomba anisaidie hata sample
  13. southernboy

    Natafuta Google pixel 4a

    Habari wa kuu natafuta simu ya Google pixel 4a iliyo na hali nzuri aniuzie bajeti yangu ni 250k nipo Dar.
  14. southernboy

    Natafuta frame ya biashara

    Habari wakuu,nahitaji frame nitakayo weza kuweka biashara ya nguo za kike na za watoto maeneo ya Kigamboni, Mbagala au Mbezi, kama una namba ya dalali pia unaweza kunisaidia. Pia eneo lolote lenye location nzuri na bajeti isiyozidi 100k kwa mwezi naomba mawasiliano
  15. southernboy

    Am single again

    Baada ya kipindi kirefu leo nimechanwa makavu kuwa its done. NB: Sina kosa, ila ni ujobles na kibunda hakisomi. Kila siku kuna mishe nasikilizia na ni kweli kuna mishe naisikilizia huu mwaka haupiti. Ila amechoka kuvumilia na mimi, nimekubali nitafanyaje sasa. [emoji2357] Nakaribisha pole zenu...
  16. southernboy

    Simu inaandika the battery connection error, check the battery contant status wakati wa kuchaji

    Habari wakuu, Nina simu aina ya oppo ilizima sababu siku chaji sasa wakati wa kuchaji inaniandikia hayo maneno hapo juu halafu inazima. Wataalamu nisaidieni hiyo ni ya kubadili battery au ni matengenezo madogo nisije enda kwa fundi akanipiga parefu.
  17. southernboy

    Jeshi la Polisi linaajiri vipi?

    ppc
  18. southernboy

    INAUZWA RAM zinauzwa bei nafuu

    RAM zinauzwa kama zinavooneshwa kwenye picha hapa chini zipo za 2gb na 4gb jumla zote zipo 4 chukua zote kwa 100k ni nzima na zilitumika kwenye computer za kufundishia kwa muda tuu bei zake mojamoja ni. 2gb ni 20,000/= 4gb ni 40,000/= ukichukua zote ni 100k. karibuni napatikana Dodoma kwa...
Back
Top Bottom