Search results

  1. Changamka

    Jamaa aliyemla lecturer wake amenizidishia ujasiri

    Ma lecture mbona walika kilain tu !
  2. Changamka

    Chochote kizuri nikimhusisha mama kinakufa

    Pole sana ! Omba kwa ajili ya vita iliyopo ndani yenu kupitia mama Yako mzazi ! Mungu akuongoze zaidi ...akupe maarifa na hekima zaidi jinsi ya kuamuaa na kuhakikisha usimukwaze mama !! AU AKIJA SEHEMU YOYOTE SEMA MANENO HAYA KIMOYO MOYO "Mungu najua wewe unawajua wazuri wangu na wabaya wangu,Na...
  3. Changamka

    SoC01 Safari ya Maisha yangu

    Hongera wokhaya
  4. Changamka

    Biashara gani halali yenye faida ya haraka within 1 week return?

    Magenge kwa maana kuuza ..matunda ,mboga mboga na vinginezo sio
  5. Changamka

    Maoni: Uwekezaji ni mzuri zaidi ya Biashara

    Nimesoma nimefurahi kupata idea tofuti hapa ...thanks for all
  6. Changamka

    Naomba kuuliza kuhusu kucarry somo

    Uki sup unasoma tena usapue
  7. Changamka

    Tuishauri nini Serikali ili kila mtanzania apate matibabu bure?

    Habari za wakati huu, Moja kwa moja niingie kwenye mawazo yangu ya muda mrefu nijaribu kufafanua kidogo kadri nilivofikiria mimi binafsi Pia kama utakuwa na wazo lolote pia usisite kuandika hapo chini ... Binafsi nimekuwaga muhanga wa kuteseka hospitalini miaka hiyo kipindi na umri wa miaka 8...
  8. Changamka

    Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder)

    Mkuu ... Nauliza mwendelezo wa Somo lako
  9. Changamka

    Antibiotic Albam 2020 ya Don Nalimison yakamilika

    Brother congratulation.... Ila ma video Queen wanatikisa haswaaa
  10. Changamka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu kwa heshima yako ...uko jf muda mrefu Sana hapa ... Pia kampani zako kwenye tips za mikeka ...niliona nijaribu kumtumia 3000 then aniwekee hapo ndo ilikuwa iwe mwanzo ...sema nikamuwekea Na kunitumia hela hajatuma kabisa ..sina Nia mbaya Na wew officer ...
  11. Changamka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Details zote hizo hapo .... Braza siku zote watu huwa wanabadilika ... Ushaniingiza hasara lakin fresh wote tunatafuta mkuu
  12. Changamka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nusu saa ishapita now. ... Nikipiga simu unakata
  13. Changamka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Officer huu wizi acha bro ... Sio fresh wote tunatafuta maisha lakin hiki unachofanya sio
Back
Top Bottom