Search results

  1. U

    Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

    Katika mazingira ya kusikitisha wale waliomwita msaliti katika chama wajikuta ghafla wakitoa pongezi kubwa kwake, kwa kuonyesha ushujaa. Zitto Kabwe kwa upande wake amekaliliwa akisema waliokuwa wabaya wake tayari amewasamehe.
  2. U

    Hatimaye John Stanley,Aibuka Kidedea Urais wa Tahliso

    Hatimaye John Stanley ambaye ni mwanafunzi wa Masomo ya Uongozi, chuo kikuu cha Usafirishaji, Jana ameibuka kidedea kwa kupata ushindi mnono katika uchaguzi wa shirikisho hilo uliofanyikia Chuo Cha Saut Mwanza. Zaidi ya Vyuo hamsini vilishiriki katika uchaguzi huo ulishirikisha vyuo vyote vikuu...
  3. U

    Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA,Lowassa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka CHADEMA kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu...
  4. U

    Lowassa na kauli za kutuchanganya

    Kwako bwana Lowassa, naomba nikuulize, hivi una mapenzi mema kwa sisi raia kweli, tunakosa imani nawe kwa kauli zako nyingi zilizo na utata, mara useme tuwapigie wagombea wa CCM, mara useme unagombea ubunge, mara useme tukipiga kura tukalale nyumbani, halafu tena tukipiga kura tulinde kura...
  5. U

    Magufuli Njia Nyeupe Ikulu

    Mgombea urais kupitia CCM Dr JPM ameonyesha kila dalili za kuwa rais wetu ajae 2015!Kiongozi huyu amefanya kampeni zake kisayansi,kimikakati na ameonyesha kujua haswa matatizo ya wanainchi wake,kujua wanaitaji nini na kipi kifanyike!Hongera magufuli,tunasubiri tu uapishwe
  6. U

    Ni Saa 144 za Kifo cha CHADEMA

    Imebainika kuwa saa 144 zilizobakia CCM na Mgombea wake Dr Magufuli wamezidi kukubalika kwa wanainchi kutokana na sera zinazogusa wananchi wa kawaida.Wakati chama cha Chadema kimezidi kupoteza mwelekeo kwa jamii kutokana na kukumbatia mafisadi na sera zao za vurugu.Saa 144 ndizo zilizobakia kwa...
  7. U

    Magufuli; Asiyeweza kasi yangu akae pembeni

    Katika kudhihirishia Umma wa Watanzania kuwa yeye ni kiongozi anayefaa na kujua wajibu wake, Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Dr John Pombe Magufuli amesema wakati wa Uongozi wake, kiongozi yeyote ambaye atajiona ana Mapungufu kazini ajitoe mapema kabla hajamtoa yeye. Magufuli...
  8. U

    Tunaimani na CCM

    Chama Cha Mapinduzi kimekuwa mstari wa mbele ktk kuhakikisha kinaleta maendeleo nchini,Tanzania ya sasa si Tanzania ya miaka 80,tuna vitu vingi tu vya kujivunia!!Ccm oyeeee
  9. U

    Vijana wazalendoCHADEMA wamkataa Lowassa

    Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa CHADEMA lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chama chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni Dr. Magufuli.
  10. U

    CHADEMA wazalendo wakubali kushindwa

    Wafuasi wa chadema wale wanaojiita Wazalendo wamekubaliana na kile kitakachotokea katika uchaguzi wa october 25. Wanachama hao wanadai chama chao kilikuwa kinapigania misingi ya maadili lakini pale kilipoachana na agenda hiyo basi wao tayari wanaona chama kimeshindwa na kuamua kumuunga mkono Dr...
  11. U

    Maelfu ya UVCCM, watikisa viwanja vya Mwembe Yanga

    Maelfu ya vijana wa UVCCM wakiongozwa na komredi Dr Emmanuel Nchimbi,wapo wakiendelea na mkutano wao viwanja vya Mwembe Yanga wakiandika historia ya vijana kufanya mapinduzi ya kumchagua Magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mkutano huo upo live Star TV.
  12. U

    CHADEMA sasa chali

    Kuna kila dalili za CHADEMA kupoteana wenyewe kwa wenyewe, majimboni hali ni ngumu kwa wagombea, zomeazomea nayo imeshika kasi, maelfu ya wanachama wake wakimbilia CCM chukulia mfano ile ya Nyamagana wafuasi zaidi ys 3500, Mtwara 1900, Geita zaidi ya 3000 nk.
  13. U

    Benson Bana: Taifa linahitaji kiongozi mwenye maadili

    Akiongea na redio one asubuhi hii, Prf Benson Bana, Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amesema Watanzania kwa sasa wanahitaji kiongozi mwenye maadili safi. Wakati tunajiandaa na kupokea serikali mpya ni vema juhudi,busara binafsi zikatumika katika kuhakikisha Taifa linapata...
  14. U

    Mnyika na maji ya shingo Kibamba

    Makamanda hali ni mbaya sana kwa Mnyika jimbo la Kibamba, hii ni baada ya movement inayoendelea chini kwa chini ya wanachama wa Chadema Asilia na mgombea wao, wanasema ameamua kuwasaliti baada ya kutukuza mafisadi waliovamia chama. Mikutano ya Mnyika imekosa watu, mbinu anayotumia sasa ni...
  15. U

    Lowassa na wasiwasi wapiga kura Monduli

    Imeshangaza sana kuona mgombea wa Ukawa Bw. Lowasa kufanya kampeni mara mbili mbili katika jimbo la monduli,kiongozi huyo alifanya kampeni Monduli kwa mara ya pili akiwa na lengo la kuzuia wakazi hao wasimpigie kura MAGUFULI,Najiuliza tu,kama Lowasa tu hapo Monduli ambapo ndipo yeye anatoka...
  16. U

    Esther Bulaya ajutia maamuzi yake

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bunda mjini kupitia CHADEMA, Esther ameonyesha kukata tamaa kutokana na kutoungwa mkono na wafuasi wa CHADEMA ambao pia wamekuwa wakimzomea kila anapopita. Hali inaweza kupelekea Steven Wasira kushinda kirahisi katika jimbo hilo.
  17. U

    Dr. Magufuli: Viongozi wa TANESCO mjiandae kuondoka

    Dr. Magufuli amesema viongozi wa TANESCO wanaoendelea kuhujumu shirika hilo kwa kukatakata umeme wajiandae mapema kuachia nafasi zao kabla hajaapishwa. Ametoa kauli hiyo kwenye mkutano wa kunadi ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi katika uwanja wa Sheikh Abeid jijini Arusha.Amesema pia...
  18. U

    Lowassa alikimbia nini Karatu?

    LOWASA ALIKIMBIA NINI KARATU: Kwa nini Lowasa hakuweza fanya mkutano karatu licha ya maandalizi yake kufanywa?kwanini aliishia Mto wa mbu wakat pale na karatu kwa chopa ni dk 5 tu?tatizo ni nini??
  19. U

    UVCCM watoa tamko, Wamuongelea Kingunge na Uchaguzi Mkuu Zanzibar

    - TAARIFA--YA UMOJA WA VIJANA WA CCM KWA VYOMBO VYA HABARI JUMATATU 5 OKTOBA 2015. Tunawakaribisha sana ndugu na wadau wetu waandishi wa habari toka vyombo mbali mbali--kwa kuja na kushiriki nasi katika mkutano wetu huu nuhimu Makao Makuu ya UVCCM leo oktoba 5 2015. Tumewaita kwa sababu...
  20. U

    Miss Tanzania 2014/2015 Lilian Kamazima: Rais wa Tanzania ajaye ni Magufuli

    Miss Tanzania, Liliani Kamazima amesema Tanzania ya sasa inahitaji kiongozi mtendaji, mchapakazi na mwadilifu ambaye atakuwa ni chachu ya maendeleo kwa vijana. Aidha katika harakati zake Liliani amezidi kusisitiza kuwa rais bora atatoka chama cha Mapinduzi ambaye ni Dr Magufuli.Amewataka...
Back
Top Bottom