Search results

  1. C

    Video iliyonitoa machozi ya mwanadada aliyedhalilishwa lodge, hatimaye wahusika wakamatwa na polisi

    Kwenye hiyo video sijaona zaidi ya maziwa ya huyo mrembo , sijaona sehemu za siri za mbele zozote za mwanaume au za mwanamke, sijona penetration zaidi ya mwanamke kukaa juu ya mwanaume. Ina wezekana penetration ilikuwepo , ila tuta thbitisha vipi? je hao wanaume wakisema kwamba walikuwa...
  2. C

    Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

    Uko sawa sana , watu kama wewe ni ndio tuna wahitaji, mnao jua kuchambua na kutumia hisia zenu kuona ukwlei uko wapi, nafurahi sana hauko Ukawa , kwani ni hatari sana k taifa hili kwa Lowassa kuenelea ku ontrol viongozi wetu ,kwasaabu Lowassa ndio fisadi mkubwa unajua kuliko wote Tanzania...
  3. C

    Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

    Kwlei kabisa, sababu bila LOwassa nchii hii isingekuana ufisadi kabisa, ni huyo tuu ndio Fisadi , tuanzishe kampeni ya kumfanya Maghufuli awe raisi wa Mille maana ata mzuai Lowassa
  4. C

    Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

    Simple mind ndio ni nani?Huyo Sija wahi Msikia , alifanya nini kwnye ufisadi sababu mafisadi nao wajua ni LOwassa huyo Simple Mind ndio yuko kwnye gesi u Lugumi? naomba jibu tafadhali asante ?
  5. C

    Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

    Kweli kabia hawa CHadema wameharibu nchi yani Lowassa katuhribia sana, Kil adili yumo. Lugumi, IptL,Escrow, Mikataba tusio ijua ya gezi, madini , yani kaweza watu wanao msupport badi wame itafuna nchi mbaka masikini JK ana maliza yani nchi ikiwa tabani , yani Lowasa jipu kuu, huyo ndio tatiz kubwa
  6. C

    Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

    MIMI na dhani Lowassa ndio katufukisha hapa, bila yeye tungekua matajiri, Angalia Lowassa ndio huyo huyo kwney Escrow, Huyo Huyo kwnye IPtl, huyo huyo katuficha mikataba ya gesi, Lowassa huyo huo katuachia nchi ikiwa taabani ,Lowasa huyu huyu kaaweka wau wale wamitafuna nchi vilivyo , CCM...
  7. C

    Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

    Hata mimi najiuliza, Ila na dhani ni LOwasa sababu katuibia sana Kwnye Escrow , Iptl, Lugumu , kwenye geni, mikataba yote hatuijui sababu ya Lwassa, yeye katuachi nchi ikiwa tabani na dhani Lowassa ndio jipu ku u nchi hii, sijui kama nime kosea au?
  8. C

    Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

    Sasa mbona hapo kama una isema CCM wakati fisadi ya wote hayo ni LOwassa, Lowassa ndio karuusu Mikataba yote kuanzia ya gesi ,madini ,Lowasa ndio karuhusu pia leo Kutokana an escro watu wanalipw apesa nyingi kama bilionne kwa Mwezi.Lowassa huyo huyo ndio aliruhusu Lugumi ,sasa hapo CCm tena...
  9. C

    Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

    Ndio tusema Lowassa ndio Fisadi pekee, hebu tuambie , maan mbaka sasa nimchenganyikiwa fisadi ni nani , sababu tumeona IPTL ,sijui Escrow, vibali va sukari ,Mara Lugumi yani ma vitu vingi sana , yani huyu Lowassa atakua mbaya sana kwa kweli ,kafisadi sana nchi hii, au nime kosea?
  10. C

    Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

    Je wa Ukawa unadhani majipu anayo zungumzia ni yepi au haujajua una subiri akuambie ni yepi? Mimi sijagundua ni yapi mbaka sasa .
  11. C

    Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

    Wala hajifichi , ndio wale wasio na maendeleo kabisa
  12. C

    Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

    Tatizo la watu wa uswahilini na mawazo yao.
  13. C

    Nimeletewa mchumba na wazazi wangu, nimemzidi miaka 14

    Siamini kwamba kuna watu mbaka leo wanaletewa wake dunia ya sasa , halaf unaomba ushauri , hivi humu kumbe tuko watu tofauti sana .
  14. C

    Nimepigwa chabo na mama mwenye nyumba leo asubuhi

    Hebu tuambie mwili wako ukoje ili niweze kukuambia alikua ana angalia nini.
  15. C

    Siku Chief Adam Sapi Mkwawa alipojiunga na TANU mwaka wa 1955

    Sija fuatilia hii habari inaanzaje , ila naijua familia ya Adam Sapi Mkwawa . Sijui huyo ni mjukuu wa ngapi wa Mkwawa ila ni yule ambaye alikua Speker wa Bunge. Alikua Muislamu na ana watoto mbaka wajukuu waslamu ninao wajua.Ila sijui huo uislamu wake ulikuaje sababu kubwa ni kwamaba...
  16. C

    Sayari inakuja kutoka mbali; Nibiru, itaigonga dunia baadaye mwaka huu 2016

    Leo hii hujajua kwamba wao pia huwa wana summer na joto huwa kali kama Bongo? kweli humu kuna watu wasio safiri.
  17. C

    Donald Trump 'Magufuli', kiongozi bora anayekuja duniani

    Halafu vitu vidogo washindwa kujua kama vina ukweli au la.
  18. C

    Tuzo za Grammy 2016 hatimae zatoa washindi.. Bieber, Kanye, Drake, Adele, watoka patupu!

    Nyimbo ya Adele au Album ya Adele hii mpya imetoka wakati , ule muda wa Tuzo kukusanya kazi zote za waanii na kuzitathmini ulikua umesha pita, So Nyimbo hiy na Album zitaingizwa kwnye tathmini kwa mwaka wa kesho.Adele hakupata Nommination yoyote mwaka huu. Aina ya Mtindo wa music wa Angeliq...
  19. C

    CCTV Camera yanasa tukio la kutisha la Ujambazi Salasala

    UKIangalia vzuri utagundu huyo jamaa aliye beba begi sio mlinzi, inawezekana ni mteja wa kwenye office za hilo jengo, wengine wana sema ana husika, lakini ukiangalia actions zake utagundua , kila lililotokea lilimstukiza kwa jinsi alivyo react kwa kutaka kuchungulia nini kinatokea na ndipo...
Back
Top Bottom