Search results

  1. Dero

    Jinsi ya kumpata mpenzi wako wa zamani

    Inawezekana hata hicho kiburi kilikuwa kinatokana na mimba...Hapo ulipokuwa unaishi naye kabla ya kuhama hakuwa na rafiki au mtu aliyemzoea sana? Kama yupo nenda kwa huyo huenda akakusaidia.
  2. Dero

    Wanaume tuliowahi kula mtungo na wanawake mliowahi liwa mtungo tupeane uzoefu

    Hata wewe ni jasiri kuja hapa na kuadithia hiyo story yako!
  3. Dero

    I am addicted to sex

    Kama unafanya na mtu mmoja mume/ boyfriend sidhani kama ni tatizo.
  4. Dero

    MTOTO WA RUGE "NANDY ALIKUWA MPENZI WA BABA"

    Endelea kupumzika kwa amani Ruge
  5. Dero

    Kwa staili hii, unagongewa shtuka

    Kweli kabisaaa
  6. Dero

    Jionee mbinu za wanawake za kukuingiza kingi

    Nilikuwa najua water guard ndio husafisha maji, kuna mtu hapa kaniambia kuwa hiyo mi dawa ya kienyeji ya kusafishia maji pia hutumika kurudisha virginity. Now I know.
  7. Dero

    Jionee mbinu za wanawake za kukuingiza kingi

    Hayo makorokoro yote jamani hiyo vagina si itaungua!
  8. Dero

    Maskini Moze Iyobo kiboko ya mashangingi!

    Moze ni nani?
  9. Dero

    movie ya bongo yashinda tuzo hollywood

    Kwani subtitle lazima..."kingreza" ndio kitauza movie au kuiga tu.
  10. Dero

    jibu la kati ya Me na Ke wakiwa na hamu ya kugegedana na wakifanya hivyo nan anae pata raha zaid

    Sasa mbona mfano wa huyo mama hauna uhusiano, mana sikio na kidole ni vya same person, angetoa mfano wa kitu kinachofanywa na mtu mmoja kwa mwingine.
  11. Dero

    Wamarekani wamshukia Hasheem Thabeet

    Nieleweshe hapo..Inakuwaje na mwanamke analipa hiyo child support? Au kama baba ameamua kutunza mtoto?
  12. Dero

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Duh! Alikuwa mbishi nini kwenda kituoni, mbona kama anamfunga pingu?
  13. Dero

    Raha ya mechi magoli na mfungwaji na yeye awe anafunga

    Ananifurahisha anavyojibu kila comment. ..ila kuwa makini ubishi wa kutumia gloves UKIMWI upo!
  14. Dero

    Jamaa ashitakiwa ukweni kisa puchu!

    Umenichekesha hadi badi.
  15. Dero

    Ndoa hizi zisikieni tu

    Mwambie ajitahidi kwenye biashara ikue na akasome. Inavyoonekana huyo mwanaume anamdharau kwa kipato chake kidogo na shule yake ndogo.
  16. Dero

    Wasoma habari TBC 1 mbona mnakuwa serious kama mnasoma habari za jeshi?

    Ila kweli mi hadi sivutiwi kuangalia news zao, wagumu!
  17. Dero

    Diva asimulia alivyoumia baada ya kuharibika kwa mimba yake ya miezi 5 (mapacha), ni wa GK

    Maskini...nimesikia huruma! it is so sad. Mungu mwema atasahaulisha uchungu wote, na atakuwa na furaha tena.
  18. Dero

    Mwasiti aanika maisha yake ikiwemo mara yake ya kwanza kuvunja amri ya sita

    Yaani kufanya mapenzi baada ya form four ndio anaona amejitunza!! heri angebaki na hiyo siri moyoni maana kuitamka hadharani sidhani kama ni sahihi , naamini kuna wasichana wadogo Mwasiti ni role model wao, hivyo nao wakimaliza form four tu wataona huo ndio muda muafaka wa ngono.
Back
Top Bottom