Search results

  1. N

    Alichokijenga Bashiru sasa kinambomoa

    Alichokijenga Dk Bashiru sasa kinambomoa Alhamisi, Novemba 24, 2022 Wana JF nimepakua hii habari ili kwa wale wasioingia kwenye magazeti muisome By Luqman Maloto Novemba 22, 1963 Rais wa 35 wa Marekani, John Kennedy “JFK”, alipigwa risasi na kuuawa. Mshituko ulikuwa mkubwa kuanzia eneo la...
  2. N

    Jane Goodall na jinsi asivyotambulika hapa nchini pamoja na kazi zake alizofanya

    Jane Goodall, ni mwanamama ambaye amweza kutangaza nchi yetu kwa utafiti wake wa Sokwe tangu mwaka 1960. Amefanya hii kazi bila kupumzika na sasa dunia nzima inatambua kazi yake na kuiheshimu. Naandika hivi baada ya kuona documentary yake juzi kwenye BBC Earth na kuona kuwa serikali yetu ya...
  3. N

    Mrejesho data za hali ya hewa Dodoma, Tanga na Kagera.

    Napenda kuwashukuru wote mliochangia kunisaidia kuhusu mwanangu kupata data za hali ya hewa ya Dodoma, Tanga na Kagera. Mwendo haukuwa rahisi na ilibidi tupige hodi kwa majirani Uganda ambao wana data zote mtandaoni na wanaweza kuwasiliana na mhusika moja kwa moja. Mwanangu ameweza kufanikiwa...
  4. N

    Vipaji vipewe nafasi.

  5. N

    Natafuta data za mvua na joto ya kila mwezi kwenye mikoa ya Kagera, Dodoma, Tanga kuanzia 2006 mpaka 2016

    Wana jamvi, naomba msaada wenu kupata hizi data za joto na mvua kuanzia 2006 mpaka 2016. Sipo nyumbani ila mwanangu anafanya research yake ya masters na professor wake anataka afanye hiyo kwa masters yake. Nisaidie ndugu zangu ningekua nyumbani ningekwenda kwa wahusika ila nipo porini...
  6. N

    Misuli ya imani: Nilipoteza ndugu wa tano siku moja ikawa chanzo cha kufa wazazi wangu

    Nimeucopy huu wimbo sababu nilipoteza ndugu watano siku moja na ikawa chanzo cha wazazi wangu kuugua mpaka vifo vyao. Inahitaji misuri ya imani. Nimekumbuka sana leo siku kama hii.
  7. N

    WanaJF, namtafuta mshana jr

    Tangu Ijumaa nimemtafuta mdogo wangu Mshana jr. haonekani, hajibu vijembe, wala pm yupo wapi?. Kuna uzi umekuja kama utani lakini mimi nipo serious naomba Mshana ajitokeze sababu kuna uzi aliutoa last week na mtu mmoja alikutishia kuwa u prove yale aliyokuwa anayasema kuhusu Lipumba na kuna...
  8. N

    Geza ulole yaja kwa mtindo wa kumba kumba

    Nimemsikiliza kaka wa kaya leo wakati anaapisha wakuu wa mikoa, kuna uzi already upo kuhusu hii isue ila nimeona nifungue wangu kuwakumbusha kuhusu Geza ulole mama Geza ulole mama weeeee? Mnaukumbuka huu wimbo? Viazi na karanga na kila kitu tutalima huko! Watakapopelekwa wacheza pool. Swali...
  9. N

    Uhuru wa Zanzibar/Pemba na usalama wa Tanganyika

    Wanajamvi kwanza natanguliza kusema kuwa mimi siyo mwana siasa wala sijawahi kugombea cheo chochote ila nimesoma elimu ya siasa, Siasa na Political science ila sijawahi jihusisha na siasa. Visiwa vya Zanzibar/Pemba wote tunafahamu vilikuwa chini ya ukoloni wa Mwingereza na pindi vilipojitawala...
  10. N

    Usafi tulioufanya leo utamaliza kipindu pindu??

    Kwanza natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Mukulu wetu kutupa hii siku ili tufanye usafi kwenye sehemu zetu za makazi na malazi. Natoa pongezi pia kwa wale wote waliojitoa kwa ihari yao au kutumiwa vimemo jana kuwa waamke kujituma.(Africana area vilikuja vimemo). Pamoja na shukrani zote...
  11. N

    Misamiati ya Kiswahili

    1. Hila ya kikwapa, kunuka pasipo kidonda. 2. Elfu huanza na moja. 3. Achanikaye kwa mpini, hafi njaa. 4. Wakati wa hatari, mguu niponye. 5. Aendaye kwa mganga, hakosi jambo. 6. Bahiri hali mali. 7. Achekaye kilema, hata kwao kipo. 8. Cheka uchafu, usicheke kilema. 9. Jawabu la kesho, huandikwa...
Back
Top Bottom