Search results

  1. P

    Natafura Fundiwa Pikipiki Kubwa

    Natafuta fundi wa Pikipiki aina ya Honda Sabre VF 750. Tangu nimeileta toka Japan sikuwahi kuitumia. Kama kuna mtu yeyote aliye na pikipiki ya aina hii naomba tuwasiliane ili niulizie fundi wakeni yupi.
  2. P

    Agiza kwetu kama hupati kwenye maduka ya dar es salaam

    BETRI ZA SIMU, CAMERA NA LAPTOP, BATTERY CHARGERS, PRINTER TONERS, SCIENTIFIC CALCULATORS, VITABU, LAPTOPS, DASH BOARDS ZA COMPUTER NAKADHALIKA. JE, una kifaa chako cha Elentronic ambacho hakifany kazi kwa sababu hakuna power Supply? Betri imevimba? Toner imekwisha? Calculator inatakiwa...
  3. P

    Betri za simu, camera na laptop, battery chargers, printer toners, scientific calculators, vitabu,

    BETRI ZA SIMU, BETRI ZA CAMERA NA LAPTOP, BATTERY CHARGERS, PRINTER TONERS, SCIENTIFIC CALCULATORS, VITABU, LAPTOPS, DASH BOARDS ZA COMPUTER NAKADHALIKA. JE, una kifaa chako cha Elentronic ambacho hakifanyI kazi kwa sababu hakuna power Supply? Betri imevimba? Toner imekwisha? Calculator...
  4. P

    kwa WANAFUNZI NA WAALIMU WANAOTAFUTA VITABU

    Kwa mahitaji ya vitabu vya aina mbalimbali, calculators, na batteries za simu na camera, chargers, power supply ambavyo huwezi kuvipata hapo Tanzania kirahisi, ebu tuagize sisi tukufatulie kwenye masoko ya vitabu duniani na kisha kukuletea hapo Dar. Tutajie jina la kitabu, mtunzi wa kitabu na...
  5. P

    Power supply, na batteries za simu, camera, laptops, comcorder, projectors za aina zote

    Je una matatizo ya kupata Batteries au Power Supply za aina yoyote katika laptop, camera, simu, comcorder, projector yako? Au una tatizo la battery au power supply kumaliza nguvu haraka kila unapoi-charge? kama tatizo ni hilo basi unahitaji kuibadilisha ili upate battery iliyo madhubuti...
  6. P

    Power supply, na batteries za simu, camera, laptops, comcorder, projectors za aina zote

    Je una matatizo ya kupata Batteries au Power Supply za aina yoyote katika laptop, camera, simu, comcorder, projector yako? Au una tatizo la battery au power supply kumaliza nguvu haraka kila unapoi-charge? kama tatizo ni hilo basi unahitaji kuibadilisha ili upate battery iliyo madhubuti...
  7. P

    OBSESSION Women Calvin Klein (MPYA)

    "kwa wanawawke wanaojipenda tu" Pacificamarine@yahoo.com inakutelea perfume ili uweze kunukia vizuri zaidi ya kina mama wote walio ofisini kwako, au kwenye sherehe husika. Changamkia perfume hii. Tutakuletea mpaka Dar. Wasiliana nasi tafadhali. OBSESSION Women Calvin Klein 3.3 oz edp Perfume NEW 3.4
  8. P

    Epson PowerLite 5500C ELP-5500 3LCD Digital Projector

    The Epson PowerLite 5500C projector Kwa wale wenye TV ndogo na unahitaji kupata picha kubwa za TV au video, au kama umechoshwa na kutumia chaki kufundishia vyuoni basi wasiliana nasi: pacificamarine@yahoo.com ili tuone namna ya kukufikishia mpaka Dar es salaam.
  9. P

    Honda EB5000X Portable Generator

    kama mgawo wa umeme unakwamisha biashara zako, basi pacificamarine inakuletea "USED HONDA Generator" inayofanana na iliyoko kwenye picha. Ilikuwa inatumika USA. Iko Dar es salaam. Ina hali nzuri mno. Wasiliana nasi at : pacificamarine@yahoo.com ili tukuunganishe na maajenti wetu hapo Dar ili...
  10. P

    Biashara ya mtandaoni

    Kwa wale waote wanaohangaika kutafuta battery za simu, au power supply za computers, battery za laptops, au printer toners na cartilages za aina mbalimbali, na ambazo ni shida kupatikana kwenye soko la Tanzania, basi usisite kutuandikia kwenye : pacificamarine@yahoo.com. Sisi tutanunua kwa pesa...
  11. P

    Kwa akina mama wanaonyonyesha au wanaotarajia kujifungua tu

    BATTERY BREAST PUMP FOR SALE. Huhitaji tena kukamua maziwa kwa mikono ili umuachie housegirl kumnyonyesha mtoto wako. Huhitaji kumnyonyesha mtoto wako kwa maziwa ya ng'ombe eti kwa sababu huwezi kukamua maziwa yako. BATTERY BREAST PUMP ni pump ya kisasa kabisa itakayoweza kunyonya maziwa na...
  12. P

    Exchange rate ikoje hapo dsm leo

    Nasafirisha kiasi kikubwa cha US$ kuja hapo Dar ili kukwepa gharama za Western Union (wao wanatugonga 1US$ = Tshs 1,475.00) Mlioko Dar, bei ikoje mtaani leo?
  13. P

    Tangazo la biashara

    Naomba nitangaze biashara yangu humu JAMVINI ili iwafikie wale wenye mahitaji. Kama unatafuta au una shida na kitu, kifaa au chombo chochote kipya au kilichotumika, tena genuine, au unatafuta spea ya aina yoyote ya gari, pikipiki kubwa au vitu vya electronics, batteries, vitabu , computer...
  14. P

    Biashara ya mtandaoni

    Naomba nitangaze biashara yangu humu JAMVINI ili iwafikie wale wenye mahitaji. Kama unatafuta au una shida na kitu, kifaa au chombo chochote kipya au kilichotumika, tena genuine, au unatafuta spea ya aina yoyote ya gari, pikipiki kubwa au vitu vya electronics, batteries, vitabu , computer...
  15. P

    Nabisha hodi

    wanajamii mpoooooooo!!!!!!! Mimi ni mwanajamii mpya kabisa, yaani brand new. Sichachakachuliwa na itikadi yoyote wala siasa zozote au dhehebu wala nchi yoyoye zaidi ya shule ya darasani. naomba mniendeleze ili niweze kusimama kwa miguu yangu mwenyewe. nina miaka kadhaa sasa ya kufanya biashara...
Back
Top Bottom