Natafuta fundi wa Pikipiki aina ya Honda Sabre VF 750. Tangu nimeileta toka Japan sikuwahi kuitumia. Kama kuna mtu yeyote aliye na pikipiki ya aina hii naomba tuwasiliane ili niulizie fundi wakeni yupi.
BETRI ZA SIMU, CAMERA NA LAPTOP, BATTERY CHARGERS, PRINTER TONERS, SCIENTIFIC CALCULATORS, VITABU, LAPTOPS, DASH BOARDS ZA COMPUTER NAKADHALIKA.
JE, una kifaa chako cha Elentronic ambacho hakifany kazi kwa sababu hakuna power Supply? Betri imevimba? Toner imekwisha? Calculator inatakiwa...
BETRI ZA SIMU, BETRI ZA CAMERA NA LAPTOP, BATTERY CHARGERS, PRINTER TONERS, SCIENTIFIC CALCULATORS, VITABU, LAPTOPS, DASH BOARDS ZA COMPUTER NAKADHALIKA.
JE, una kifaa chako cha Elentronic ambacho hakifanyI kazi kwa sababu hakuna power Supply? Betri imevimba? Toner imekwisha? Calculator...
Sisi tunaweza kukuletea Nokia E71 mpaka Dar es Salaam kama hii:-
NEW NOKIA E71 BLACK UNLOCKED GSM QUADBAND PHONE BEI YAKE NI $285.00
Tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com ili tuzungumze biashara
Mdau,
Hakuna duka linalouza bidhaa hii na kama kuna duka ambalo sisi hatulijui basi ni bei mbaya. Sisi tunawza kukuagizia toka Hong Kong, mpya au iliyotumika. Ebu angalia hii:-
10 Sheets T-Shirt A4 Iron-On Inkjet Printer Heat Transfer Paper For Fabric Cloth
From Hong Kong...
Mkuu hapa Dar huwezi kuzipata mpya. Unaweza kupata used kutoka kwa mtu aliye na hiyo xbox iliyoharibika. Ukiona hakuna la maana hapa kwetu tuambie ili tukuagizie mpya kutoka kwenye soko la dunia. Ni $50.00 zikiwa Dar.
Tuandikie pacificamarine@yahoo.com
Nextleve nadhani hauko tayari. Kama ungekuwa tayari ungekuwa umeshatuandikia kwenye e-mail yetu ili tuanze mahusiano ya kibiashara, wewe utufahamu sisi, na sisi tukufahamu wewe ili tuwekeane mikataba na kisha tunakuagizia. Kupitia humu humu jamvini, hatuwezi kuagiza maana hatukufahamu.
Kwa mahitaji ya vitabu vya aina mbalimbali, calculators, na batteries za simu na camera, chargers, power supply ambavyo huwezi kuvipata hapo Tanzania kirahisi, ebu tuagize sisi tukufatulie kwenye masoko ya vitabu duniani na kisha kukuletea hapo Dar.
Tutajie jina la kitabu, mtunzi wa kitabu na...
Mkuu pole sana na shida hii. Sisi tunaweza kukuagizia toka Belgium kama hii hapa:
New HP 494282-001 Compaq Presario CQ50, CQ60, CQ70 Intel Motherboard
Tutakuagizia na utakuja kuchukua kwa agent wetu hapo Dar . Ukiwa serious na una shida basi tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com na...
Mkuu, Laptop unayotaka huwezi kuipata hapo Dar, ina vikorombwezo vingi mno. Kwenye soko la dunia tunapata hii hapa:-
HP ENVY dv7t-7200 Select Edition 17.3" Notebook - Customized, kutoka Mexico kwa Dola $790.00 na utaichukulia Dar. Kama uko serious basi tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com...
Tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com. Sisi tutakuagizia tpoka Belgium tutakuletea mpaka Dar es Salaam.
Battery For Lenovo 3000 G430 G450 G530 G550 LO8N6Y02 42T4729 42T4730 L08S6C02
$79.57
Tutakuletea mpaka DSM, kama utakuwa tayari kusubiri kwa wiki mbili hivi. Tutakuletea hii:-
Western Digital WD 500GB My Passport Mac USB 2.0 Portable External Hard Drive
Tuandikie : pacificamarine@yahoo.com. Bei yake ni $ 79.00
Tuandikie kwenye: pacificamarine@yahoo.com ili tukuagizie kama hii:
NEW NOKIA N97 32G 5MP WIFIGPS QWERTY UNLOCK SMARtphone kwa $325.00 . Tutakuletea mpaka Dar es Salaam.
Tuandikie sisina utupe aina ya Ipod unayotafuta, mpa au used, GB ngapi ili tukutafutie kwenye soko la dunia, US, UK, Japan, Canada au Mexico. Andika : pacificamarine@yahoo.com
Mwekezaji, kwa joto lililopo Dar huhitaji hiyo Proofer kwani lile dongo (dough) linaumuka lenyewe bila kuhitaji proofer. Kwa slicer na ile mashine ya kukatia vipande vidogo vidogo vya lile dough, hapa TZ kwetu sijaiona lakini ziko Nairobi pamoja na kwamba bei zake ni mbaya mno.
Tunaweza...
Mkuu, Twaweza kukuagizia toka Belgium hiyo motherboard unayotafuta. Tunazo kama hii:-
Dell LGA 775 Motherboard E210882 W/ 2GB Ram and Pentium 4 3.2GHz SL7J8
Bei yake ni ya $105.00
Tuandikie : pacificamarine@yahoo.com
Waweza pia kuagiza aina yoyote ya kitu ambacho hakipatikani TZ nasi...
BlackBerry Storm2 9550 - 2GB - Black (Unlocked) Smartphone
Mpya: $ 358.00, Refurbished $295.00 na used $ 180.00.
Tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com ili tufanye biashara
Mkuu tunaweza kukuletea hiyo battery mpaka Dar es Salaam kwa bei ya $95.00. Tutakuagizia kutoka Marekani na kukuletea mpya mpaka Dar es Salaam. Ikifika utakwenda kulipia na kuchukua battery yako. Bei hii inachanganya , kila kitu, ushuru, usafiri na insurance. Tuandikie kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.