Pslmp umeshikilia sana hiyo point yako moja ya ukabila. Ukabila unahusianaje na uongozi wa mkoa? Hakuna mtu anayedai kuwa viongozi wa mikoa hiyo wawe wa makabila ya mikoa yenyewe. Watu wanataka viongozi watakaosimamia shughuli za maendeleo ipasavyo, regardless walikotokea. Kumbuka, sisi watu wa...
Issue nyingine muhimu ni safety. Wenye maduka wanashindwa kufungua usiku kwa sababu ya usalama. Kama vyombo vya usalama vingekuwa imara na vyenye uwezo wa kusimamia usalama wa hizo biashara kwa masaa yote, wenye biashara wangefungua hata usiku.
This is what makes you great! What you and your team did demonstrated extraordinary patriotism and now, by the grace of God we are alive to see the rewards. We are proud to have a leader of your caliber and we are forever greatful for it. Much respect!!
Watu mbona wanashindwa hata kuelewa lugha yao? Ripoti ya Ikulu imesema Mwenyekiti wa Barick amekubali kuanza mazungumzo ambayo yatakuwa na lengo la kufikia muafaka kwa pande zote mbili. Nowhere does it say they will start paying!! They will initiate negotiations (which is normal in any business)...
Where do you get this view? Kwa nini wasimsikilize? Kwani hiyo bajeti anaandaa waziri? Ni bajeti ya wizara siyo bajeti ya waziri. Pia uelewe kuwa naibu waziri ndiye waziri wakati waziri hayupo.
We 've got to go beyond party politics on national issues like these. The president is trying to do good today, which includes correcting mistakes committed by leaders of the past. Kwamba yeye ni CCM na waliofanya haya makosa walikuwa CCM ina maana kwamba hawezi kufanya marekebisho? Mimi ni...
My friend! Aombe msamaha kwa kosa gani alilolifanya? MMM is a contributor like you and me. Hana mandate au requirement ya kutetea upande wowote just like you and me. Kama una uchu wa kuombwa msamaha watafute wale uliowachagua na unaowalipa mshahara waombe msamaha kama wamefanya kinyume na...
Hii ni proof kwamba unatakiwa kuacha uvivu na jitahidi uende shule. Kwa sababu mtu hakubaliani na point yako basi unaamua kumwita Bavicha. Kwani kuna ubaya gani hata kama angekuwa Bavicha? Kama ungekuwa una uelewa ungejua kuwa issue ya Wakenya kufanya kazi Tz na vice versa ni issue inayohusiana...
Mheshimiwa Waziri pamoja na kwamba sijawahi kudoubt resume yako, nashukuru umepata time kuelezea kwa undani jinsi ambavyo ulistruggle hadiukafikia ulipo. Wizi wa vyeti ni mojawapo ya matatizo makubwa tuliyo nayo Tanzania. Inaturudisha nyuma. Tatizo litaisha wakati waajiri watakapokuwa serious...
Regardless na alipo Nyani Ngabu, alichosema kwani ni uongo? Point kubwa ambayo ungechukua ni kwamba mambo yamerudishwa pale yanapotakiwa baada ya miaka kumi ya kutegemea ufisadi. Wale watakao acknowledge hili mapema ndio watakaofanikiwa. Kama unang'ang'ania uchumi urudishwe kwa mafisadi ili na...
Naomba nichangue kidogo tu ndugu yangu Yericko kwamba pamoja na kwamba nakubaliana na wewe kuwa CCM wana abuse sana kodi yetu kwa hili uko wrong. Raisi anapokuwa ofisini ana haki ya kutumia vyombo vya ofisi kufanya shughuli zake zote hata za kichama. Sababu mojawapo kubwa ni kuwa huwezi...
They have to start somewhere!! Huo unafiki unaousema uko wapi? Hawa watu wanatoa msaada kwa wananchi kama sehemu ya kuimarisha uhusiano wao na wateja. Wameona umuhimu wa kuanzia Dar ambapo ndiyo makao yao makuu yalipo, in other words, nyumbani kwao. Eventually wataeneza huo msaada mikoani...
Kuna issue ya urasimu pale DAR tofauti na JRO ambapo process ni simplified. Sababu kubwa ni corruption. Wote tunajua kuwa kama process ikiwa simple, wenye kupenda corruption watashindwa kucheza. Pale JRO ukipita ni one touch umemaliza. Unatumia dirisha moja na process inamalizika haraka sana...
Kamanda Sirro ana uwezo gani wa kuhakiki vyeti vya watu? Hii ndiyo problem. Kutoa responsibility kwa watu ambao unajua kabisa hawataweza kufanikiwa. Vyeti feki vitaondoka pale waajiri watakapokuwa serious na kuhakiki vyeti vinavyotolewa na applicants. Waajiri wanawasiliana na vyuo kuhakiki vyeti...
Vetting process iliyo nayo serikali yetu ni mbovu kwa sababu imejaa "yes men". Raisi hawezi kufanya kila kitu na hawezi kuwa right saa zote. Washauri wake wanatakiwa kutambua hilo na kumshauri accordingly. Wale wanaohusika kwenye issue kama hizi nao wanaogopa kupoteza kibarua na hii ni problem...
Mara nyingi sikubaliani na positions za Chris lakini this time yuko on point. Wanaopiga kelele kuhusu Magufuli hatuwataki kwenye ujenzi na maendeleo ya nchi yetu. Ndiyo wale wale waliotufikisha tulipo sasa.
Nuff said!! Huwezi kusikia makampuni honest yanalalamika kwa hizi moves anazofanya Bulldozer. Only the corrupt will complain. Kila siku nikiongea na watu wanalalamika hali ngumu Magufuli amebana kila mahali. Ukiwauliza amebana nini wanasema amebana hakuna wizi tena na kila mtu anafanya kazi kwa...
Jamani mwacheni JK naye atembelee daraja. He had a hand in building it! The bridge is part of his legacy whether we like it or not. Kweli ametuachia matatizo kama corruption na wauza unga ambao alidai alikuwa anawafahamu ila hakutaka kuwashitaki, lakini daraja la Kigamboni ni ahadi moja nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.