Search results

  1. O

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    Naunga mkono hoja, lazima baraza la mawaziri livunjwe na kumuondoa PM. Huwezi kukaa na PM anayetoa matamshi ya rejareja ya jinsi hii tena bila kufanya utafiti wa kina. Kuendelea kubaki naye rais atakuwa anajitukanisha mbele ya anaowaongoza na mbele ya jairo.
  2. O

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    Hapo kwenye msimbazi, hebu atuambie walilipia kwa kutumia nini? Tunataka tujue gharama za chakula na malazi ni kiasi gani? Hawa wakisafiri huwa wanapewa Imperest, sasa wanalipwa vipi tena na EWURA.
  3. O

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    Juu ya ukweli wa hii taarifa naomba niruhusuwe niwe doughting tomaso, lazima nione viganja ndio ni amini. Ya wezekana ni watu wa idara ya hali ya hewa mko kazini na kipima upepo( you call it barometer sio?). Inasemekana mnatumia mbinu za zamani kupima hali ya hewa. Bali ni furusa ya kuona...
  4. O

    New International Airport and Port in Bagamoyo; hivi ni vipaumbele sahihi?

    Kama mnahujumu ya tanga ili mjustify kujenga hii ya bagamoyo kwenu why mombasa wasipete. Mkiambiwa mnabiashara za malori ya kwenda congo mnajibu simple sisi wabaangaizaji tu tunamiliki corolla. Watu wakiconclude mnafanya mamuzi ya kuigharimu nchi na wananchi wengine kwa manufaa ya biashara...
  5. O

    New International Airport and Port in Bagamoyo; hivi ni vipaumbele sahihi?

    Mkubwa umesema vizuri, problem jamaa wanakimbizana na muda wa kumaliza vipindi vya uongozi wao. Itakuwa busara kwenye katiba mpya kukawekwa sheria yenye provision ya kushitaki viongozi kama hawa. Na nyie wabunge mnao elewa masuala mlikuwa wapi hili likapita kwenye bajeti. Nina shaka kama wakina...
  6. O

    Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

    Mimi ni mmoja wa wale waliojua kuwa haya yanayomtokea mubaraka ya ngali mtokea kwa vile tuhuma zake ni za kweli na ni mambo aliyokuwa anayafanya wazi kwa wananchi wake hasa wapinzani wake, tena kwa jeuri ya hali ya juu, ilikuwa ni suala la muda tu. Hata haya tunayayoyasikia kwa hawa viongozi...
  7. O

    Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

    Tunataka katiba mpya Tanzania ili iwashughulikie hawa mapandikizi wanao dhoofisha demokrasi nchini.
  8. O

    Hatimaye Babaj Yawa Zimamoto

    Mmepata bei yake ni kiasi gani? serikali imetoa order ya ngapi? inaweza enda kasi kiasi gani? ilikuwa ilishatumika nchi gani? n.k,n.k,n.k. Watu wamepata baraka za mkuu na wamesha tengeneza ulaji, Tanzania bana, naipenda.
  9. O

    Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

    Acha wawatie vidole vya machoni hao Wamarekani na washirika wao kwa kubwabwaja hovyo, siku watakapochoka kusingiziwa na kuamua kufanya kweli waandae na mashimo ya kukimbilia.
  10. O

    Watoto waletwa kujaza viti Karimjee Hall-Katiba

    Hatimae watoto wa mitaani wameonekana wana umuhimu maana yake serikali ilikuwa inawaacha wazagae ovyo, pengine nao sasa wataweza kusaidiwa. Natoa angalizo tusije fika mahali wakawafungulia maghala ya silaha kama huko libya walivyo fanya, dalili za mvua ni mawingu.
  11. O

    Mkullo: You could learn how it works elsewhere

    Hayo mafuta yakiingizwa nchini mpaka yamepakuliwa kutoka kwenye meli gharama yake haizidi shs 350/= Kodi na gharama nyingine za hapa nchini ndio zinatufikisha mpaka shs 2,000/= kwenye pump. Sasa nikisema nchi hii ni ya majuha nitakuwa nimekosea?
  12. O

    A.G. Werema: Tutatafsiri Muswada Kama Walivyofanya Wanakongamano wa UDASA

    Sasa ni watu wangapi watahitajika kuwa wakalimani nchi nzima? Gharama ya kuwapeleka kila pembe ya nchi itakuwa kiasi gani. Hapa kuna kila dalili ya kutengeneza mazingira, anyway ndio tanzania yetu ilivyo.
  13. O

    Open-space Jangwani: Kikwete adanganywa tena!?

    Wala usishangae yawezekana ni jitihada za kuficha aibu ya Mkuu, Kama ni kweli, basi jueni rais yuko pale ikulu busy akifanya mambo yake binafsi wala si kuwatumikia wananchi. Haiwezekani wala haiingii akilini kuwa rais tena wa nchi hana habari (uninformed) kiasi hiki, ni aibu.
  14. O

    Open-space Jangwani: Kikwete adanganywa tena!?

    Wala usishangae watu wanajaribu kuficha aibu ya mkuu. Kama kuna ukweli wa haya anayosema POMPO basi Rais wetu yuko pale ikulu akiwa busy kufanya mambo yake na wala si kuwatumikia wananchi. Haiwezekani rais awe hana habari na kinachoendelea kiasi hiki, Aibu.
  15. O

    Tundu Lissu: Ngeleja amelidanganya bunge

    Nadhani kuna kila sababu ya kuangalia uwezekano wa kuandaa maandamano makubwa ya kuelekea nyumbani kwa huyu mama spika kumuonyesha kuwa wananchi haturidhiki na utendaji wake wa kutumikia mafisadi badala ya walala hoi wa nchi hii.
  16. O

    Nini maoni yako kuhusu Utendaji wa Spika wa kwanza mwanamke Tanzania

    Baada ya Tanzania kumpata spika mwanamke wa kwanza na kuandika historia mpya ya bunge la nchi hii unaweza kusema nini juu ya utendaji wake so far. Kuna matumaini yeyote ya kupata ufanisi wabunge letu kwa kuzingatia jinsi anavyo liendesha bunge mpaka sasa na uwezo wake au matumaini ya ufanisi wa...
  17. O

    Hotuba ya Rais na Mashine za Kutoza Kodi za TRA

    Umetamka neno zuri sana Turnover(Mauzo kwa kusisitiza). Sasa fikiria gharama za kuendesha hiyo biashara, halafu jiulize huyu mfanyabishara wa turnover ya 40 mil anabakiwa na faida kiasi gani ambayo itamuwesha kuikopa serikali na TRA 1,000,000. Huu utaratibu ungekuwa umeanzishwa kwa manufaa ya...
  18. O

    Hotuba ya Rais na Mashine za Kutoza Kodi za TRA

    Mkuu wewe wanena na mwenye akili ajiulize hiyo Vodacom wamiliki wake kina nani? Halafu ujiridhishe huu si ufisadi mwingine unaofanywa na Mafisadi walewale wanaolindwa na viongozi wetu na wakati huohuo wakishirikina na viongozi kupanga deals za kuibia nchi hii. Nani anaweza kutuambia Pilot...
  19. O

    Hotuba ya Rais na Mashine za Kutoza Kodi za TRA

    Mh Mtazamo naona wewe umepongeza huu utaratibu, labda tusaidie umesikia wapi tukiambiwa kuwa TRA wana wafanyabiashara wangapi wanaolipa kodi ya VAT na hawa wafanyabiashara watakapo kuwa wote wameikopesha serikali kwa kupitia TRA wanapo nunua mashine hizi serikali itakua imetumia kodi kiasi cha...
  20. O

    John Mnyika juu ya hotuba ya Kikwete

    Kungekuwa na nia ya kweli ya kumaliza tatizo hili la umeme hapa TZ lingekuwa limeisha na tumesahau. Tanesco wangekuwa wana mitambo yao mipya na ya kisasa wakizalisha umeme. Lakini kwa vile hili tatizo la umeme kwa mafisadi ni mradi wa kujitengenezea mabilioni ya fedha na kujitajirisha kwa...
Back
Top Bottom