Search results

  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Hivi unakumbuka kwanini P Funk aliwahi mchapa vibao Afande Sele?

    VISA na MIKASA SIKU P FUNK alipomchapa Makofi AFANDE SELE… Turudi nyuma kidogo, Miaka zaidi ya 18 iliyopita na Ilikuwa ni kipindi kifupi tangu P funk aanze kufanya kazi na Afande. P anasema miezi kama miwili nyuma ya siku hiyo ya tukio alikuwa na Sele, alimpatia wimbo mmoja na sele akaahidi...
  2. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    UPDATE Makabidhiano yamehairishwa Hadi Alhamis tarehe 11/04/2024
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Wanasema Vatican ikiongea ni Mungu ameongea, hivi Ile barua ya Tec iliishaje?
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Wala hampo kwenye list. Baba zenu hawana majina Wala mashiko
  5. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Nchi ngumu sana hii. Ila Kuna muda taifa litaujua ukweli kwamba adui wao namba Moja ni CCM
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Kwenye IGA na MoU hamna kilicho badilishwa. Kusema DP WORLD wamepewa miaka 30 ulikuwa ni uwongo na ghiliba ili Watanzania make kimya
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Wafagizi sijui wataenda wapi? Wanaleta mashine za kufagia za hali ya juu
  8. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania. Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World. Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo...
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

    Bez ni gari Gani? Au ni Mercedes Benz? Maana Wachina hawachelewi kufanya yao
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Mashabiki wa Yanga Waliosafirishwa kwenda Afrika Kusini, wapewa Masharti ya Kumtukuza Mwenyekiti wa CCM Samia. Watii maagizo

    Vilabu vinahangaika sana kukuza mpira wao, CCM inakuja kuharibu. Licha ya kwamba naipenda Yanga, kesho nitaiombea dua Mamelodi ipate ushindi mkubwa, CCM iabike
Back
Top Bottom