Search results

  1. christopher t

    Mjue Ernesto Rafael Guevara de la Serna au Che Guevara

    Alikuwa mtu muhimu kwa mabadiliko ya uchumi wa dunia katika kuleta mapinduzi na usawa wa umilikaji mali na rasilimali za nchi kwa wananchi wote.
  2. christopher t

    Dr Slaa akataa mjadala na Nape ITV badala na Kinana

    Alikuwa anawahi kupiga bao la asubuhi kwa Mama Mshumbushi.Siku hizi kababu kamechoka mno.Akana dili kila kitu Mwigulu anakiweka hadharani,Watanzania wanakaelewa uongo wake.Na laana ya wake za watu inakaandama,uwezo wa Ubongo wake kufikiri umeshuka sana.
  3. christopher t

    Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    Karibu Comrade Tulikumiss sana,.Maana hivi viki na vigaidi vidogo Mnyika vinazuia eti hakuna sasa kutoa Pongezi kwa Serikali na Zitto Kabwe aliyepiga Mkwara huo ameendelea kuishukuru Serikali kwa Kazi nzuri inayofanya.
  4. christopher t

    DK. Mwakyembe: Nishaonja kifo siogopi kufa

    Kakwambia nani kuwa yeye msafi? Muulize ile nyumba ya ikolo ambayo anajengwa na Mkandarasi kama zawadi atamlipaje mkandarasi?Na ile ya kunduchi vipi kwa mshahara wake anaweza kuijenga?Wizi ni wizi tu.
  5. christopher t

    Hongera Prof Muhongo/Maswi kwa uzalendo, ingekuwa Ngeleja/Jairo ingekuwaje?

    Muhongo na Maswi hawaongeki na wameonyesha uwezo wao tuwapatie sapoti watalibadilisha shirika.
  6. christopher t

    Mh. Kiingunge Ngombale Mwiru, Ushauri wako pale Chimwaga Dodoma Umetufikisha hapa...!

    Unapaswa kukumbuka sawia siyo kuandika uongo hapa mtu mzima.Jk aliongoza kura NEC na Mark alikuwa wa Tatu,Mzee Salimu wa pili kama ilivyojiri pia katika Mkutano mkuu.Ukizungumzia kikao cha Kamati kuu JK alikuwa afutwe kulingana na uonfgozi kutokubaliana nae na ushauri wa Sekretarieti ya...
  7. christopher t

    Vibwagizo vilivyotia fora kwenye mahojiano ya Mwigulu na Zitto leo asubuhi

    Mimi sioni mantiki ya Elimu yao na Ufaulu wao hapa katika mjadala,Labda wangejikita zaidi katika kujenga msingi wa Hoja.Ni kwa namna gani bajeti haikidhi matarajio ya watanzania au ni kwa namna gani inakidhi matarajio yao na viashiria vyake ni vipi? Nchi hii Bunge zima limejaa wataalamu na...
  8. christopher t

    Vibwagizo vilivyotia fora kwenye mahojiano ya Mwigulu na Zitto leo asubuhi

    Mimi sioni mantiki ya Elimu yao na Ufaulu wao hapa katika mjadala,Labda wangejikita zaidi katika kujenga msingi wa Hoja.Ni kwa namna gani bajeti haikidhi matarajio ya watanzania au ni kwa namna gani inakidhi matarajio yao na viashiria vyake ni vipi? Nchi hii Bunge zima limejaa wataalamu na siyo...
  9. christopher t

    Nape hajaelewa vema hoja ya Zitto

    Nionacho hapa ni kushambuliana na kuongea kwa ushabiki wa vyama zaidi ya kuangalia uhalisia wa jambo lenyewe.Zitto anataka posho za vikao zifutwe kwa wabunge na yeye anachagiza kutopokea posho hizo lakini hatwambii ifanyike nini ili kufikia uamuzi huo?kwani haya ni maamuzi yaliyofikiwa na vikao...
  10. christopher t

    Nape azungumza Chuo kikuu Cha Waislamu Morogoro: Aisifia Bajeti; aasa CCM

    Hivi ndivyo kazi ya siasa inavyofanyika hakika ccm imepata mkombozi wa kuisemea,sasa naona wenye kihoro wanaanza kuhaha kwa kejeri hata za kuanza kubeza Elimu zinazotolewa na baadhi ya vyuo eti ili uhitimu lazima usome st.AUGUST AU Tumaini hii ni upuuzi mtupu.MH.Nape chapakazi kamanda kazi ya...
  11. christopher t

    Nape ahudhuria sherehe za kuagwa wanafunzi wa UDOM ambao ni makada wa CCM

    Hongereni vijana wa udom kwa kuitimu na hongera kamanda mpambanaji nape nauye kwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe hiyo ya kuhitimu kwa vijana wetu.
  12. christopher t

    Nape ahudhuria sherehe za kuagwa wanafunzi wa UDOM ambao ni makada wa CCM

    Hakuna chama kilichothabiti na imara kama ccm na ndicho pekee kilicho na dira ya kutekeleza azima ya maendeleo ya watanzania na kuweka mikakati thabiti ya wahitimu wote wa vyuo vikuu kuajiriwa katika sekta mbalimbali kulingana na uhitimu wa kozi zao kwa manufaa ya maendeleo ya taifa hili la...
  13. christopher t

    Kigwangalla adai mkataba wa mgodi anajitakia mema kweli?

    aaah jamani,dogo alishinda kwani ndio maana ccm ililiona hilo ikarudisha jina lake na akawapiga chini wapinzani,hivyo yuko fiti.chapa kazi tunaamini mabadiliko sio lazima yatokane na wapinzani tunaweza kufanya na kwa kiasi kikubwa tukiwa ndani ya chama kwani ni rahisi sauti yako kusikika kuliko...
  14. christopher t

    Hukumu ya ICC yamtaja Rostam Aziz mmiliki wa Dowans!

    please jamani watanzania tuache tabia zakutofuatili mambo kwa usahihi wake,huyu mwandishi anatakiwa kutaja kile hukumu inachozungumza na nani anatajwa katika hukumu hiyo,sio swala la kutuambia mbunge,tuna wabunge wengi sio lazima awe rostam.riport ya richimond inasema mmiliki wa kampuni hizi...
  15. christopher t

    Wabunge 10 wa chadema

    mmmh jamani!that's too shame for mh.zitto wa kabwe to kill himself politically.you know the guy is doing political suicide kwa chama chake.Mimi nikiwa mwanasiasa kijana naomba nimshauri baadhi ya mambo ambayo uenda hayajui katika siasa 1)siasa ni game inayochezwa na wenye akili timamu wakati...
  16. christopher t

    Mbunge CCM akataliwa...

    hakuna cha katiba mpya wala nzee,nchi itakwenda hivyohivyo,subiri miaka hamsini ijayo.katiba atashusha MUNGU MWENYEWE.
  17. christopher t

    Mbunge CCM akataliwa...

    aaaaaah hakuna kuchakachuliwa alikofanyiwa hapo huyo jamaa yako wa chadema,tatizo ninyi na hasa wewe ni watu wa kulalama,blandes yuko fiti.Na hakuna haki iliyochakachuliwa na ccm na amani itaendelea kuwepo kwa sababu ccm itaendelea kutawala na ndiyo msingi wake.Fanya kazi massawe(DC) BIG UP FOR...
Back
Top Bottom