Search results

  1. C

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Mlikuwa mnalipwa Tsh. ngapi Mkuu, hiyo kazi siyo ya kitoto. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    Wakulima wa Korosho wamshukuru Rais Magufuli wauza tani 50,000, Anna Abdalla atoa onyo kwa wanunuzi

    Duh!.. Hizo propaganda za viwango vya rami. Kulikuwa na tani 9,000 amejitokeza mnunuzi mmoja tu nae amenunua tani 200 tu, kwa Tsh. 3001 kwa kilo. Sijui tunapotosha kwa kiasi hichi kwa faida ya nani?.
  3. C

    Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    Badilisha heading mkuu, hawajachafuliwa, wamejichafua wenyewe.
  4. C

    Mwanza: Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge

    [emoji4] [emoji4] Waliokosa taa za uokoaji saa moja usiku na kusitisha uzoezi hadi kupambazuke.
  5. C

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atakuwa Waziri Mkuu kwa miaka kumi?

    Jambo usilolijua ni kama usiku wa Kiza.
  6. C

    Mtatiro aanza 'kufaidi mafanikio' hata kabla ya kujiunga rasmi CCM

    Bora hakupata sasa hivi tungekuwa tunarudi kwenye uchaguzi mwingine tena.
  7. C

    Maagizo toka juu yamemshinikiza CAG kutengua kauli kuhusu deni la Taifa?

    Nimeona Zitto anamuita Bashite Naibu Rais.
  8. C

    Android Tv Boxes (4K Players)

    Mkuu vipi hazina shida ya kugandaganda?.
  9. C

    Dimba la Taifa: Yanga Africans yatakata kwa ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Kagera Sugar

    Mnaongoza ninyi kina nani na mnaongoza kwa goli ngapi?.
  10. C

    Maandamano ya mtandaoni yamponza Mbunge Lwakatare; azuiliwa kufanya mkutano

    Kumbe hali ya usalama katika nchi yetu sio nzuri. Mungu atusaidie hali irudi kawaida.
  11. C

    Kipi tufanye Wasabato mnatuchanganya!

    Mkuu ningeshangaa sana kama usingeonekana katika uzi huu.
  12. C

    Licha ya CCM kuwa chanzo cha umasikini, ujinga, rushwa na ufisadi, kwanini CCM bado huwa inashinda chaguzi mbalimbali?

    Mkuu Paskali, kwa hicho kichwa somo tu nimekupa like, nitakuja kusoma baadae kabla ya kukuongezea like zingine.
  13. C

    Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

    Majina kujirudia mara 2, ina maana huyo muhusika ana madai ya aina 2 tofauti na sio tatizo.
  14. C

    Nahisi kabisa PPF wanataka kutudhurumu pesa zetu za mafao

    Mkuu hilo fao nasikia limefutwa sasa msihangaike mvumilie tu hadi mfikishe umri wa kustaafu 60. [emoji443] Tumeipenda wenyewe, chaguo letu wenyewe. Acha tuisome namba eeeeeeeeh..(tuisome namba ) ......................... mbeleee kwa mbeleeee... [emoji445]
  15. C

    David Kafulila: Changamoto ni nyingi, Rais Magufuli yupo kwenye mstari sahihi

    Utumbo mrefu na ww unauquote kama ulivyo.
  16. C

    Endapo video & audio zitatumika kwa Sugu, basi Mnyeti ajiadae

    Mahakama kweli imetia fola, ushahidi wa kielekroniki una taratibu zake nyingi ambazo zinaufanya uweze kukubarika mahakamani. Kama umepokelewa kibolela kiasi hichi basi kazi bado ndefu sana.
  17. C

    Adhabu kali itolewe kwa Joseph Mbilinyi ili iwe fundisho kwa wanaodhalilisha kiti cha Rais

    Mkuu kero gani ameshughulikia?!. Bei ya bidhaa iko juu wananchi hawana fedha, tangu aingie madarakani Watumishi hawajaongezwa mishahara achilia mbali kulipwa madai yao mbalimbali, ajira zenyewa ndy tulishasau tunasikia walimu wa sanaa wa sekondari wataajiliwa katika shule za msingi...
Back
Top Bottom