Search results

  1. kajekudya

    Watu wenye akili nchi hii wapo. Tatizo ni kupewa vyeo kwa kigezo cha nidhamu na utii kwa wakubwa

    Kwa wale ambao tumewahi kuwa watumishi wa umma tunakubaliana kuwa wapo Watanzania wengi tu wenye uwezo mkubwa kiakili. Tatizo moja la nchi hii, watu hupandishwa na kupewa nafasi kubwa kwa kigezo cha nidhamu na utii kwa wakubwa. Yaani wale watumishi wasiohoji chochote, wazee wa ndiyo ndio...
  2. kajekudya

    Sirikali

    Neno Sirikali
  3. kajekudya

    Haji manara ni Spin Doctor Konki

    Ni hayo tu wakuu. Kazi kwenu mchague kuendelea na mjadala wenu wa pekeji au mhamie kwa Manara na Jambo lenu liwe limekamilika hivo.
  4. kajekudya

    Aise huo msururu wa wageni bungeni leo huna ndugu yako hata mmoja pole sana

    Nimeona huo msururu wa hao waandamizi kutoka taasisi mbalimbali. Hao wote wanakula kodi zetu aloo. Sasa nawaza wenzangu na mie ambao kati ya hao hamna hata ndugu mmoja hata wa mbalimbali mnajisikiaje eti. Angalau sisi ambao wamo ndugu zetu tunajifariji kuwa angalau Kodi yetu inaliwa na wanetu...
  5. kajekudya

    Ni nini dawa ya mchwa? Wanamaliza mikaratusi yangu

    Mada tajwa hapo juu Wakuu mwenye ujuzi hapo au uzoefu wa dawa nzuri ya hawa wadudu anisaidie. Wananipa kipigo kitakatifu mno
  6. kajekudya

    Ukweli ni kwamba tuna tatizo kubwa sana la uongozi wenye uwezo

    Duniani kote hatua kubwa za kimaendeleo zinaathiriwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wa kisiasa. Hawa ndio hutoa maamuzi ya mwisho kuhusu mstakabali wa Taifa. Hivyo tutake tustake lazima viongozi wetu wakuu wa kisiasa wawe akili kubwa, na wawe weledi. Anzia Marekani, njoo Uingereza, pita hapo...
  7. kajekudya

    Mkuu wa kituo Mabwepande huyo Mama uliyemuweka ndani kisa mchango wa ulinzi shirikishi Tsh. 15,000 kwa mwezi, ipo siku utalipa

    Umeshirikiana na kiongozi wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa Tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15,000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda. Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia. UPDATE: Mama...
  8. kajekudya

    Somo kutoka Urusi: Ili Taifa lipate mafanikio lazima kuwe na "consistency" kwa viongozi wa wandamizi na nguli

    Hili ni somo ambalo Urusi wamelitumia na likawapa mafanikio makubwa sana hasa ndani ya hii miongo miwili ya Rais Putin. Ni somo ambalo China sasa wamelichukua na naona linaendelea kuwalipa. Hata jirani zetu Rwanda linawalipa. Ni somo la kuwapa viongozi Nguli na waandamizi muda wa kutosha...
  9. kajekudya

    Mmiliki wa Mabasi ya SATCO, uliowakabidhi gari ya Kahama-Dodoma wanakuharibia biashaara

    Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa. Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
  10. kajekudya

    Pamoja na ushindi mzito wa CCM: Sisi kama Watanzania tunapaswa kutafakari kwa kina juu ya hili

    Tanzania ni moja ya Nchi ambayo baada tu ya Uhuru ilifanikiwa kujenga msingi Imara wa kiutawala kupitia TANU na baadae CCM. Msingi ambao unaifanya Tanzania kuwa moja ya Nchi chache Barani Afrika zenye uimara wa hali ya juu kiutawala. Sasa ni miaka 20 tangu mfumo wa vyama vingi uanze, na hakuna...
  11. kajekudya

    Uchaguzi 2020 Asante kwa kuja; Fikisha salamu zetu kwa Robert Amsterdam na wenzake

    Zipo taarifa ambazo wewe mwenyewe umezithibitisha kuwa mara baada ya Uchaguzi utarudi Ubelgiji, huko ulipokuwa kwa takribani miaka mitatu na kurudi siku chache kabla ya zoezi la Uchaguzi mkuu kuanza. Ni jambo jema kuwa ulijua huwezi kutoboa na ukafanya maandalizi hayo mapema. Sasa sisi...
  12. kajekudya

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

    Kuna watu humu wanajipa moyo eti CHADEMA hii ya Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Halima, Bulaya Matiko na Wenzake wanaweza kuishinda CCM ya Magufuli, Bashiru Ali, Mangula, na mfumo mzima wa Chama Cha Mapinduzi. Kama Kuna mtu anawaza hivo na anamanisha na ana amini Mawazo yake hayo yanaweza kuwa...
  13. kajekudya

    Huyu Mwamba hana lolote, asiwapoteze Maboya wenye nia thabiti ya kumchallenge Uncle

    Huyu Mwamba, Benard Camilius Membe, huyu jamaa akiwa foreign Minister, kijana aliyekulia ndani ya kitengo, akiwa na mabilioni ya Gaddafi na maconnection kibao ndani hadi kwa Mabeberu, alitumia almost miaka mitano ya mwisho ya utawala wa J.K kujiandaa kuukwa Urais wa Jamhuri lakini hata kwenye...
  14. kajekudya

    The last ship, Hawa jamaa da!

    "The world is very sick" ni moja ya sentence katika series ya the Last ship, Series ambayo wakati naanza kuiangalia mwaka 2015 niliiona kama ya kufikirika mno kupita maelezo. Miaka mitano mbele kile walichokiigiza, Sasa siyo maagizo tena ni uhalisia kwa asilimia angalau 90%. Ninachokumbuka mle...
  15. kajekudya

    Hii Karata waliyocheza CHADEMA inaweza ikawa imetoa mrejesho ulio hasi kwao kwa upande mwingine

    Viongozi wakuu wa CHADEMA, Jana walikutana na Nyundo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, pale walipopatikana na hatia ya jumla ya makosa kumi na mbili (12)na kutakiwa kulipa faini ya jumla ya fedha kiasi Cha Tsh.350 milioni au kwenda jera miezi mitano (5) kwa kila mmoja. Kama kawaida ya...
  16. kajekudya

    Wife amejifungua ana wiki mbili, hivi mgegedo naupata Tena baada ya muda gani, staki kuchepuka jamani daa!

    Jamani kama nilivyotanabaisha hapo juu, nimepata kabinti karembo kama wiki mbili zilizopita. Sasa nauliza kwa wakongwe, hivi mgegedo napata baada ya muda gani mabaharia!
  17. kajekudya

    Kwa aliyepo Mwanza tujuzane Masoko na being za kuku wa kienyeji

    Wakuu mimi nipo vijijini huku, mji mkubwa ambao nipo karibu nao ni Mwanza. Sasa nataka nijaribu bahati kwenye biashara ya kuku wa kienyeji, niwe nawaleta mwanza. Tafadhali kama kuna anayeweza kunijuza masoka hapo na bei zipoje.
  18. kajekudya

    Ninapoweza pata dawa za binadamu kwa ajiri ya duka la Dawa mhimu.

    Wadau Kama kichwa cha thread kinavyoeleza nipo mikoa ya pembeni kanda ya ziwa natafuta chimbo ninapoweza kuwa nanunua dawa tajwa kwa bei nafuu. Asanteni!
  19. kajekudya

    Kama Rais Magufuli atapeleka Ripoti ya CAG Bungeni basi nitaamini Bunge ni dhaifu na Serikali ndio muhimili uliojichimbia zaidi!

    Kwa sasa katika Jamhuri yetu tukufu habari inayotamba ni CAG Prof Assad, Bunge( Ndugai) na Serikali( Magufuli).Kiufupi tayari kuna Mgogoro wa Kikatiba ambao kiukweli unahitaji akili kubwa kuukwepa hasa kwa upande wa Rasi Magufuli. Juzi aliibuka Mbunge wa Kibamba Mh.Mnyika na kumsihi Rais...
  20. kajekudya

    Maamuzi ya Seif na wenzake yana madhara makubwa kwa CHADEMA, tuache kujifariji!

    Tangu Maalim Seif Hamad atangaze kujiunga na ACT wazalendo nimeona watu wengi hasa upande wa upinzani wakijipa moyo kuwa Ni moja ya mikakati Bora ya kuikabiri CCM mwaka 2020. Lakini ukiangalia kwa jicho pana ni wazi hatua hiyo inaleta madhara makubwa kwa CHADEMA kuliko Chama chochote Cha siasa...
Back
Top Bottom