Search results

  1. jessetz

    Najiuliza kwanini nilisoma. Miaka 4 sasa sijawahi kupata ajira

    Pole sana. Ushauri wangu ni kuwa, soko la ajira pia linabadilika siku hizi, vigezo vya elimu tu havimfanyi mtu kupata kazi. Kuna vitu kama uwezo binafsi kujua vitu, ubunifu binafsi, na mambo mengine mengi. Hivi vigezo vingine tofauti na elimu ukivitumia hata wewe mwenyewe unaweza kutumia...
  2. jessetz

    umewahi kukumbana na hili jambo?

    Inatokea sana hili hasahasa ukiwa unapelekwa zaidi na 'emotion' na wakati mwingine unaweza kuingia kwenye maisha ya kuja kuteseka kwenye ndoa baadae. Usidharau unachoshauriwa na watu, changanya na mawazo yako binafsi fanya maamuzi mazuri kwa ajili ya maisha yako ya baadae na familia yako.
  3. jessetz

    Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    Toka mwaka 2014. Sio kipindi cha Nyerere. Uadilifu kwenye uongozi nyie ndio mnajua ........sasahv ni network tu....
  4. jessetz

    Floating in dead sea

    Jaribu mkuu. Magunia ya chumvi bei rahisi....lol :rolleyes:
  5. jessetz

    Web Programmer / Developer and Web graphic designer employment

    We are marketing company experienced and a leading provider of web-related solutions to market businesses. We have offices in both Lulea, Sweden and Arusha, Tanzania. If you are interested in growing to the next professional level, we’re interested in speaking with you. As a member of the...
  6. jessetz

    Live and Work

    Pressure killed him Neema, he was too much anxious about life:(
  7. jessetz

    Live and Work

    Father was a hardworking man who delivered bread as a living to support his wife and three children. He spent all his evenings after work attending classes, hoping to improve himself so that he could one day find a better paying job. Except for Sundays, Father hardly ate a meal together with...
  8. jessetz

    Which is the most expensive place in tanzania?

    It is very true Mkuu, and I agree with you but I wanted in sense of generalizing the places. Najua kuna sehemu cheap hapo hapo dani ya hiyo sehemu expensive na inategemeana na jinsi unavyoishi ila weka kwa ujumla
  9. jessetz

    Which is the most expensive place in tanzania?

    Ni kweli mkuu, sijauliza jinsi ya kupunguza gharama bali sehemu iliyo ghali Tanzania kuishi kwa ujumla wake
  10. jessetz

    Which is the most expensive place in tanzania?

    I know that, so many factors has to be considered to know which place is the most expensive in Tanzania. Mostly we use factors in the major components of cost of living including: goods & services, groceries, health care, housing, transportation, utilities etc. From all these things, which...
  11. jessetz

    Wataalamu wa web development!

    Elezea vyema,unatumia technlogy gani kwa development na unaposema embed unamaanisha nini?
  12. jessetz

    Why are people so angry?

    The causes of anger are complex and to mention a few in brief are; 1. Parental Example [Parents have influence on personality development throughout childhood & adolescence.] 2. Cramped Cities [ As more and more people squeeze into crowded cities, the levels of anger and frustrations are...
  13. jessetz

    Petro kalete jiwe!!

    Ha ha ha Petro bado tu anaendelea na ubishi! Alikua mtume mzuri sana huyu!
  14. jessetz

    How much does it cost to get access to the Internet backbone in Tanzania?

    Ahsante mkubwa, nilitaka general idea tu, sikuwa na kila kitu, nashukuru sana!
  15. jessetz

    Naangamia mwenzenu nisaidieni pls!

    Ndugu yangu pole. Kinachokuangamiza ni mawazo yako tu ndugu, kwanza ujifunze kuona umuhimu wako na value yako, maneno kama naangamia, maisha magumu inatosha kuona ila nikushauri wewe ni bora zaidi ndugu, kazi utapata, pia anagalia mazingira yako, utajiajirije, sio lazima kuajiriwa...
  16. jessetz

    How much does it cost to get access to the Internet backbone in Tanzania?

    Ahsante sana Kang, maelezo mazuri sana, bado sijafanya maamuzi, sasahivi nafanya shooping tu na kujua information na gharama. Nashukuru sana, ubarikiwe!
Back
Top Bottom